Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

Nimependa sana ndugu yangu Mwigulu ulivomjibu mwana JF inaonekana unajua kuna shida ya watendaji serikalini na siyo sera wala mipango ya serikali ya chama cha mapinduzi. Ushauri wangu kwako kwa kuwa ni kiongozi wa chama tawala anzieni kwenye hizi halmashauri ndiko kuna shida kubwa, kama kweli mna nia ya dhati kuwapa watanzania maendeleo ya kweli hakuna pa kuanzaia ni kusafisha kabisa watendaji wabovu katika halmashauri kwa kuwa huku ndiko kwenye roho za watanznia maskini. Ni mawazo yangu tu ndugu yangu mwigulu maana nakufahamu toka tukiwa pale mlimani ulikuwa mpambanaji na nina imani kwa vijana kama nyinyi naamini mna mtazamo mpana wa maendeleo ya kisasa. Kila la heri na heri ya pasaka mkuu Mwigulu.
 
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO

Heri ya Pasaka Mh. Mwigulu Duh!long time toka mkutano wa Tindigani Maji ya chai......Umejaribu kujibu swali la mwanabodi hayo uliyoyaeleza ni kweli lakini kama haya yote mmeyagundua ni hatua gani mmechukua?coz kama kuna watu ambao siyo waadilifu why are u keeping them?Kuna jambo ujalizungumzia mbali ya utendaji wa serikali lakini hili la kuchanganya Siasa na Biashara ni kitu ambacho kitawatafuna mpaka mwisho wenu.CCM ya leo ni yawenye fedha na wafanyabiasha na ukitaka kujua hili angalia chaguzi zenu,aina ya wabunge wa CCM hata wale ambao wanatokea serikalini au taasisi mbali mbali lazima wawewamejipanga sawasawa sijui wewe ilikuwaje........
Ni ukweli usiofichika CCM mmepoteza mvuto kiasi kikubwa sana hata wale waliokuwa wanakubalika nao wameshaanza kupoteza mvuto na ukitaka kujua hili subiri 2015.
Chaguzi zenu kwenye chama zitawaacha vipande vipande wenye fedha,waahada wananchi kwa sura ya kupinga ufisadi na kundi la tatu wasiofungamana na upande wowote.
 
Nakushukuru ndugu yangu Mwigulu kwa kushare na sisi katika mtandao huu, umenena vyema lakini naomba na mimi nichukue fursa hii kukupa ushauri na kuonyesha udhaifu wa serikali ambayo inaongozwa na chama chako. Kama kweli mna nia ya kumpa mtanzania maisha bora kama mlivyo ahidi anzieni kwenye halmashauri maana ndiko roho za watanzania zilipo. Kuna matatizo makubwa sana kwenye watendaji wa hizi halmshauri unashangaa hata kuzoa takataka ni shida, shule ni mbovu, hakuna hata matengenezo hata ya barabara za mitaani, angalia matatizo ya ardhi katika halmashauri nyingi na matumizi mabovu ya fedha za halmashauri. Ukisema kuna watendaji wasio na uzalendo tunategemea ni serikali ya chama cha mapinduzi kuwawajibisha kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma na maadili ya uongozi, pia ikibidi kuchukuliwa hatua na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa. Lakini tumeshuhudia jinsi ambavyo serikali yenu ilivyokaa kidete kutetea watendaji wabovu kwenye scandals nyingi tu. Ni imani yangu kwa viongozi vijana kama nyinyi ni fursa nzuri sasa kukibadili chama ili kirudi kwenye mstari na kiweze kuwatumikia wananchi maskini waliokata tamaa vinginevyo maelezo yako mazuri yatakuwa hayana maana kama hayataonekana katika matendo. Ni sehemu tu ya mchango wangu kwako nina imani wewe na vijana wenzio katika chama mnaweza kuleta mabadiliko ya kifikra. Ni mtizamo wangu kwa majibu yako.
 
