Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Nape huku uswahili hatuna namna ya kukufikia lakini tunatoa kilio chetu tu, ili Mungu ajue kiasi gani Mnamwaga damu za dugu zetu kisha mnakuja kumwaga pumba, kwani undhani CCM inathamani kuliko roho za ndugu zetu
 
Waandishi wa BBC na VOA huko bongo, ni makada wa CCM na wanatumia hizo redio kueneza propaganda za CCM
 
Yaani magamba kama wamechaguana ili neno litimie. Yaani mtu unaropoka tu kama unatoka usingizini, cdm wajilipue wenyewe eti kwenye mkutano wao!! Hii hata punguani hawezi kuiamini
 
Ulitegemea aseme ni CCM wanahusika?Anajisafisha lakini badala yake anaongeza matope kwenye mwili wake.Niwakumhurumia tu.
 
Nape apewe hiyo 100 milion bhasi kama anajua wahusika

Hawa watu waogope, hiyo million 100 watakula wao wenyewe alafu wawabambikie watu kesi za uongo.
Watafanikisha huo mpango wao kwa kisingizio kuwa waliotoa taarifa hizo wanatunziwa siri.
 
Eti mwenyekiti alisema kwa garama yoyote tuhakikishe hatupotezi!! Sasa nape anazeeka au! Kwani kutamka hivyo ndo nini
 
Nape jaribu kushirikisha ubongo wako kidogo. Usijibu hoja kama ulivyoipata masters yako mzumbe maana kila mwenye akili alishangaa umegraduate wakati ulifeli!
 
Nimesikia maneno aliyotamka NAPE,Eti wananchi wa Arusha wamechoka na siasa za chadema walipanga kuichagua CCM ,hivyo CHADEMA walilipua bomu ili kuvuruga uchaguzi....inatia hasira,kweli unawafanya watanzania wote hawajui ukweli,ni wajinga mabumbu wasiojua lolote,wakazi wa arusha wanastaili hayo matusi pamoja na msiba mkubwa walioupata?

Nape huna mungu wewe? hujui kufa? utaishi milele wewe?.....NAPE NAPE NAPE mungu si athumani na hukumu yake ipo hapahapa duniani...tusubili tutaona.
 
kweli CCM ina vichwa kama Nape.
kati ya watanzania wote wan ccm Nape ndio mwenye akili.
tunaelekea kubaya kwa matamko kama haya yasiyo na tija.
 
Yaani hata picha za mikutano miwili kati ya CDM na CCM ni wazi kabisa CCM ulikuwa na watu wachache sana kuliko CDM dalili ya kwamba CCM ilikuwa inapumulia kooni katika chaguzi hizo!!

Sasa iwaje CDM wajiharibie???
 
Chadema ingefutwa tupumzike chama kimejaa mafia kisha tuwape nchi no hata Nyerere akifufuka atatushangaa
 
Nape nakushangaa sana brotherg. Haiingii akilini Chadema wajilipue wenyewe think big brother siasa zisikufanye uwe mjinga kiasi hicho! Kamateni Mwigulu ndio ushahidi uanzie hapo! Umeua watu halafu mnatutangazia dau? Kweli vijana mnateketeza Taifa bora wazee wangeongoza CCM
 
Kweli siasa za tz ni utumwa kumbe hata kubwa zima anaweza sema uwongo bila haya; soma alama za nyakati siasa za majin taka ; iigeeni wenzenu wa uk na usa; cdm wako makini
 
Wa ndugu nape mawazo na akili yake ni sawa na sifuri msamehe bure hesabia kama umesikia maneno ya mtu toka mirembe
 
Back
Top Bottom