Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
kwani ni siku ya ngapi leo tokea watangaze siku 90 au zile 120 za mh. mukama?
Kwani zimefika mkuu?
wako wapihawa hapa
hawa hapa
![]()
Uko IKULU NINI,Hiyo Tz mkuu!hii picha iliyopigwa Burundi unaipenda sana! kwenye kila post lazima uiweke
Hana majibu si unajua kitengo cha prp kazi yake ni nini!!!Kwa viduku namkubali lakini sio ktk uongozi.Ccm ni wasanii kweli na bado mnayo miaka minne ya kuendelea kupiga miayo mpaka mkome(wananchi walioipa kura ccm kuongoza nchi-jahazi)tangu nianze kusikia ngonjera, misemo, hadithi na mithali za magamba, kuna kitendawili kimoja bado hakijateguliwa. tumesoma magazeti, tumeskiza radio na tv, tumesoma kwenye mitandao. magamba magamba. siku 90 siku 90. lakini kinachonishangaza ni kwamba mpaka sasa haijulikani ni nani na nani hasa wanaotakiwa kujivua gamba?
Hakika Mkuu, walioko IKULU hawana uelewa wa hali ya Maisha ya Watanzania! Ha ha ha haaaa!!!!!!Uko IKULU NINI,Hiyo Tz mkuu!
tangu nianze kusikia ngonjera, misemo, hadithi na mithali za magamba, kuna kitendawili kimoja bado hakijateguliwa. tumesoma magazeti, tumeskiza radio na tv, tumesoma kwenye mitandao. magamba magamba. siku 90 siku 90. lakini kinachonishangaza ni kwamba mpaka sasa haijulikani ni nani na nani hasa wanaotakiwa kujivua gamba?