Nakushukuru ndugu yangu Mwigulu kwa kushare na sisi katika mtandao huu, umenena vyema lakini naomba na mimi nichukue fursa hii kukupa ushauri na kuonyesha udhaifu wa serikali ambayo inaongozwa na chama chako. Kama kweli mna nia ya kumpa mtanzania maisha bora kama mlivyo ahidi anzieni kwenye halmashauri maana ndiko roho za watanzania zilipo. Kuna matatizo makubwa sana kwenye watendaji wa hizi halmshauri unashangaa hata kuzoa takatak ni shida, shule ni mbovu, hakuna hata matengenezo hata ya barabara za mitaani, angalia matatizo ya ardhi katika halmashauri nyingi na matumizi mabovu ya fedha za halmashauri. Ukisema kuna watendaji wasio na uzalendo tunategemea ni serikali ya chama cha mapinduzi kuwawajibisha kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma na maadili ya uongozi, pia ikibidi kuchukuliwa hatua na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa. Lakini tumeshuhudia jinsi ambavyo serikali yenu ilivyokaa kidete kutetea watendaji wabovu kwenye scandals nyingi tu. Ni imani yangu kwa viongozi vijana kama nyinyi ni fursa nzuri sasa kukibali chama ili kirudi kwenye mstari na kiweze kuwatumikia wananchi maskini waliokata tamaa vinginevyo maelezo yako mazuri yatakuwa hayana maana kama hayataonekana katika matendo. Ni sehemu tu ya mchango wangu kwako nina imani wewe na vijana wenzio katika chama mnaweza kuleta mabadiliko ya kifikra. Ni mtizamo wangu kwa majibu yako.
 
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO

Mh.Mwigulu,Uzalendo unatokana na misingi ya malezi na ukuzi.Na uzelendo unaweza potea kutokana na mazingira ya ukuzi.Enzi ya Baba wa taifa malezi ya watumishi yalikuaje kiasi cha kufanya watumishi wawe na uzalendo uliotukuka?Baada ya Baba wa taifa uzalendo kwa watumishi umeporoka ghafla?
 
Nimependa sana ndugu yangu Mwigulu ulivomjibu mwana JF inaonekana unajua kuna shida ya watendaji serikalini na siyo sera wala mipango ya serikali ya chama cha mapinduzi. Ushauri wangu kwako kwa kuwa ni kiongozi wa chama tawala anzieni kwenye hizi halmashauri ndiko kuna shida kubwa, kama kweli mna nia ya dhati kuwapa watanzania maendeleo ya kweli hakuna pa kuanzaia ni kusafisha kabisa watendaji wabovu katika halmashauri kwa kuwa huku ndiko kwenye roho za watanznia maskini. Ni mawazo yangu tu ndugu yangu mwigulu maana nakufahamu toka tukiwa pale mlimani ulikuwa mpambanaji na nina imani kwa vijana kama nyinyi naamini mna mtazamo mpana wa maendeleo ya kisasa. Kila la heri na heri ya pasaka mkuu Mwigulu.

kwa taarifa yako tatizo haliko halmashauri bali liko central goverment.
Ufisadi mkubwa uko wizarani.
Bahati nzuri wahisani wamegundua hilo na wameamua kupeleka fedha moja kwa moja halmashauri.

Tatizo la umeme

ukosefu wa madawa

upangaji wa bei za mafuta

upangaji na usimamizi wa kodi za uwekezaji mkubwa(mfano madini)

utafutaji wa masoko ya bidhaa za wakulima

na mengine mengi ni kosa la serikali kuu na sio halmashauri.

Tuache kumpetipeti nchemba bali tumuambie live bila chenga.
Kwamba bila mafisadi wa EPA,RADA,RICHMOND,KAGODA, and the like ccm haina chake tena.
 
Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ninamaoni na pamoja na kuwa chama tawala najua wapi panachangamoto na wapi panakwenda vizuri. Nilichosema kama taifa tuna tatizo la uzalendo na pia kuna tatizo la watu kutokujituma. Nasema tuna kila sababu ya kutilia mkazo uzalendo na uaminifu tunapoandaa sheria mama mpya.

