Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Hawajatujulisha kuhusu maandamano ya jana ambayo polisi waliyakimbia pamoja na kuyapiga marufuku badala yake wakawa wasindikizaji na walinzi, na RPC ikabidi awe mpole.

Huyu naye alinunuliwa na Lowassa...
:):):):)...... mna vituko nyie... cjui akili zenu hufikiri kupitia kwa masaburi??!!

Hivyo ndivyo ilivyo.
 
mmaranguoriginal amepotea, sijamsoma toka EL alivyokatwa CCM. LAKI si pesa tayari yuko UKAWA
 
Last edited by a moderator:
CCM wajipange. Tu kwa kutafuta pa kupumzikia baada ya uchaguz hii Nchi sio yao tena
 
Sio kila kitu kinajadiliwa.
Jee mkikuta kichwa cha habari ukurasa wa mbele kinasema;
MWANDOSYA ALIUZA MWANAE KWA NNAUYE ILI APATE CHEO- Asema Chakaza jee mtapoteza muda kujadili? Kwa sababu kama mauzo yalikuwa ya siri basi bila ushahidi siri hiyo itabaki hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

kama hujui alilipwa kiasi gani atakuwa kaiuza mali kauli? Leteni mada zenye kutuelimisha na sio utu.mbo wenu huu wa kuuzwa kwa cdm ilihali hujui iliuzwa bei gani.
 
Wakat uhuru wanasema hivyo Mtanzania anasema hivi.
 

Attachments

  • 1439627122282.jpg
    1439627122282.jpg
    70 KB · Views: 175
Singo zile za kuwatuhumu wachaga aidha kumshutumu Mbowe hazina soko! Haziuziki kabisa! Watanzania wameamua moja! Lowasa anatosha!!
 
[QUOTECCM NDIO ILIYOZALISHA RUSHWA NA UFISADI, NI JIKO LINALOPIKA NA KUANDAA UFISADI. KISHA LEO PLEPOLE ANATAKA KUHADAA WATANZANIA ETI CCM NA MAGUFULI HAWANA UFISADI ANAJIPOTEZEA MATE NA ENERGY. WATANZANIA TUNAFAHAMU KILA KITU. TULIMTAJA JK KTK LIST OF SHAME NA BADO POLEPOLE HAKUZUNGUMZA, CCM HIYOYO ITUAMBIE RIZWN AMEPATA WAPI HUO UBILIONEA WAKATI NAYE ANA DEGREE MOJA KAMA WATOTO WA WALALA HOI,ALIAJILIWA WAPI PENYE MSHAHARA WA BASIC SALARY BILION 1. KAMA SIO MFUMO ULEULE WA CCM UMEMTAJILISHA MTOTO WA JK. POLEPOLE ANATAFUTA MADALAKA KAMA ALIYOPEWA YULE BWANA ALIYEMRUKIA NA KUMPA KICHAPO MZE WARIOBA LEO TUNAONA NI MKUU WA WILAYA. KWAHIYO HATA POLEPOLE HAWEZI ACHANA NA MFUMO CCM SABABU ANAUCHU NA KUWA BILIONEA.=maatope;13632499]View attachment 276534
CCM NDIO ILIYOZALISHA RUSHWA NA UFISADI, NI JIKO LINALOPIKA NA KUANDAA UFISADI. KISHA LEO PLEPOLE ANATAKA KUHADAA WATANZANIA ETI CCM NA MAGUFULI HAWANA UFISADI ANAJIPOTEZEA MATE NA ENERGY. WATANZANIA TUNAFAHAMU KILA KITU. TULIMTAJA JK KTK LIST OF SHAME NA BADO POLEPOLE HAKUZUNGUMZA, CCM HIYOYO ITUAMBIE RIZWN AMEPATA WAPI HUO UBILIONEA WAKATI NAYE ANA DEGREE MOJA KAMA WATOTO WA WALALA HOI,ALIAJILIWA WAPI PENYE MSHAHARA WA BASIC SALARY BILION 1. KAMA SIO MFUMO ULEULE WA CCM UMEMTAJILISHA MTOTO WA JK. POLEPOLE ANATAFUTA MADALAKA KAMA ALIYOPEWA YULE BWANA ALIYEMRUKIA NA KUMPA KICHAPO MZE WARIOBA LEO TUNAONA NI MKUU WA WILAYA. KWAHIYO HATA POLEPOLE HAWEZI ACHANA NA MFUMO CCM SABABU ANAUCHU NA KUWA BILIONEA.[/QUOTE]

nyie polepole hamwezi unafikiri akina mnyika
 
Nape hicho ni kilio cha samaki. Moyo unakuuma sana kwa ajili ya Edo, unadhani proganda dhaifu zinaweza kukuponya majeraha ya moyo? No, bali Kweli itakuweka huru siku zote. Poor boy. Jihadhali vinginevyo hypertension inakunyemelea.
 
Back
Top Bottom