Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

Nina wasiwasi na hoja yako,emu lete uthibitisho kuwa E-GA wapo chini ya Ofisi ya Utumishi?
Kama ipo huko basi itakuwa makosa makubwa sana ya kiufundi,inapaswa kuwepo chini ya Wizara ya Mawasiliano.
Ngoja nifatilie.
Unaomba ushahidi ? kwa nikuletee memo au?
 
Kuna kila dalili unapotosha hapa ili msiamishiwe TEHAMA. EGA inafaa kuwa huko na sio Utumishi.

Kuna uwezekano kabisa kwenye mfumo mlishatengeneza mirija yenu, mkijua wizara mliyopo nyie ndio final kwenye technology, sasa mnaogopa pelekwa TEHAMA mkijua mtakuja kuumbuka.

EGA inafaa kwenda TEHAMA ili kuweza rahisisha integration ya makorokocho mengi.
Uko mbali sana na uelewa , na mpaka hapo wewe inaonekana hujawahi kufanya kazi serikalini na kama umewahi ur too junior
 
Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA).

Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA.

Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape anataka kulipa fadhila kwa wafadhili wake kwa kuwapa tenda za mifumo ya serikali marafiki zake wenye hisa kwenye makapuni ya TEHAMA ya nje na baadhi ndani ya nchi.

Nape amekua mstari wa mbele kuchinganisha viongozi wa E-GA ili waonekane hawako Productive na wanahitaji kusimamiwa na wizara yake.

Waziri Nape anamshinikiza Eng Kundo ambaye ni Naibu waziri wake wapeleke mswaada wa dharula kuihamishia wizara ya TEHAMA E-GA.

Nape Nnauye ni bora ahamishiwe itikadi na uenezi kwenye chama, akapige siasa sawasawa , lakini kwenye Uwaziri tena wa Wizara ya TEHAMA , ni suala la Muda tu, amekua kuwadi wa Makampuni binafsi na ya marafiki zake.

Ni aibu, narudia tena ni aibu sana unachokifanya Nape Nnauye.

Nasema tena ukiachana na suala la Kuua E-GA , acha kabisa mipango ya kumhujumu Magila Tech na kumframe awe kwenye mitanziko na watawala. Unasuka mipango ya kumdhuru kijana huyu kwa faida zako mwenyewe , please stop this madness
Aondolewe kabisa. Hana sifa. Ni kibaka tu fulani aliyebahatika kupata nafasi kwa ajili ya Sir name yake. Nakumbuka huko nyuma familia ya Nahuye ilipotoa TANGAZO la memorial ya Mzee Moses Nahuye, Nape hakutajwa kama wanafamilia. He's a buster kid.
 
Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA).

Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA.

Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape anataka kulipa fadhila kwa wafadhili wake kwa kuwapa tenda za mifumo ya serikali marafiki zake wenye hisa kwenye makapuni ya TEHAMA ya nje na baadhi ndani ya nchi.

Nape amekua mstari wa mbele kuchinganisha viongozi wa E-GA ili waonekane hawako Productive na wanahitaji kusimamiwa na wizara yake.

Waziri Nape anamshinikiza Eng Kundo ambaye ni Naibu waziri wake wapeleke mswaada wa dharula kuihamishia wizara ya TEHAMA E-GA.

Nape Nnauye ni bora ahamishiwe itikadi na uenezi kwenye chama, akapige siasa sawasawa , lakini kwenye Uwaziri tena wa Wizara ya TEHAMA , ni suala la Muda tu, amekua kuwadi wa Makampuni binafsi na ya marafiki zake.

Ni aibu, narudia tena ni aibu sana unachokifanya Nape Nnauye.

Nasema tena ukiachana na suala la Kuua E-GA , acha kabisa mipango ya kumhujumu Magila Tech na kumframe awe kwenye mitanziko na watawala. Unasuka mipango ya kumdhuru kijana huyu kwa faida zako mwenyewe , please stop this madness
Huyo ni mpigaji tu. Uroho wa hela na dili ndio zinamuongoza kwenye utendaji wake. Ni mtu mwenye hila sana.
 
Nape bure kabisa, wameacha makampuni za simu zinaibia watu hovyo mara unanunua vocha hujajiunga tayari wameshakata kiasi fulani cha pesa na kwa nini utaratibu huu wa kujiunga usifutwe..?? Kwani una maana gani??
 
Umeongea sahihi sana, na una logic ,lakini hizo sio logic wanazotaka akina Nape kutumia
Kuna taarifa huna ndio maana unasema hivyo ungejua ungeogopa sana.
Lengo sio hilo, na taasisi ya E-GA iliwekwa makusudi chini ya ofisi ya Rais ili ilindwe maana serikal ilijua kabisa ikikaa chini ya wizara isiyo chini ya Rais wapigaji wataiua haraka sana , kwa hio logic zako ni sawa lakini sio zinazotumiwa na akina Nape kwa sasa.
Wao wana malengo tofauti kabisa.
Nimalize kwa kukwambia tu kuwa as we write this , tayari sysndicate ya kuua E-GA ina high profile leaders ambao tayar wana makampuni mkononi ya kureplace task za E-GA ,wanasubiri muda tu waangushe jiwe.
Huyo DG wa E-GA Ndomba , asipokua makini krismas ya mwaka huu hataila
Mkuu sorry nataka nikuulize jambo, magila tech yuko connected vipi an E-GA? Nilimwona juu kwa juu na kampuni yake lakini sikipata details za kutosha.
 
Mkuu sorry nataka nikuulize jambo, magila tech yuko connected vipi an E-GA? Nilimwona juu kwa juu na kampuni yake lakini sikipata details za kutosha.
Sita weka details za kutosha hapa kuhusu Magila Tech , lakini kwa kifupi Nape ameshamframe kijana aonekane Mhaini wakati hana hatia.
Nape anamchongea Magila kwa viongozi waandamizi wa serikali mpaka ameanza kuhamisha uwekezaji wake kwenda Congo na Dubai.
Nape anataka kumuua kiufupi Magila ,sio kuua kampuni ni kumuua yeye mwenyewe Magila .
Kama atasoma hapa huyo Magila asipokee Apointment yeyote ya Nape au watu wa karibu wa Nape. Atanishukuru.
Najua kama sio week ijayo itakua tayar invitation ametumiwa ya yeye kuwa consultant kwenye chombo nyeti cha serikali.Magila wanataka kukuua .
Magila akisoma hapa anajua 100% sababu za wao kutaka kumuua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom