Nape punguza mdomo usijifanye mungu mtu,mimi naunga mkono lowasa kuwa mgombea kwasababu uweza anawo sababu anayo mwisho anamaamuzi magumu nchi itanyooka
Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)!
Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!
Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.
Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!
HERI YA MWAKA MPYA 2014!
sisi tusio kwenye hayo mavyama yenu, tunataka raisi jembe bila kujali itikadi yake.
tunaona hayo mavyama yenu yote yana sera zilizoandikwa kwa maneno mazuri hata kuzidi vitabu vitakatifu lakini ukija kwenye ku-walk the talk ni mediocrity iliyopitiliza! hapa sina haja ya kupoteza muda wa ku-elaborate the obvious.
hizi longolongo za akina Nape, etal ni kupotezeana muda tu....Nape yuko hapo kama ajira na si kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Kesho tu anaweza kurudi zake CCJ, hata kwenda Chadema anaweza!
so, priority list kwenye nafasi ya uraisi ni hii hapa....
1. Dr Slaa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe
ikishindikana kwa sababu yeyote ile basi tunamchagua huyu hapa....
2. Edo Lowassa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe
see? sifa zao zinashabihiana. na ndizo tunazozihitaji. ama sivyo tukamfufue Sokoine (rip)!
kwangu mimi criteria ya wizi & ufisadi haina mashiko. karibia Watanzania wote ni wezi ama wanakula rushwa...kinachotofautiana ni viwango tu. bisha!
hata wewe hapo unayetaka kuipinga hii hoja yangu, kabla hujaandika kitu chukua dakika moja tu (hata si zaidi) utafakari na ujipime hapo ulipo. mwizi!
Ila nape kiukweli kabisa, Muambie Katibu Mkuu aache hii biashara ya Meno ya Tembo inatutia aibu sana watanzania aisee.
Kama vipi tumpe kisiwa cha mafia basi aachane na hiyo kitu, Mbona kuna biashara nyingi tu.
Nimependa sana hili ombi lakutoka moyoni! Yani ni bila kejeli bali ni kwa maumivu makubwa sana!
Dah nami sijui Nape atakua anajiskieje ndani kabisa kwa moyo! Si apewe hata kamgodi jamani!
sisi tusio kwenye hayo mavyama yenu, tunataka raisi jembe bila kujali itikadi yake.
tunaona hayo mavyama yenu yote yana sera zilizoandikwa kwa maneno mazuri hata kuzidi vitabu vitakatifu lakini ukija kwenye ku-walk the talk ni mediocrity iliyopitiliza! hapa sina haja ya kupoteza muda wa ku-elaborate the obvious.
hizi longolongo za akina Nape, etal ni kupotezeana muda tu....Nape yuko hapo kama ajira na si kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Kesho tu anaweza kurudi zake CCJ, hata kwenda Chadema anaweza!
so, priority list kwenye nafasi ya uraisi ni hii hapa....
1. Dr Slaa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe
ikishindikana kwa sababu yeyote ile basi tunamchagua huyu hapa....
2. Edo Lowassa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe
see? sifa zao zinashabihiana. na ndizo tunazozihitaji. ama sivyo tukamfufue Sokoine (rip)!
kwangu mimi criteria ya wizi & ufisadi haina mashiko. karibia Watanzania wote ni wezi ama wanakula rushwa...kinachotofautiana ni viwango tu. bisha!
hata wewe hapo unayetaka kuipinga hii hoja yangu, kabla hujaandika kitu chukua dakika moja tu (hata si zaidi) utafakari na ujipime hapo ulipo. mwizi!
Mbona hueleweki? Hayo ndiyo uliyotumwa kuyasema? unataka tutawaliwe na wezi? Sitaki kuamini kama kweli wewe ni mtanzania.
Kumbe na wewe ni kala rushwa eeeh!!!
Huu ndio unatakiwa uwe msimamo wa nchi, siyo chama kimoja kimoja. Na iwe chama chochote kitakachoruhusu kuvunjwa kwa msimamo huu kinakuwa kimentenda kosa. Au mtu yeyote ama kwa makusudi, kwa kushawishiwa au vinginevyo akifanya hayo anachukuliwa hatua za kisheria na nchi na kuungwa mkono na wote.Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)!
Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!
Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.
Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!
HERI YA MWAKA MPYA 2014!
jifanyie tathimini wewe mwenyewe binafsi kwanza kabla hujaninyooshea kidole hapa..ebo!
Nape yupo sahihi nampongeza sana, haiwezekani mtu/watu wakitaka kugombea wagawe pesa kama vile wanaviwanda vya kudurusu pesa, mtu alikuwa mtumishi wa umma leo hii anaendesha harambee za mabilioni si awapelekee watu wa jimbo lake waondokane na shida za maji na chakula! Au awajengee malambo ili mifugo yao iache kuzurura hovyo