Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

Nape inawezekana alizaliwa na BABU,ndio maana hata hata Dr Slaa anamuita BABU baada ya BABA.
 
Kapya,
Kwahiyo huwezi kumfukuza mtu ambaye simwananchama wako! Kama mjadala wa viongozi wetu kuishi maisha wanayoyahubiri unachosha is ajabu ipo siku utadai tumechoshwa na mjadala juu ya vita dhidi ya ufisadi na rushwa!
Asante kwa kuwa umekubali kuwa hoja yako dhaifu imegonga Mwamba.Japo umetumia pesa nyingi kuwanunua vijana na kuwatumia kama kondomu hatimae umewatupa nasi tutasimamia katiba kuwaondoa.Maana CDM kupambana na Mamluki tuko Imara zaidi ya Antivirus yoyote unayoijua.Any way kwa Ufupi Giza vs Nuru.Nuru siku zote hushinda.Ndio maana hoja yako ya Kipuuzi na dhaifu Imegonga mwamba.
 
Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...

Na wewe kadi yako ya CCJ iko wapi? mafisadi wenu na wewe mnaishi mnayohubiri
 
mimi sina chama ila kwa comment za leo za nape inaonyesha yeye ni mtoto. hata wanac.c.m wenzako wanashangaa kwamba kiongozi wa chama kubwa unabishana na watoto.nimeamini cheo hiki kinakupunguzia hadhi. huyo slaa si achana naye kwani utapoteza muda mwingi halafu humuwezi kwani ana wapambe wengi kama wewe ni mpenzi wa mungu utakiri hili. unazidi kumpatia umaarufu . enezeni chama kwa watu mkubalike hasa vijana.maneno ya kitoto hayata kusaidia. nimeshangaa sana. usipende kijibizana na watoto. watakuumbua ndugu, kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini zaidi ya kuonyesha udhaifu namna hii. pia inaonyesha una hasira ndio maana umejibu kwa hasira. shughulika na mbo ya c.c.m kwani chadema unaipatia umaarufu kwa kushinda kuiandama wakati unajua kuna vyama vingi vya upinzani.wataendelea kuamini kwamba wao ni chama kikubwa wakati kuna vyama vingi tu hapa nchini
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!

Ccm ni chama? Mmegawana nchi wenyewe, wazazi wenu waliitafuna mnarithishana tu kuleni bwana, ila tutakutana MBINGUNI KWA MUNGU
 
Tabia ya kuanzisha propaganda zisizo na kichwa wala miguu katika hili mmekwisha. Mengi yame semwa juu ya kadi ya Dr.Slaa ambapo zimezuka hoja kama vile uchaguzi wa 2010 kukosa uhalali kwa sababu mmoja wa wagombea(Dr.Slaa) kumiliki kadi 2 za vyama tofauti na hoja nyingine nyingi.

Sasa basi jamii yote ya watanzania inasubiri kwa hamu kubwa kuona mtamchukulia hatua gani Dr.Slaa na wenzie. Mkiliacha hivi hivi jamii itajiuliza maswali mengi na hakika hamto aminika kwa chochote mtakacho sema kuanzia sasa kiwe cha ukweli au propaganda. Inadhihirisha wazi msivyo makini katika kutengeneza propaganda na kujenga hoja. Jambo hili la kadi mnalifanyia mzaha lakini litawamaliza kisiasa.

Tokeni hadharani mkanushe kuwa Nape alitamka yale kama yeye binafsi na siyo kwa niaba ya chama au mumuunge mkono na kuitisha press conference kuwafukuza wasaliti wote. Au muombe radhi kwa umma na wanachama wa CCM kwa matamshi ya Nape yasiyo zingatia katiba yenu na kumkanya kuacha kutoa ovyo matamko tatanishi yanayo kigharimu chama, au mumuondoe kwenye nafasi ya ukatibu uenezi.
 
Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu......

Babu yako ni kinana sio Dr. Slaa Mkuu mbona hujieshimu hadi leo?
 
Uzuri nappe hapendagi kuumiza kichwa,akijisikia kubweka anabweka tu.!!
 
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
Mithali sura 26
3 Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda,
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT] [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu!
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow] 4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]Bwana Nape Nafasi uliyo nayo ni kubwa sana, nahisi huitendei haki, unaponena kauli yako inahesabiwa kuwa ni kauli ya wana CCM zaidi ya Milioni Tano, achana na mambo ya kitoto, acha mabishano ya kipumbavu na wewe utaonekana kama wao. Maneno hayo juu kama ni msomaji wa Biblia naomba yakusaidie achana nao, wao wanafanya nini wana haki ya kufanya wanayofanya wewe waambie tunafanya nini, wewe waweke mijeredi tu mbona mbinu nyingi tu!! na kama wanachokipigia kelele kina manufaa kwa chama chetu wewe copy na kifanye kabla yao waache wabaki na maandamano tena wala usiwazuie, weye wazuie kwa vitendo watajikuta wako peke yao.

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]

Hapo kwenye red, hao wanachama zaidi ya milioni 5 wanahesabu pamoja na wale wenye kadi ambao si wanachama kama Dr. Slaa, manake hali ilivyo sasa hivi wakifanya sensa ya wanachama wao hai itakuwa imepungua sana manake kimbunga cha M4C kimepukutisha idadi kubwa sana ya hao wanachama zaidi ya 5 milion
 
Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...
Mkuu kumbuka maneno yako, hata yakiwa mzaha watu wanayachukulia uzito kwa sababu ya cheo chako. Watu waliona kuwa uko serious uliposema
quote_icon.png
By Nnauye Jr
Endeleeni kumtetea nianike mtiririko wa kulipia kwake kadi yake ya CCM.

..........

Hata mimi nilikuwa nangoja nione huo mtiririko. Kumbe ulikuwa UNAZUGA. Tutatofautishaje uzugaji na pale ambapo uko serious?
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!
chalii yangu umewahi kuimba taarabu nini? kama vile nakuona mkono wa kulia upo juu ni kidole cha shahada kimekutana na kidole gumba hasa hapo unaposema unaloo! shankupe flani hivi
 
chalii yangu umewahi kuimba taarabu nini? kama vile nakuona mkono wa kulia upo juu ni kidole cha shahada kimekutana na kidole gumba hasa hapo unaposema unaloo! shankupe flani hivi

Kama anavyoongea Mkapa sio?
 
Nape nakushukuru kwa kufunguka kuhusu hili...mimi nina kadi ya ukaazi wa mahali nilipokuwa ninaishi zamani.tangu nihame nchi sijairudisha. Je bado mimi ni mkaazi wa eneo lile kwa mujibu wa sheria? Ilitoka kwa Ward Executive Officer (W.E.O) mwaka 1995, na hadi leo hii ninayo.

Nashukuru kwa ukiri wako wa busara kuwa Dr Slaa si Mwanachama wa CCM kwa mujibu wa katiba ya Chama. Una maana Dr Bado anailipia kadi yake? Hapo mwisho kwenye is ni neno la kiingereza la "ni" au ni neno la kiswahili la "si"
Naomba uendelee kufunguka zaidi ili tukuelewe.

Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...
 
Asante kwa kutumia biblia na kumshauri.pia mshauri NAPE kuwa YESU amesema shetani awezi kumtoa(kumfukuza)Shetan mwenzake.vita ya kufukuza mafisadi,wala rushwa,epa,nk ndani ya JANGILI KUBWA CCM.Haiwezi sababu naye shetani.Kwa hiyo hasiwanganganye wtz ooh Vua gamba
 
Nape wewe ni kijana mdogo sana chini ya 18, msomi, bado una ndoto nyingi maishani, naomba ufungue macho yako, heshima na utu wako unathamani zaidi ya uCCM ua UCCJ, haya ni mambo ya muda yatapita laki utu wako utabakia mpaka mwisho wa maisha yako, acha kutumika wanaokutuma wana kucheka, ata kma unapenda sana chama chako toa maneno ukizingatia heshima yako,(miaka ikiwa imeisha kwenda ukija kujikumbusha utajionea aibu na utajuta kwanini ulikuwa unasema haya, kutukana watu wana mimba, matusi haya kupendezi) ili mke wako watoto na ndugu yako wasijisikie vibaya mbale ya jamaii, kuwa kijana mwenye heshima watu wataku heshimu. maana CCM inaweza kufa kikawaida kama ilivyo kufa CCJ , nina uhakika unawasononesha sana ndugu zako wa karibu kwa tabia yako lakini wana shindwa kukwambia...
 
Kapya,
Kwahiyo huwezi kumfukuza mtu ambaye simwananchama wako! Kama mjadala wa viongozi wetu kuishi maisha wanayoyahubiri unachosha is ajabu ipo siku utadai tumechoshwa na mjadala juu ya vita dhidi ya ufisadi na rushwa!

Shame on you Nepi!!

Unafananisha ufisadi na mtu kuwa na kadi za vyama viwili?? Aisee!! Kwa hiyo ufisadi wa Kinana mwuuaji wa tembo wetu sawa na Dk. anayemiliki cadi ya ccm??

Disgusting!!

Ulipoibua hili ulifikiri umeibua bingo, bahati mbaya limekugeukia. Be very careful in future
 
hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni ngo mnanuna!! Akhhaaaa!

kama chadma sio chama basi hata msajili wa vyama vya siasa bwana tendwa inabidi apimwe akili. Ameteuliwa na rais kusajili vyama vya sisa kwa kufuata kanuni na taratibu na sio kusajili ngo. Sasa kama mteule wa rais anafanya usajili wa ngo badala ya chama cha siasa basi hili nalo ni balaa.rais inabidi awe muangalifu katika uteuzi wake.
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!
ccm ni NGO ya nani? Maana naona wewe kila asemacho kikwete ni kuropoka tu,ndo maana kikwete kakuingiza mkenge kwenye hoja ya kujivua gamba,iko wapi na imefikia wapi?
 
hivi CCJ iliishaje ishaje? naomba mwongozo!! --mimi siamini inawezekana bado ipo hai na inaendelea na harakati zake za underground towards 2015 who knows? Mtu akitemwa tu CCM basi kimbilio la peponi linakuwepo - kuweni makini.
 
Nape nakushukuru kwa kufunguka kuhusu hili...mimi nina kadi ya ukaazi wa mahali nilipokuwa ninaishi zamani.tangu nihame nchi sijairudisha. Je bado mimi ni mkaazi wa eneo lile kwa mujibu wa sheria? Ilitoka kwa Ward Executive Officer (W.E.O) mwaka 1995, na hadi leo hii ninayo.

Nashukuru kwa ukiri wako wa busara kuwa Dr Slaa si Mwanachama wa CCM kwa mujibu wa katiba ya Chama. Una maana Dr Bado anailipia kadi yake? Hapo mwisho kwenye is ni neno la kiingereza la "ni" au ni neno la kiswahili la "si"
Naomba uendelee kufunguka zaidi ili tukuelewe.

Inaelekea babu yake mzee Kinana na Philip Mangula wamemnyoosha asiendlee kukivua nguo chama chake, huu ukimya sio bure, kishashikishwa adabu na babu zake. Halafu tena hana adabu,mtu aliyepaswa kumwita baba Mdogo anamwita babu? huyu kijana kweli hakupata malezi mazuri, huyu nae si aliwahi kuomba kugombea Ubenge kupitia CDM mwaka 2010 pale Ubungo? CDM wakamwambia, "dogo, huwezi kuvaa viatu vya Mnyika wewe" alipopewa u DC tu, kimy hadi leo, kamtusi Lowasa weee, kashikishwa adabu, kimya hadi leo, ile single ya kuvuana magamba haimbi tena; Nimalizie tu kusema, jamani eeh, hwa ndio watunga sera za maendelea ya Tanzania, hivi bado kuna mtu anajiuliza kwanini nchi hii masikini? Jibu lipo hapo, mwangalieni nape na mtazamo wame na namna anavyofikiri, hiyo ndio sababu ya kwanini Bongo masikini, magamba wengi wanafikira kwa naman hiyo!
 
Back
Top Bottom