Nape na Kipindi Maalum - CCM Kujivua Gamba

My Take: Labda tutamkumbuka kwa kuitoa nchi katika AMANI na MSHIKAMANO na kuihamishia katia siasa za UDINI.
 
Atajibu nini mwenyewe saa hizi amechanganyikiwa hajui abinukie chama gani kwa sasa...
 
Pia aje atueleze lile pendekezo lake kuwa uamsho wafutiwe usajili limeishia wapi maana jamaa ndiyo wanazidi kuota magego kiasi cha kuchinja askari polisi kama kuku.
 
Masanilo,

Mkuu hii picha ndio iliyomuuma Nape mpaka anakwenda kulia lia Facebook akidhani atatetewa, kumbe watu tumemshukia huko huko kama vipanga kwa majina yetu halisi na picha zetu halisi. na tumemchana huko huko facebook.


Nape ni Mzee wa Majanga huyo
 
Back
Top Bottom