Nape nakupongeza

Nape nakupongeza

Inawezekana mbunge huyo ni Bwe.ge kweli, kama anaiba ni haki ya Nape ku laani na kukemea wizi dhidi ya watanzania. mie binafsi linapokuja swala la kuwatetea watz siangalii itikadi, Nape pia anaona haki ya wakulima inapotea lazima apige kelele. Mie kule ziwa Victoria nimepiga kelele sana juu ya mizani za wanunuzi wa samaki lakini malmlaka husika ziko kimya, wavuvi pia wanadhulumiwa kwa mizani, nji hii lazima kuwe na sheria nzuri na inayotekelezeka kwani mizani imekuwa mizani kesi hii iko kwenye mazao yote; pamaba, mchele, mahindi (Sondeka) taja mazao yote
 
Hii stori nashindwa kuiamini vile.
Sehemu ya hii stori inadai Nape kumwita mbunge wa Kilwa as B.W.E.G.E, wakati huo huo kuna stori nyingine inadai kuwa Nape kawaliza watu na mbunge CUF kumshangilia. Sasa huyo anayeitwa B.W.E.G.E mbele ya constituents wake hapo hapo anamshangilia tena huyo aliyemtusi. Hainiingii kichwani hata kidogo, moja ya stori inatakiwa kurekebishwa.
 
NAPE ni vuvuzela asiye na mbele wala nyuma,akili zake ni mgando
 
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, ametangaza kiama cha walanguzi wa ufuta kwa kuitaka Serikali ya Wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi kuhakikisha inakomesha ulanguzi huo mara moja.

Aidha, amemtuhumu waziwazi mmoja wa wabunge, Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Bungala `*****’ (B.we.g.e ili ni tusi) kuwa ni mmoja wa walanguzi, huku akimtaka arejee bungeni kuwawakilisha wananchi wake, badala ya kuwakandamiza kiuchumi.

Nape aliyasema hayo kwa nyakati tofauti katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika mji mdogo wa Kilwa Kivinje na Kilwa Masoko katika ziara ya siku mbili ya baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoani Lindi katika kufikisha ujumbe wa maamuzi ya NEC yaliyofanyika mjini Dodoma Aprili mwaka huu.

Kwa mujibu wa Nape wapo viongozi wa kisiasa wanaongoza dhuluma hiyo kwa kisingizio cha kuwasaidia wakulima wakati ukweli wanawadhulumu na kumshushia tuhuma hizo Mbunge wa jimbo hilo, ‘*****’(Bweg.e) kuwa ni kinara wa dhuluma hiyo.

“Naambiwa Mbunge wenu bwana ‘*****’ (Bweg.e)kaacha Bunge la Bajeti na kuja kusimamia dhuluma yake dhidi ya wakulima masikini wa ufuta.

*****(Bweg.e) rudi bungeni kama hujui kazi yako ni kuwatetea wananchi, basi bora ujiuzulu
wananchi wapate mwakilishi na si mlanguzi” alisema Nape
.

Alisema wakati bei ya dira mwaka huu ni Sh 1,000 ambayo Serikali iliagiza mkulima alipwe yote ndio asubiri malipo ya pili ambayo nayo yatakuwa mazuri kwani bei ya ufuta safari hii ni nzuri, walanguzi wananunua ufuta kwa kati ya Sh 1,150 na Sh 1,200 ambayo ni wizi kwa
wakulima.

Akifafanua wizi huo Nape alisema, ushahidi wa wazi uliopo walanguzi wamechezea mizani yao na kwa kila kilo moja wanaiba kati ya robo na nusu kilo na hivyo bei ya Sh 1,200 wanayonunua walanguzi ni danganya toto kwani tayari wameshafidia kwenye mizani za wizi.

“Mizani za vyama vyetu vya ushirika imepimwa na wakala wa vipimo hivyo ni sahihi na tayariS yenu imeshasimamia upatikanaji wa bilioni kumi na moja kutoka benki za NMB na CRDB kwa ya ununuzi wa ufuta msimu huu, hivyo hakuna sababu ya wakulima wa ufuta kuendelea kudhulumiwa na hawa matapeli,” Alisisitiza Nape.

Alisema kuendelea kukwepa mfumo wa stakabadhi ghalani ni kwenda kinyume na maamuzi ya RCC, ambacho ni kikao halali na hata Baraza la Madiwani ambao ni wawakilishi halali wa wananchi.

“Naambiwa wako na baadhi ya madiwani wa CCM wanaojihusisha na dhuluma hii, naagiza ushahidi ukipatikana vikao vya chama mchukue hatua kali dhidi yao, tuko tayari kufanya uchaguzi mdogo kuliko kuvumilia dhuluma hii,” alisema Nape.

Mapema, Nape akizungumza na viongozi hao alieleza kwa kina lengo la hatma ya CCM kufanya mabadiliko ‘kujivua gamba’ mjini Dodoma na kwamba moja ya malengo ni kukirejesha chama kwenye misingi yake ili kiweze kukidhi kwa dhati matarajio ya wananchi hasa wanyonge.

Safi sana maana umemchana huyo mtu hadharani ili isionekane ni majungu!
 
tatizo ni yeye kwenda hapo kusema kisha anapotea, kama ni wizi ni kweli kwa sasa watumishi wa umma na wawakilishi wa jamii katika mambo mbalimbali ni wapolaji

yeye anaposema arudi bungeni hali anamjua ni mlanguzi hiyo inatija kwa taifa kweli?
au ndio ana jijenga kisiasa kwa alimtaja mbunge mlanguzi?

ina maana NAPE anataka kuiambia jamaa leo kwamba ccm inakubaliana na wabunge walanguzi kuwa bungeni?

Unategemea kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama afanye nini? Yeye amemlipua na sasa ni juu ya wahusika kuchukua hatua za kuchunguza na kama kuna ushahidi kuchukua hatua. Hilo siyo jukumu la kiongozi wa chama cha siasa.
 
Hii stori nashindwa kuiamini vile.
Sehemu ya hii stori inadai Nape kumwita mbunge wa Kilwa as B.W.E.G.E, wakati huo huo kuna stori nyingine inadai kuwa Nape kawaliza watu na mbunge CUF kumshangilia. Sasa huyo anayeitwa B.W.E.G.E mbele ya constituents wake hapo hapo anamshangilia tena huyo aliyemtusi. Hainiingii kichwani hata kidogo, moja ya stori inatakiwa kurekebishwa.

BWEG.E ni jina halali la huyo mbunge, kuhusu kulia kwenye ile yule mtoa mada mwingine nimeona kunapicha mtu analia nadhani kuna THREAD kama hiyo tena ya huyo mama kulia hiko jukwaa la photo waki0nyesha walakini wa huyo mama kulia kwamba ilikuwa ni dili.

ukweli ni kwamba sio watu ni mtu mmoja.

mbunge kushangili kwenye ile thread nyingi sijui jamaa kaitoa wapi hiyo story maana huyo mbunge (bweg.e) ndiye aliyekuwa nasemwa ulanguzi.

anyway yalezekana ni shangilia ya kubeza maana mbunge ananunua kwa 1200 Nape anataka watu wauze huo ufuta kwa 1000 mpaka 1100 kwenye vyama vya ushirika.
hao ndio magamba
kama utazoma post zote za hapo juu utapata majibu na ile nyingine kama utaisoma ni wazi imeongezewa taarifa kwa maana hiyo sijui ukweli wa ongezeka la taarifa hizo
 
Unategemea kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama afanye nini? Yeye amemlipua na sasa ni juu ya wahusika kuchukua hatua za kuchunguza na kama kuna ushahidi kuchukua hatua. Hilo siyo jukumu la kiongozi wa chama cha siasa.

hacha kulipuka soma vizuri hakuna mlanguzi ni kelele zake kuita watu walanguzi
anyway habari ya kazi kitengo chenu cha uenezi mnalipwa tarehe ngapi hapo ccm?
au ni kama sisi
 
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, ametangaza kiama cha walanguzi wa ufuta kwa kuitaka Serikali ya Wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi kuhakikisha inakomesha ulanguzi huo mara moja. Aidha, amemtuhumu waziwazi mmoja wa wabunge, Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Bungala `*****' (B.we.g.e ili ni tusi) kuwa ni mmoja wa walanguzi, huku akimtaka arejee bungeni kuwawakilisha wananchi wake, badala ya kuwakandamiza kiuchumi. Nape aliyasema hayo kwa nyakati tofauti katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika mji mdogo wa Kilwa Kivinje na Kilwa Masoko katika ziara ya siku mbili ya baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoani Lindi katika kufikisha ujumbe wa maamuzi ya NEC yaliyofanyika mjini Dodoma Aprili mwaka huu. Kwa mujibu wa Nape wapo viongozi wa kisiasa wanaongoza dhuluma hiyo kwa kisingizio cha kuwasaidia wakulima wakati ukweli wanawadhulumu na kumshushia tuhuma hizo Mbunge wa jimbo hilo, '*****'(Bweg.e) kuwa ni kinara wa dhuluma hiyo. "Naambiwa Mbunge wenu bwana '*****' (Bweg.e)kaacha Bunge la Bajeti na kuja kusimamia dhuluma yake dhidi ya wakulima masikini wa ufuta. *****(Bweg.e) rudi bungeni kama hujui kazi yako ni kuwatetea wananchi, basi bora ujiuzulu wananchi wapate mwakilishi na si mlanguzi" alisema Nape. Alisema wakati bei ya dira mwaka huu ni Sh 1,000 ambayo Serikali iliagiza mkulima alipwe yote ndio asubiri malipo ya pili ambayo nayo yatakuwa mazuri kwani bei ya ufuta safari hii ni nzuri, walanguzi wananunua ufuta kwa kati ya Sh 1,150 na Sh 1,200 ambayo ni wizi kwa wakulima. Akifafanua wizi huo Nape alisema, ushahidi wa wazi uliopo walanguzi wamechezea mizani yao na kwa kila kilo moja wanaiba kati ya robo na nusu kilo na hivyo bei ya Sh 1,200 wanayonunua walanguzi ni danganya toto kwani tayari wameshafidia kwenye mizani za wizi. "Mizani za vyama vyetu vya ushirika imepimwa na wakala wa vipimo hivyo ni sahihi na tayariS yenu imeshasimamia upatikanaji wa bilioni kumi na moja kutoka benki za NMB na CRDB kwa ya ununuzi wa ufuta msimu huu, hivyo hakuna sababu ya wakulima wa ufuta kuendelea kudhulumiwa na hawa matapeli," Alisisitiza Nape. Alisema kuendelea kukwepa mfumo wa stakabadhi ghalani ni kwenda kinyume na maamuzi ya RCC, ambacho ni kikao halali na hata Baraza la Madiwani ambao ni wawakilishi halali wa wananchi. "Naambiwa wako na baadhi ya madiwani wa CCM wanaojihusisha na dhuluma hii, naagiza ushahidi ukipatikana vikao vya chama mchukue hatua kali dhidi yao, tuko tayari kufanya uchaguzi mdogo kuliko kuvumilia dhuluma hii," alisema Nape. Mapema, Nape akizungumza na viongozi hao alieleza kwa kina lengo la hatma ya CCM kufanya mabadiliko ‘kujivua gamba' mjini Dodoma na kwamba moja ya malengo ni kukirejesha chama kwenye misingi yake ili kiweze kukidhi kwa dhati matarajio ya wananchi hasa wanyonge.
Hapa nimekukubali sana nape. Si wakati wote ni ushabiki wa kisiasa.
 
