Nape moses nnauye kupoteza umaarufu kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape moses nnauye kupoteza umaarufu kwa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vitendo, Nov 4, 2010.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa wilaya ya Masasi,mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM(NEC-CCM) na kijana machachari ndani ya chama cha mapinduzi Nape Nnauye,Je atapoteza umaarufu ndani ya chama chake hasa baada ya jimbo la Masasi kuangukia kwa Chama cha wananchi(CUF)?
  Je suala hilo linaweza tumiwa na maadui wa kisiasa wa Nape kumharibia kabisa katika harakati zake za kukikosoa chama na Viongozi wake?
  Maana kuna wadau wanasema Nape ameshindwa kutumia nafasi yake kuisaidia CCM kupata ushindi katika wilaya anayoiongoza.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mambo ya ccm tuwaachie wenyewe. Wengine bado tuna hasira na majeraha ya uchaguzi.
   
 3. K

  King kingo JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama hakupewa mafunzo ya kuchakachua unadhani angeweza kubadilisha matokeo??
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi namuona Nape Nauye yuko fair, alihakikisha mshindi halali anatangazwa kwa manufaa ya watu wa Masasi na Taifa kwa ujumla. Wewe ulitaka atangulize Chama kwa kuchakachua figure badala ya Taifa? Wale waliokubali kuburuzwa na Chama kwa kuvuruga matokeo ndo heshima yao itashuka mbele ya jamii siyo Nape! Nategemea siku moja huko tuendako Kijana huyu Shupavu ndo litakuwa tegemeo la CCM katika kujisafisha mbele ya Watanzania, watamkabidhi chama kilicho kosa mvuto ili aokoe jahazi. Lakini itakuwa too late.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Bado mgeni ktk nyanja ya uchakachuaji
   
 6. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mshikaji kama huna uhakika na unachoongea ukae kimya unajidhalilisha na unafanya watu waone J.F sehemu ya udaku,uzushi na ushambenga
  hakuna hata jimbo moja mtwara limechukuliwa na wapinzani!na masasi kata zote zimeenda chama cha c.c.m.............kusoma hujui hata picha jamani huielewi?umenikera na uzushi wako!
   
 7. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nape is a good fighter. Mie nafikiri alichokosea ni kukubali ofa ya ukuu wa wilaya ambayo mie naona ni kazi ndogo kulinganisha na uwezo wake (may b atakuwa na elimu relatively ndogo kama ya a not well passed bachelor, so he is not strong enough in d other industries). Wameenda kumzeesha tu huko akitoka huko atakuwa amekwisha fanana nao kabisa, there will be no more Nape that we used to know after some two or three years.

  Pole kijana, I thought u would b more professional kama wenzako kina zitto kabwe ambao mbali na kufanya siasa wanapiga shule kubwa (kama phd) ili kuwa ever strong. Hii inasaidia mtu kutotegemea kumsujudia mtu kama kikwete na wenzake. Angalia mzee magufuli leo hii ana phd tena ya sayansi unafikiri leo akikosa ubunge ataanza kuhaha, he is professional, maisha yake yatakuwa always juu.

  Kitakachotusaidia sie vijana wa leo TZ ni kutafuta very high education na kuwa na very strong CVs that we can fit anywhere in this world. Hii itatufanya tuache kuona siasa ndo sehemu inayolipa kuliko chochote kumbe la. Rafiki zangu wengi this time walijitokeza kugombea ubunge hasa CCM wakijua huko ni rahisi kushinda sababu kuna kuiba kura. I asked them why would u want to to dodoma, walisema huko ndiko kuna hela za bure ambazo huitaji kuumiza kichwa for five years na ukaibuka na mamilioni. It's too sad.

  Ni mtazamo tu.
   
 8. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #8

 9. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kahongwa ukuu wa wilaya.
   
 10. Nenga

  Nenga Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 75
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Kwa taarifa yako Nape kupewa Ukuu wa wilaya ilikuwa ni mpango mkakati wa kupunguza umaarufu wake,kwa kuogopa kuwa kuteuliwa kwake na Mgombea mwenza kuwep naye katika msafara wa kampeni.
  Wapenda madaraka ndani ya chama wakaona itawaghalimu siku zijazo na itakuwa nafasi kwa Nape kujulikana kwaa Watanzania wote.
   
 11. mudushi

  mudushi Senior Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nape ndo nani bwana. Kama anauchungu basi si angekuwa upande wa wenye uchungu. mbona ndo alikuwa anapigia mafisadi kampeni. Mbona alienda kumpigia Hawa kampeni huku akijua kabisa Mnyika ndo mtu sitahili kwa wana ubungo. Nape ana-sifa ndani ya ccm tu. Nje ya CCM yeye ni fisadi.
   
 12. Nenga

  Nenga Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 75
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Nape ni mwana CCM mwenye fikra pevuyuko tofauti na Viongozi wengi wa UVCCM tunaowajua. Acha ushabiki usio kuwa wa lazima.
   
 13. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Kiongozi mwadilifu hawezi kutumia nafasi yake ya utumishi kwa umma kujinufaisha mwenyewe au kikundi kimaslahi.
  Nape is too smart to be caught up in the CCM manipulation cobweb... upambanaji wa Nape hauko kiitikadi (CCM), uko kiuzalendo zaidi
   
 14. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Kesha pewa ukuu wa Wilaya!....salaaale...kiziba mdomo! Shit!
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Watajijua.

  Sisi wacha tuendelee kujenga chadema yetu
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya points, Hata mimi naona Nape amefanya kosa la kisiasa kukubali kwenda Masasi?, alishafika pick ya juu kisiasa kama kweli alikuwa na ambition hizo za kisiasa huko alikokwenda hawezi kusema na kusikika, siasa zake zitakuwa ni nyepesinyepesi, mkuu wa wilaya kwa sasa hana nguvu sana kisiasa
  JK alimpeleka Kandoro Mwanza ili akamjenge na kukijenga Chama, lakini mwisho wa siku matokeo ni kama tuliyoyaona, Kandoro kashindwa kuperform kwa sababu hicho cheo hakina influence sana kwenye mambo ya siasa kiko kiserikali zaidi, tofauti na Ubunge
   
Loading...