Nape na mafisadi wa CHADEMA

Hii ipelekwe jukwaa la jokes...coz inachekesha!!maisha yamemgonga..anabaki kuweweseka usiku ..lol,CCM kweli tiamajitiamaji...
 
Samahani mi naomba unifahamishe huyu Nape ni nani? Namsikia kwa mbali sana sijamtilia maanani naomba ufafanuzi, Ana uhusiano na Moses Mnauye?
 
mbona ni upupu tu ambao makamba alishasema siku nyingi na majibu yake alipata....... Hakuna mpya zaidi ya kufanya vurugu na uvunjifu wa amani kwa hasira zenu kama za jogoo anajiona kwenye kioo na kuanza kupigana na taswira yake mwenyewe hadi kufa.

Polei ccm pole wanavyowafanya Chedema
Pole ccm pole wanavyowavua magamba
pole ccm pole wanavyowakimbia wanachama wenu
pole ccm pole, mnavyokataliwa na umma
pole ccm pole mnavyowavutisha bangi vijana
Pole ccm pole ......

Mimi ningekuwa NAPE ningetumia wasaa huu kujijenga kuanzisha chama
maana utapata vijana wengi sana lakini sio ndani ya CCM FIKIRIA SANA
 
Kama kawaida manachakachua hata ukweli tu watoto wa mafisadi!
 
Unategemea nini stend ya zamani? kwa wauni. Tuhuma hizo binafsi hazinihusu kama Mtanzania. Wewe niambie kwa kutokuwa na ndoa sh gapi za umma zimepotea. Kwani ameongeza umaskini wa watanzania?
 
Unategemea nini stend ya zamani? kwa wauni. Tuhuma hizo binafsi hazinihusu kama Mtanzania. Wewe niambie kwa kutokuwa na ndoa sh gapi za umma zimepotea. Kwani ameongeza umaskini wa watanzania?

padre hawowi bwana eh, kwani yy Nape hajui au basi tu?
 
nilijua atatoa list ya mafisadi kutoka chadema kama ilivyofahamika awali, kumbe anaendelea kuongea pumba!. NAPE, nipo pembeni nashuhudia jinsi unavyojiua kisiasa. kwa pumba unazotoa, usitegemee kushika(kwa idhini ya wazalendo) nyadhifa nyingine yoyote kubwa katika nchi hii.
 
Nape ni nani?...ni nani? Kwanini kachagua mahali pasipo na tumaini tena la maisha?
 
mmmhhh haya nape......amefanikiwa kuwanunua vijana wa pale utemini na utegi hahahahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!

kwa hilo lazima apandishwe cheo.

na huyo aliyesema akikosana na majirani anahisi kuandamana ni zuzu no. 1

alipewa hoja mavi ya kuropoka...anaitwa nani na anafaida gani ndani ya cdm, alidhani akija cdm atapewa maposho na makanga?????
 
Baba wa huyu kijana Nape alikuwa na busara sana akiwa serikalini, japokuwa ilikuwa enzi ya chama kimoja!...na inasemekana kuwa ndiye aliyetunga wimbo maarufu wa "Tanzania Tanzania, Nakupenda kwa Moyo Wote"!
Nashangaa kwanini huyu mwanae hajarithi kitu toka kwa babaye!
Ni bora ya Yusufu MAKAMBA kuliko mwanataarabu na kiduku huyu!
 
hicho kitu cha hatari ni nini?
watanzania tunanunuliwa vibaya, wewe ulala una weweseka kasababu ya bendera ya chama furani, kwani hiyo sina nguo tu, au hizo za ccm zinatoka wapi?
au zimeombewa/swaliwa na watu furani?

 
NAPE anajitahidi kujikuna upele mwilini mwake juu Gamba alilovaa. huu ni mwanzo wa ni wa mbio zake(kwa kasi ya ajabu) za kujimaliza kisiasa. Kwa akiri ya kawaida utagundua kuwa nape ni mwanasiasa mwenye mawazo mafupi sana,na ni mwongeaji sana. Watu wa namna hii hupotea haraka sana kwenye ulingo wa siasa.
 
sasa hivi kaacha kuwaongelea akina lowassa sababu kastuka kikwete kamuingiza mkenge,yeye anapayuka lazima wafukuzwe mwenzie jk anakutana nao na kupiga story,..sasa hivi atapotea,walimwekea mtego akaingia,..cdm hawaezi kulumbana na mtoto mdogo...mikutano yake watu wanaendaga kweli??au ndio malori,khanga na pilau
 
mbona polisi hawajatumia risasi kwa hao wafanya fujo au kwa sababu walitumwa na NAPE,
kwanza kelele zake za kina RACHEL zimefikia wapi?
au alikuwa hajui nani mwenye chama na nani kamfanikisha mkuu wakaya kuingia magogoni?
EL na JK ni two brother wa muda mrefu sasa NAPE nawezaje kufanya kazi na JK hali anaugomvi na EL?
huyu dogo mnafiki njaa ndio inamsumbua!!!!!!!!!
yeye ccm ilimsomesha INDIA sisi wametuibia hela ya kodi, alipe fadhila lakini hakuna wa kumsikiliza

 
Kinachonifurahisha ni kuwa ccm hiv sasa wamebaki kujibu hoja za cdm tu. Yaan badala ya cdm kuwa wapinzan kwa kupangua hoja za chama tawala mambo yamekuwa viceversa. Huyo nape msimlaum hilo ni debe tupu haliachi .............
 

jamani siielewi hii mada,mimi si mwama cdm,lakini anachokiandika huyu mtu simwelewi kabisaaa.1 kadi zimerudishwa 150 na bendera 87 ina maana katika kila wanachama wawili wa chadema mmoja ana bendera??kweli?
Halafu nape kaongea nini kuhusu hali mbaya kwa wananchi? Anatusaidiaje? Mambo ya ndoa yanatusaidiaje sisi? Angalia habari ya kuirusha hewani.
 

Hivi siku 90 walizopewa magamba hazijaisha tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…