Vitendo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 582
- 103
Mkuu wa wilaya ya Masasi,mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM(NEC-CCM) na kijana machachari ndani ya chama cha mapinduzi Nape Nnauye,Je atapoteza umaarufu ndani ya chama chake hasa baada ya jimbo la Masasi kuangukia kwa Chama cha wananchi(CUF)?
Je suala hilo linaweza tumiwa na maadui wa kisiasa wa Nape kumharibia kabisa katika harakati zake za kukikosoa chama na Viongozi wake?
Maana kuna wadau wanasema Nape ameshindwa kutumia nafasi yake kuisaidia CCM kupata ushindi katika wilaya anayoiongoza.