Nape ni jabali la siasa Tanzania

Nape ni jabali la siasa Tanzania

Mkiti

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,013
Reaction score
666
Nape ni jabali (mwamba) la kisiasa Tanzania. Anapokuwa mezani anazungumza kwa hoja, lugha laini na mwanana ya kumtoa joka pangoni. Anapokua jukwaani anazungumza kwa kupaza sauti ama kusawishi au kukemea. Ana kipaji cha sauti na anajua kukitumia.Body language yake wakati wote ina akisi kile akisemacho/azungumzacho.

HONGERA. Kazi aliyopewa na Magufuli inathibitisha umakini wake.
 
Nape ni jabali (mwamba) la kisiasa Tz. Anapo kua mezani anazungumza kwa hoja, lugha laini na mwanana ya kumtoa joka pangoni. Anapokua jukwaani anazungumza kwa kupaza sauti ama kusawishi au kukemea. Ana kipaji cha sauti na anajua kukitumia. Body language yake wakati wote ina akisi kile akisemacho/azungumzacho. HONGERA. Kazi aliyo pewa na JPM inathibitisha umakini wake.
Ila kwenye suala la Bashite amechemsha mtoto mpendwa wa malaika
 
Kwa sasa ni wazuri bora kabisa. Mwanasiasa safi, akikaa chamani anajua cha kufanya na akiwa serikalini pia anajua wajibu wake, siyo muoga wa majukumu yake, anaonekana kaiva kiitikadi na kidiplomasia. Mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa ni Tz pekee
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa
Soma alama za nyakati mkuu,
 
Aise Nape leo ndio wakupewa sifa zote hizo mbona waTz ni wepesi sana kusahau pamoja na miswada yote mibovu aliopeleka bungeni na kuzima bunge live leo hii amekuwa wakupewa sifa watu wanamtetea eti ni maagizo toka juu kama kweli anaamini anachokiamini kwanini asingekataa kupokea hayo maagizo au ajiuzulu na huo ndo uwajibikaji katika mawaziri waliopigiwa kelele kuwa hawawezi ni huyu leo anaonekana bonge la shujaa ni Tz pekee
Mnyonge Mnyongeni, Lakini Haki yake Apewe! Peke yake ndio kajitokeza hadharani kukemea Tukio la ujambazi lililojitokeza.. wengine wote wanamuogopa Mzee wa mbereko ya Chuma.
 
Huwa nawaonea huruma sana watu wanavyogeuzwa kama samaki. Yani Nape ni jembe kwa lipi hasa?
 
Huwa nawaonea huruma sana watu wanavyogeuzwa kama samaki. Yani Nape ni jembe kwa lipi hasa?
Kwani sio jembe kwa lipi hasa????.

Mtu akifanya jema/akasimamia haki lazm akubalike na mtu hyohyo akfanya BAYA lazm asikubalike. So km kuna jambo alifanya baya, ahukumiwe kwa ubaya na km ni zuri ahukumiwe kwa uzuri!. Acha ushabiki ktk ktoa maamuzi juu wa mtu/watu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom