Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

View attachment 2902459

Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.

Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika

Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo

View attachment 2902457
Huyu Nape Kama Ni muislamu dhambi ya unafiki haitamuacha salama.
Wakati wa kampeni 2015 hapa Iringa hotuba yake ilikua kumchafua EL tu. Alifikia hata kusema EL akaipiga push up atajisaidia haha kubwa.
Leo sijui atasema Nini?
Unaweza kufanya siasa bila kumtukana mpinzani wako matusi ya nguoni.
Sijawahi kumsikia AHM akimtukana mtu au Cigwiyemisi au Salim.
 

Attachments

  • 20240213_065335.jpg
    20240213_065335.jpg
    37.2 KB · Views: 1
View attachment 2902459

Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.

Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika

Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo

View attachment 2902457

Kama hana aibu kwenye jambo kama hili mpaka anajiweka kimbelembele .... hivi mnafikiri anaweza kuwa na aibu kutuibia kura zetu ..... CCM ni Ukoo wa PANYA!!
 
Back
Top Bottom