Huyu mbunge kama sikosei ni wa chama cha CUF kwa hiyo ndio maana kasema haya, kama angekuwa mwanamagamba mwenzake asingesema. Hana lolote vuvuzela huyo
 
Huyu mbunge kama sikosei ni wa chama cha CUF kwa hiyo ndio maana kasema haya, kama angekuwa mwanamagamba mwenzake asingesema. Hana lolote vuvuzela huyo


ni kweli ni CUF na watu wanampenda sana.
 
Hapa nimekukubali sana nape. Si wakati wote ni ushabiki wa kisiasa.

umesoma hata habari yenyewe au ume QUOTE
wananchi wanaandaliwa kufanyiwa dhuruma hapa na chama cha ushirika
kwa kua ushindani wa kimasoko kwanza
 
sasa Nape amfanye nini? keshamwambia jamaa atajirekebisha na kuacha ulanguzi....kwa nini tunapenda sana kumshambulia Nape hata kwenye mazuri? kwazna badilisha tittle ya thread...iandike kiustaarabu acha jazba

Mkuu hapo kwenye Red akifika Masasi awaambie na wabunge wengine wanaofanya ulanguzi wa Korosho waache, asipofanya hivyo tutaona kamuonea huyo kwa sababu ni wa CUF
 
Mkuu hapo kwenye Red akifika Masasi awaambie na wabunge wengine wanaofanya ulanguzi wa Korosho waache, asipofanya hivyo tutaona kamuonea huyo kwa sababu ni wa CUF

Hiyo itakuwa ngumu alishindwa kusema alipokuwa mkuu wa wilaya hataweza leo
na kama hatasema hatotaja majina kama walivyomfanya ndugu yetu bweg.e.
 
miaka hamsii ya uhuru?, kuzi.....
sasa Nape amfanye nini? keshamwambia jamaa atajirekebisha na kuacha ulanguzi....kwa nini tunapenda sana kumshambulia Nape hata kwenye mazuri? kwazna badilisha tittle ya thread...iandike kiustaarabu acha jazba
 
Kweli kuu, tatizo hapa kilwa wamechakachuaaaaaa weeeeeeeeeeee wapiiiiiiiiiiii ! Jino kwa jino , so the magambaz wana uchungu na majimbo yao ! Nb: Nape nahisi ndio rais mpya wa tz 2010- 2015 !
 
Yeye mwenyewe MR NEPI OR NAPE KATUCHAKACHUA KOROSHO ZETU MASASI NA HADI LEO HATUJALIPWA ! THATS WHY 2010 KUSINI TUMEWAPA CUF , KWA HASIRA NOV 5 2010 WAKATUCHOMEA VIBANDA VYETU VYA BIASHARA NA NEPI AKIWEPO HAPA NANGANGA ! 2015 NDO NA SISI TUTAICHOMA IKULU YA MASASI HATUTAKI U**** I KAMA WENZETU WA TARIME ! JAN KAJIFANYA YEYE NDO MKUU WA WILAYA MCHAPAKAZI KUTEMBEA NA POLISI NA KUTUKAMATA KISA MIHOGO NA MTAMA KUANZIA CHIPITE HADI LIKOLOMBE VIMENYAUKA , SASA MVUA TUNGEIPATA WAPI ? HUYU TUTAMGEUZA SIMBA TUUU !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom