Nape Nnauye aapa kufia CCM

Nape Nnauye aapa kufia CCM

1.jpg

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM.

Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi kuzama na haijulikani yataibuka lini.

Kauli hiyo aliitoa mjini Songea wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Songea kupitia CCM, DK. Damas Ndumbaro katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bombambili mjini hapa.

Nape ambaye pia aliwahi kuwa katibu Mwnezi wa CCM, alisema kama kuna watu walidhani atakihama chama tawala CCM na kujiunga na upinzani wasahau.

Alisema matatizo ya chama humalizwa ndani ya chama na si kukihama kama walivyofanya wanachama wengine waliokimbia ndani ya CCM.

“Naikubali serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Jemedari DK. John Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Ni serikali yenye viongozi imara na mimi naapa kufia CCM na sivinginevyo.

“Nasikia maneno maneno kutoka kwa baadhi ya watu wakisema Nape anataka kuhamia upinzani jambo ambalo siyo la kweli kuanzia leo watu hao waondokane na mawazo hayo,”
alisema Nape

chanzo;Priority10News
 
View attachment 672365
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM.

Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi kuzama na haijulikani yataibuka lini.

Kauli hiyo aliitoa mjini Songea wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Songea kupitia CCM, DK. Damas Ndumbaro katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bombambili mjini hapa.

Nape ambaye pia aliwahi kuwa katibu Mwnezi wa CCM, alisema kama kuna watu walidhani atakihama chama tawala CCM na kujiunga na upinzani wasahau.

Alisema matatizo ya chama humalizwa ndani ya chama na si kukihama kama walivyofanya wanachama wengine waliokimbia ndani ya CCM.

“Naikubali serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Jemedari DK. John Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Ni serikali yenye viongozi imara na mimi naapa kufia CCM na sivinginevyo.

“Nasikia maneno maneno kutoka kwa baadhi ya watu wakisema Nape anataka kuhamia upinzani jambo ambalo siyo la kweli kuanzia leo watu hao waondokane na mawazo hayo,” alisema Nape.

Muungwana
Aliapa kwa kutumia kitabu gani na dini gani??
Wakati anaapa alimtaja Mungu??
Aliweka kidole kwenye shingo kama wafanyavyo waapaji wengine??
 
uwezo mdogo, ajiulize kwa nini alikuwa na cheo kikubwa na sasa anahemea ubunge tu. arekebishe ya kwake kwanza kabla ya kuongelea ya wenzake. siku zote maisha si marahisi kama watu wanavyofikiria, wapinzani wa kweli ni wale watakaovumilia mpaka mwisho na hao ndio watakao tunukiwa taji la uzima hawa wengine mara leo huku leo kule ni wafa nyaa tu.

katika maisha wanasema ukiona mtu anakimbilia mafanikio ya mwingine ujue ni boya tu.
smart people ni wale wanaopiginia maisha yao katika hali zozote zile, shida wamo, raha wamo, mpaka kieleweke.

wanaohama ukilinganisha na wanawake wanaoolewa ati mumewe akiishiwa tu anatafuta mume mwenye pesa akirudia hali ya anasema da wewe ni mwanaume wa nguvu. Hao ni vichaa
 
View attachment 672365
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM.

Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi kuzama na haijulikani yataibuka lini.

Kauli hiyo aliitoa mjini Songea wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Songea kupitia CCM, DK. Damas Ndumbaro katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bombambili mjini hapa.

Nape ambaye pia aliwahi kuwa katibu Mwnezi wa CCM, alisema kama kuna watu walidhani atakihama chama tawala CCM na kujiunga na upinzani wasahau.

Alisema matatizo ya chama humalizwa ndani ya chama na si kukihama kama walivyofanya wanachama wengine waliokimbia ndani ya CCM.

“Naikubali serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Jemedari DK. John Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Ni serikali yenye viongozi imara na mimi naapa kufia CCM na sivinginevyo.

“Nasikia maneno maneno kutoka kwa baadhi ya watu wakisema Nape anataka kuhamia upinzani jambo ambalo siyo la kweli kuanzia leo watu hao waondokane na mawazo hayo,” alisema Nape.

Muungwana
Anafahamu fika kitakachompata akijaribu kwenda kinyume na ccm
 
Hakuna ng'ombe anafurahia kukatwa mkia wake. Lakini aweke maneno yake akiba kwani hakuna ajuaye mwisho wake. CCM sio mamake
 
Hizo ni kauli uchwara mbuzi tu tunaelewa mnaongozwa na tumbo na maslahi.

Nakumbushia hii nukuu, "Usimwamini mwanasiasa hata kama ni Baba Yako Mzazi" By, Z. Z. Kabwe.
 
Mel Jk Nyerere aliwahi kusema ccm sio mamake kwa hiyo ikienda kinyume na sera Imani na Itikadi yake anaweza kuihama .
Sembuse Nape. .
 
Back
Top Bottom