Hili neno Changamoto limepumbaza wengi sana. Hata mahali panapoonyesha uzemb wa wazi utaona jitu linasema eti Changamoto.
Neno hili limekuwa likitumiwa sana na Mwenyekiti wetu wa chama taifa
 
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO

Muheshimiwa Majibu yako yanaelekea kwenye Ukweli; Ila swali linakuja... Je? Ni nani anatakiwa kutunza sheria za Utumishi wa Umma ili watu wawe Waadilifu!! Hakuna uadilifu unaokuja wenyewe Bila Utawala wa sheria!! Kwa hiyo Kinachofanyika ni Nchi Imeeachwa Kama Haina mwenyewe Watu Wanajichotea Tu na kuwafanya watu watafute uadilifu wa Kuzaliwa!!
 
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO

Mzee wa Totos,chama chenu kimeshindwa kusimamia uwajibikaji bali kimejikita kukumbatia mafisadi na rushwa.Wewe mwenyewe ni mtoa rushwa mzuri kwenye kampeni.HAKUNA LOLOTE LINALOWEZA KUMSHAWISHI MZALENDO KUJIUNGA sisiem
 
NILITAMKA. TUACHE HISIA ZA SIASA TUNAPOJADILI MAMBO MHIMU YA NCHI MAANA KUPITIA MABISHANO TUNAPATA PICHA HOJA NA USHAURI. HEBU ANGALIA TUBISHANE MPAKA JIONI KUWA NILITOA AMA SIKUTOA HELA AMA MIMI MBORONGAJI AU SIO HAPO TANZANIA INAPATA NINI. NAWASHUKURU WOTE MLI BASE KWENYE HOJA[/QUOTE]

kwanini ukiwa kwenye campeni za uchaguzi uongei vizuri kama ulivyoandika hapa.
 
Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI. KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU. ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU. WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO
Tatizo lako nawe ni sawa na wenzio... Umetaja msululu wa maelezo utadhani hao wasio waaminifu CCM haina uwezo wa kuwaadhibu. Na katika hali ya kawaida kama huwezi kutaja nani ni FISADI hadharani, basi kuadhibu hutaweza. Nape na Mwiguku, tajeni nani ni fisadi ndani ya CCM? Nijuacho ndani ya CCM hakuna mwenye ubavu wa kuwataja nani ni GAMBA na hilo GAMBA ni nini.
 
Nachukia mtu aliyeboronga kuhamishwa, hata mvivu tu kulelewa cos kuna watu wengi sana wanatafuta kazi. Inawekana awamu ya kwanza ilihamisha watu walioboronga sawa wasomi hawakwepo niliwahi kufuatilia nikaambiwa sheria zinawalinda waborongaji kuwa ukimfukuza utamlipa hela nyingi. Bila ubishi tuziangalie upya sheria hizo. Tuwasiliane kwa facebook nikupe cm kwa ushauri. Nakuelewa you have a point

Mwigulu ndugu yangu unajibu hoja iliyowekwa mbele yako au unatetea wewe kuwa magamba, mbona hueleweki unachoongea
 
biblia inasema utawatambua kwa matendo yao! Au na wewe ni mchawi kam pro-ccm wenzako siku hiz hampendi kabisa kusikia neno Mungu, au na wewe unafurahia uchafu wa ccm yenu? Mrengo wa kati unaujua www jibwa wa shetani? Au unafurahia wale watoto zaidi ya 430 kukosa eilimu kwa upuuzi wa mahakama zenu ccm?
Mwisho wenu upo2 na hivi siku hizi hampendi kusikia Mungu.

Nimekuambia hivi,
Wewe huna sifa hata moja ya kuitwa mwenye mapenzi ya mungu…hakuna mtu wa mungu mwenye lugha chafu kama zako; labda kama ni mungu mwingine lakini sie huyu anayefahamika na wengi wetu!! Kwa tahadhari yako ni kwamba, usizani watu tunashindwa kutoa lugha chafu kama wewe, tunaweza lakini hapa ni kwenye kadamnasi ingawaje wengine kwavile wanatumia nick names wanazani wanaweza kuongea lugha yoyote. Last but not least, nakuonya….sitaona taabu kupigwa ban ukiendelea kunitusi! Kama unabisha, endelea!
 
