Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

sasa nisaa 13:34 nipo kwenye meza za magazeti nimekosa magazeti ya nimekuta kipeperushi cha ccm kinaitwa Uhuru tu.na hata yaudaku yanakaribia kuisha lkn Uhuru nimengi sana najiuliza hivi ivihii kampuni inapata wapi pesa za kuwalipa wafanya kazi kumbe ndio maana siku za nyuma waligoma wakitaka watimiziwe mahitaji yao yalio kuwa yakikiukwa??
 
Nape ni kama Mohammed Saeed al-Sahhaf ambaye alikuwa Msemaji wa Iraq enzi za Saddam Hussein wakati wanavamiwa na Marekani.
 
Tatizo baada ya kuona CCM imekuwa CHAMA CHA KIFAMILIA,basi wanajua vyama vyote vinauzwa kama wao wanavyouza mali asili zetu.

Nape OILCHAFU HAITOKI YENYEWE INATOLEWA.Na kwa sababu huko Serikalini MCHWA ni mwingi sana DAWA YA MCHWA ni OIL CHAFU Upooooooooo:cheer2:
 
kwenye marketing wanasema kutajataja jina la competitor wako hata kama unampondea ni ushindi kwake, kwani unafanya wateja watake kumjua zaidi na kwa nini unampondea badala ya kutangaza bidhaa yako!

We utakuwa na A ya marketing mkuu.
 
hata kama tunachotaka muondoke pale magogoni si kwenu tena kuanzia tarehe 25/10
Join Date : 31st July 2015
Posts : 39
Rep Power : 310
Likes Received6
Likes Given0
mkuu licha ni mgeni ila
taratibu angalia nilicho sema na ulicho jibu ila usijali kanyaga twende !??
 
cc wanachama wa chadema tumekubali kuuzwa ,ccm nini kinawauma,hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
 
Tatizo kubwa ndani ya jf kuna vihelehele sana, kama mmeuzwa mkubali kwani kuna tatizo gani? Make siku zote mburula ni mburula2, hilo gazeti lilizungumza habari za Dr.Slaa mkalaumu sana2 wakati magazeti mnayoyaamini yakiwa kimya-Dr. yupo wapi? Hilo gazeti tena likatoa habari za Lipumba tena mkaponda sana2, leo yuko wapi? Leo mnaambiwa mmeuzwa pia mnalalamika, nyie watu wa namna gani? tatizo watanzania ni wasaalifu sana hata kwa mambo ya msingi.
 
mara ya mwisho kusoma gazeti la uhuru ni 1990 enzi za mwinyi.gazeti la ccm hilo.mbona halijazungumzia mafuriko ya mbeya
 
lakin c kwel jamaa kauza chama na ndo maana akina slaa walisepa. Kubalini kwanza kuwa biashara imefanyika na watu wamepiga hela ndo twende kwenye hoja zingine.
 
HIvi hawa si wana mgombea wao kwa nini kutwa wako busy na Lowassa? walikana polisi hawahakikiwi kadi zao za kura jana IGP kaongea..Jeshi nalo limeongea ..sasa wanatapatapa tu hawana pa kushika ..mwaka huu ni safari hamtakaa mpone
 
lakin c kwel jamaa kauza chama na ndo maana akina slaa walisepa. Kubalini kwanza kuwa biashara imefanyika na watu wamepiga hela ndo twende kwenye hoja zingine.

Mbowe kajipatia fedha za kampeni
 
a#@÷% $ mwingine utamu uusikie wewe. Sawa tumeuzwa so what Lowassa ni mbongo mwenzetu sio mchina anaechinja punda.
 
Nape na jk wameuza chama cha wakulima na wafanyakazi kwa matajiri wafanyakazi na wakulima tumekosa pa kupumlia ngoja tujaribu kwingine
 
Back
Top Bottom