Kaongelea hayo hayo maununuz wa magar chakavu na mshahara mil.7.wa dr.slaa
Amesema tu kwamba mshahara wa dk. Slaa ni ufisadi kwa sababu ni mkubwa. Pia kwamba CDM wanatumia fedha nyingi kwenye maandamano ambazo zingesaidia kuwaondolea wananchi umasikini
Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...
Kwani serikali ya CCM imewahi kuteuwa wanachama kutoka Chadema kuwa viongozi wa juu wa serikali na taasisi zake katika zile nafasi nyeti za kufanza ufisadi?
Nape asituijie na mambo ya ruzuku ya vyama na kusema eti ndiyo ufisadi, au mambo ya mamilioni machache ambayo hayalingani na mabilioni ya ufisadi ndani ya CCM na serikali yake.

Hivi kweli tumeshindwa kabisa kuamshana na kushindana kwa hoja? Nadhani nape ni makini sana, sidhani kama na yeye ataingia katika mtego wa orodha maana katika mazingira ya azimio la zanzibar, there is a very thin line between fisadi na tajiri. Let us focus on key issues zinazowagusa wananchi jamani, ufisadi upigwe vita but usisimamishe mambo mengine muhimu, kama vita inanoga hivyo, basi tuunde vitengo kwenye vyama vyetu kupiga vita ufisadi e.g. katibu idara ya kupiga vita ufisadi🙂 ili wengine waendelee na mambo mengine muhimu (sina maana vita dhidi ya ufisadi sio muhimu).

mKUU,Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,..
naomba mwenye updates atupatie huko aliko,...
Here we are. tumechoka na wimbo wa ufisadi, tubadilishe chorus, tufanye mambo ya msingi.