Tatizo ni system nzima ambayo imeundwa kishkaji, mabadiliko hayakwepeki.

Uchafu ukizidi ndani kazi ya kwanza ni kutoa vitu vyote nje.
 
kwa taarifa yako tatizo haliko halmashauri bali liko central goverment.
Ufisadi mkubwa uko wizarani.
Bahati nzuri wahisani wamegundua hilo na wameamua kupeleka fedha moja kwa moja halmashauri.

Tatizo la umeme

ukosefu wa madawa

upangaji wa bei za mafuta

upangaji na usimamizi wa kodi za uwekezaji mkubwa(mfano madini)

utafutaji wa masoko ya bidhaa za wakulima

na mengine mengi ni kosa la serikali kuu na sio halmashauri.

Tuache kumpetipeti nchemba bali tumuambie live bila chenga.
Kwamba bila mafisadi wa EPA,RADA,RICHMOND,KAGODA, and the like ccm haina chake tena.

Nakubaliana kabisa na wewe kuwa tatizo liko central government, ndiyo maana hata huku chini mambo yanaharibika wanaangalia. Pili naomba nikukumbushe kali ya mwaka aliyotoa kiranja mkuu wa TAKUKURU kuwa hakuna mtanzania aliyeshiriki katika sakata la rada hapa ndugu yangu Mwigulu sijui anasemaje.
 
Nimekuambia hivi,
Wewe huna sifa hata moja ya kuitwa mwenye mapenzi ya mungu…hakuna mtu wa mungu mwenye lugha chafu kama zako; labda kama ni mungu mwingine lakini sie huyu anayefahamika na wengi wetu!! Kwa tahadhari yako ni kwamba, usizani watu tunashindwa kutoa lugha chafu kama wewe, tunaweza lakini hapa ni kwenye kadamnasi ingawaje wengine kwavile wanatumia nick names wanazani wanaweza kuongea lugha yoyote. Last but not least, nakuonya….sitaona taabu kupigwa ban ukiendelea kunitusi! Kama unabisha, endelea!

Nafikiri hakuna sababu ya kutukanana hapa, hii ni fursa nzuri sana ya kujadiliana na kijana mwenzetu ambaye yeye yuko kwenye system ya utawala. Tubadilishane nae mawazo kwa kuto hoja nina imani anazisoma na hawezi kuzipuuza. Kwa fursa kama hii hatuna sababu ya kumtukana mtu hata kama hatukubaliani na kile anachosema. Tutumie mtandao huu kuchangiana maana wakati mwingine hawa viongozi hawapati fursa za kupata mawazo mbadala kama haya tunayompa ukizingatia huyu ni kiongozi kijana.
 
Mwigulu naomba utueleze (wewe na iliyokuwa timu yenu ya kampeni) ni wapi mlipo mpeleka yule mpiganaji wetu wa CDM arumeru mashariki (matelephone) baada ya kumteka nyara kwenye mkutano wenu tena kwa amri yako wewe mwigulu, kwa maana haya mambo tukiyanyamazia huko tunakoelekea yatatuletea vita!
 
je tuiamini ccm kwa kupambana na ufisadi..yupii?

Je tuiamini ccm kwa kuinua kilimo...wapi?

Je tuamini ccm kwa kukuza elimu bora...ipi?

Je tuiamini ccm kwa kuongeza ajira..zipi?

Je tuiamini ccm kwa uadilifu ..upi?labda ule wa lusinde na nchemba

je tuiamini ccm kwa kulinda amani...ipi?labda kule sumbawanga na tarime

je tuiamini ccm kwa maisha bora..yapi?

Mmezoea kuwaambia wafanyakazi wawe na wito au uzalendo kwa lipi zuri mnalowafanyia?

na
haya ndo maswala makuu ya msingi kujibiwa:
 
Back
Top Bottom