Nape ni jabali la siasa Tanzania

Nape ni jabali la siasa Tanzania

sijawahi kuwa kwenye upande wako NAPE ila kwa hili hakika wewe ni SHUJAA na umekufa kiume
 
Kwa sasa ni wazuri bora kabisa. Mwanasiasa safi, akikaa chamani anajua cha kufanya na akiwa serikalini pia anajua wajibu wake, siyo muoga wa majukumu yake, anaonekana kaiva kiitikadi na kidiplomasia. Mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Na ni kiongozi mpole mtetea waovu kama wahusika na biashara ya madawa ya kulevya
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa ni Tz pekee

Raisi alishasema, yeye ndiye alipeleka miswada bungeni. Na wewe usiwe mwepesi wa kusahau
 
Nape is a politician to recon with, very calculating, smart, astute, decent and very precise in his decision making.

He is does not jump the gun as many of the laud mouths we call politicians in TZ.

We shall see him in position of great power very soon.
 
Yes
Nape ni jabali (mwamba) la kisiasa Tanzania. Anapokuwa mezani anazungumza kwa hoja, lugha laini na mwanana ya kumtoa joka pangoni. Anapokua jukwaani anazungumza kwa kupaza sauti ama kusawishi au kukemea. Ana kipaji cha sauti na anajua kukitumia.Body language yake wakati wote ina akisi kile akisemacho/azungumzacho.

HONGERA. Kazi aliyopewa na Magufuli inathibitisha umakini wake.
Nape ni shujaa. Ametekeleza wajibu wake bila unafiki au woga wowote na bila kutaka kumpendeza yeyote. Utaheshimiwa mno katika duru za siasa na jamii ya watanzania kwa ujumla.
 
humjui nape wewe,huyu ni vuvuzela tu...the devil masquerading in saint's clothing
don't be fooled
Looking at your sickening comments what does it makes , The Devil incarnated or Devils cousin.

You have to be one of them, as it takes A DEVIL TO KNOW OTHER DEVILS AND ALWAYS THINKS EVERYBODY IS A DEVIL.
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa ni Tz pekee
Bunge live linaAthiri sana uzalishaji na wengi hawafanyi kazi , bali huwa wanaganda kwenye TV .

Bunge live halikupi kula wa maendeleo, mjinga ni yule anayelilia bunge live.
 
Looking at your sickening comments what does it makes , The Devil incarnated or Devils cousin.

You have to be one of them, as it takes A DEVIL TO KNOW OTHER DEVILS AND ALWAYS THINKS EVERYBODY IS A DEVIL.
you have grammatical issues(check the bolded blue and red)....until then,come back and lay your arguments with me
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa ni Tz pekee
Kuhusu bunge live mkuu mwenyewe alisema yeye ndiyo kazuia
 
"Hakuna kitu kizuri kama kuishi mioyoni mwa watu kwa mazuri yako"

Umeanza kuishi rasmi moyoni kwangu kwa mazuri yako sir Nape. Ur awesoome!

Ur simply legend Nape.
 
Kuongoza ni kujua dhamana ya unaowaongoza..! Nape ametimiza dhamana take.

Kunawengine walipigwa ganzi kulinda maslahi yake .
Kwanini mwigulu alipiga sana kelele ile video ya Mwalimu Mbeya. Lakini hili kakaa kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom