Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

Kapya,
Kwahiyo huwezi kumfukuza mtu ambaye simwananchama wako! Kama mjadala wa viongozi wetu kuishi maisha wanayoyahubiri unachosha is ajabu ipo siku utadai tumechoshwa na mjadala juu ya vita dhidi ya ufisadi na rushwa!

Nape mie huwa nikiangalia unapoongea kwenye vyombo vya habari nachoka kabisa
Uwe unajipanga kabla ya kuongea....
 
Nape unavyoongea inaonekana kama una kahang over vile. Vipi bado unaendelea kujilipua au umepunguza?Kwa nini hamkuwekea pingamizi Dr Slaa 2010 ili asigombee urais kwa kuwa CDM ni NGO? Acha kuropoka. Kuropoka kwako kunaonyesha jinsi gani CCM msivyo makini ndo maana nchi yetu inayumba. Hii pia ni kwa sababu CCM wengi mnaakili kama za samaki kwa mujibu wa Karume
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!
 
kama dk slaa amekili anamiliki kadi ya ccm kweli huyo ni mamruki ndio maana alishindwa kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita. wanachadema wenzangu tumfukuze huyo hatufai.
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!

yawezekana mkeo ametumia ID yako, mwanaume hawezi kuongea hayo maneno hapo juu labda kama ana hitilafu inayompelekea kuwa na hisia za kike.
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!

Nape kwa comment kama hii na masters ya mzumbe unatudhalilisha sana alumnai wa mzumbe
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!

eti haya ni maeneno ya kiongozi mwenye nafasi ya juu kwenye chama. Ama kweli kazi ipo.
 
Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...

Brother unajua ukiwa kijana halafu mnafiki ukizeeka utakua mchawi.
Pili show some little respect kwa watu waliokuzidi umri kwani mzee wako kazaliwa mwaka gani hadi kufikia stage ya kumuita Dr babu?Kama kweli age yake na ya mzee wako vinatofautiana sana its okey ila kama unamuita hivo kama mi navofikilia nazani malezi ya upande mmoja yamekuathili kijana mwenzangu na ninamashaka kama kwenu/ulipolelewa kulikua na wakubwa.
 
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
Mithali sura 26
3 Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda,
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT] [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu!
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow] 4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]Bwana Nape Nafasi uliyo nayo ni kubwa sana, nahisi huitendei haki, unaponena kauli yako inahesabiwa kuwa ni kauli ya wana CCM zaidi ya Milioni Tano, achana na mambo ya kitoto, acha mabishano ya kipumbavu na wewe utaonekana kama wao. Maneno hayo juu kama ni msomaji wa Biblia naomba yakusaidie achana nao, wao wanafanya nini wana haki ya kufanya wanayofanya wewe waambie tunafanya nini, wewe waweke mijeredi tu mbona mbinu nyingi tu!! na kama wanachokipigia kelele kina manufaa kwa chama chetu wewe copy na kifanye kabla yao waache wabaki na maandamano tena wala usiwazuie, weye wazuie kwa vitendo watajikuta wako peke yao.

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]

mkuu ungeendelea kidogo sura hiyo hiyo mstari wa 5 inasema "mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi" ndio maana chadema wanamjibu nape kulingana na upumbavu wake!
 
Ccm kila siku mmezidi kung'ang'nia kwamba Dr slaa katibu mkuu wa chadema ana miliki kadi ya Ccm na anailipia. Kama ni hivyo nawaomba mmfukuze uanachama haraka iwezakanavyo kwa sababu zifuatazo
1.amekuwa anafanya kazi za chadema kwa uaminifu
2. Ameonesha udhaifu na ufisadi wa serikali ya chama chake
3. Amemtaja mwenyekiti wake kuwa ni fisadi papa
4. Aliwapa tabu uchaguzi mkuu 2010 wakati hakuwa na sababu kufanya hivyo
5. Ameipa tabu ccm na serikali yake kupitia m4c
6. Viongozi wa juu wote wa ccm amewaponda kuwa hawana jipya kuwa ni mafisadi wazoefu
7.amewewavua magamba maelfu na maelfu na kuwapa kadi cha chadema hadharani
8.amekuwa anasifia chadema hadharani bila woga na kuiponda ccm
9. Bado amekuwa anazunguka na kutoa elimu ya uraia kuikataa ccm
10. Amewapigia kampeni wagombea ubunge wa upinzani badala ya wale wa ccm
Kwa sababu hizo ni dhahiri kwamba Amekuwa anafanya kazi ya chadema huku akiwa mwanachama wa ccm hivyo nawaomba mmfukuze haraka iwezekanavyo ili lijulikane moja kwamba Dr slaa nh Chadema
 
Una akili kuliko rais wako, yaani inakuwa vipi wanashindwa kumfukuza msaliti?
 
wanajamii wenzangu naomba mnisaidie kuhusu Nape Nauye kushkia hoja ya dr slaa kuwa na kadi ya ccm huku akiacha kuongelea habari ya maisha magumu yanayowakabili wataz, wizi wa serikali ya kikwete, upungufu wa madawa hospitaln, upungufu wa walimu shuleni, upungufu wa maabara, mfumuko wa bei, wizi wa mabilion yaliyofichwa uswis na mengne mengi. Je anatengeneza hoja hiyo kwa manufaa ya nani? Nasema hv kwn miezi kadhaa iliyopita alipta mikoani mpaka kule songea alitoa machozi kuoyesha ana uchungu na watu hasa kwa hoja yake hii je ni kwa maslahi ya nani?
 
NAPE siku zote hana hoja za kumletea ushindi, Kazi yake ni kupayuka
1. Tutajivua Magamba ndani ya siku tisini, Mpaka leo kimya na sasa kaja na kauli mpya ya "TUNAJIHUISHA"

2. Mafisadi wote hawatapata nafasi katika chaguzi za ndani ya CCM, matokeo yake Mafisadi ndio waliopeta
wanaendelea kujiimarisha katika kila ngazi ya uongozi wa CCM

Ndugu zangu Watanzania Nape anachofanya ni kujaribu kufifisha mawazo na muelekeo wa wapenda mabadiliko, Muhimu tuachana naye.
 
Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!
Jamani, hii si ni taarabu na misemo ya kike kabisa hii, huyu ndio mkuu wa itikadi ya chama tawala, naye hapa akijibu hoja, duu, UNBELIEVABLE.
 
kama dk slaa amekili anamiliki kadi ya ccm kweli huyo ni mamruki ndio maana alishindwa kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita. wanachadema wenzangu tumfukuze huyo hatufai.

ona sasa nya ngema mwingne,tumetafakari wana mabadiliko hyo sio hoja ya msingi.tukifatilia hyo tuna mpa sifa nape .ataanza sema umeona washajichanganya,
 
kama dk slaa amekili
anamiliki kadi ya ccm kweli huyo ni mamruki ndio maana alishindwa
kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita. wanachadema wenzangu tumfukuze
huyo hatufai.

We nae uliona wapi ktk katiba ya nchi yetu ikiruhusu matokeo ya urais kupingwa? Kaa kimya.
 
Back
Top Bottom