CHEMPO
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 368
- 60
- Thread starter
- #21
umeonae,,yaani arusha ck hiz chadema haitajwi kabisa,,tupashe misulicdm walishaharibu arusha kupitia kilaza wao lema ambaye alishindwa kutumia bahati kuweka arusha iwe vizuri na badala yake kutoa ahadi hewa zikiwemo za machingas complex tatu baada ya kuona hana uwezo ndipo akaja na mkakati wa kuanzisha fujo ili akija kuulizwa baadaye ajitetee kwamba kesi ndizo zimemkwamisha lakini pamoja na yote hayo ameendelea kuwapa vijana viroba na baadhi kuwagawia shilingi mia tano tano kila anapoanzisha shughuli kwa hali hiyo arusha ni laini kupita maelezo kwa ccm,nape jiandae