Nape: Magamba kuvuliwa baada ya uchaguzi wa Igunga

nape doesn't deserve 2 be a politicians..ni basi tu Sir name ndio inamweka mjini!
Hana upeo wa kuona mbali zaidi ya tumbo lake na kujichubua, sorry bro, anza wewe kujivua gamba coz ndio unakizika chama..

Kwi kwi kwi kwi...... Kwahiyo Nape ni mzee wa Karolight kaa Nyosh el Sadat aka presidaa wa Fm Academia.
 
nape doesn't deserve 2 be a politicians..ni basi tu Sir name ndio inamweka mjini!
Hana upeo wa kuona mbali zaidi ya tumbo lake na kujichubua, sorry bro, anza wewe kujivua gamba coz ndio unakizika chama..

Kwi kwi kwi kwi...,, Kwahiyo Nape ni mzee wa Karolight kaa Nyosh El Sadat aka presidaa wa Fm Academia
 
Mheshimiwa Nape ni wakati muafaka sasa kuachana na maswala ya kuvuana gamba sana sana hao waandishi wanataka kukupotezea malengo ni vizuri ukawa unaongelea maswala mengine ya chama kuliko hili swala la kuvuana gamba kwani kimsingi linapotoshwa na wana CCM wenyewe pamoja ni hawa MAGWANDA
 
Umemwambia vizuri sana lakini sijui kama atakusikia !
 
nape hizo ni hadithi za alfu lela ulela, tulizosoma zamani sana hata kabla mama yako hajajua kama atakuzaa wewe.
 
Mkuu, kadri jf inavyopanda chati, documentation imekuwa ni tatizo. Ccm wangemwalika RA kwa barua, kesho yake ungeikuta hapa! Ukweli unabaki palepale, ccm si tu imemwomba, bali imemwangukia kabisa RA ahudhurie kampeni yao. Licha ya kuwaponda kwa siasa uchwara na kuwalaumu swala la kujivua gamba, bado amekubali kuwapigia kampeni! Ni kama mwanamke uliyezaa nae mkakorofishana. Ukimwangukia anasahau yote kwa kisingizio cha watoto. Upuuzi mtupu!!?

Basi hata picha jamani!mbona kina Rage,mkapa,mangula na wengine tumekuwa tukiwaona kila siku kwenye magazeti wakiwa majukwaani huko igunga?msimpandishe chati bure yule mburushi rostam,hana nguvu hizo,some folks hapa walikua wakidai eti mpaka chadema anazo nguvu na ndio alizotaka kuzitumia kumg'oa mbowe amuweke zitto,ulikua ni uzushi tu mimi nasema rostam hana ubavu kwenye siasa za nchi hii kwa sasa
 
Mheshimiwa Nape ni wakati muafaka sasa kuachana na maswala ya kuvuana gamba sana sana hao waandishi wanataka kukupotezea malengo ni vizuri ukawa unaongelea maswala mengine ya chama kuliko hili swala la kuvuana gamba kwani kimsingi linapotoshwa na wana CCM wenyewe pamoja ni hawa MAGWANDA

Ataendelea kuandamwa hadi atekeleze ahadi yake. Ni fedheha na aibu kwa mtu kuudanganya umma akifikiri atatupotezea!
Na wewe funguka akili na uache umbumbumbu! Tunawachagua viongozi tukitegemea watatekeleza ahadi zao. Huyu ametuahidi siku 90 tangu April hadi leo halafu unashauri upuuzi. Kufikiria kwa kutumia masaburi kunakufanya kutoa mawazo ya hovyo hapa!
 
Nape anatumia Masaburi kufikiri, anadhani hoja yake ya kuvua Magamba bado ipo.
 
anataka wawasaidie kushinda ubunge igunga kwanza?

Iwapo watashindwa uchaguzi huo, ndo uvuaji gamba utakoma kwa kuhofia kupoteza majimbo mengine.
 
Back
Top Bottom