Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...

Mlimani Tv japokuwa inatoa habari nzuri lakini hazina faida kwa watu tunaoishi nje ya jiji la DSM. ukiwa Mbeya city, rock city, tanga, A town hutapata habari toka huko. So, Nawataka wapanue masafa yao ili wote tufaidi matunda ya miaka yao 50 ya chuo kikuu.tatzo la hyu kaka hana nondo za maana ktk kukitetea chama chake''ntamsikiza huwa napendaga kuwasikiza.
amealikwa au CCJ imelipia kipindi?Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...
Inapatikana pia kupitia king'amuzi cha star media. Nje ya king'amuzi kata yetu kama unavyoiita inaanzia DSM, Pwani, Zanzibar kote huko wanapata kwa antenaMlimani TV ? hii si ni TV ya kata hapo Jijijini Dar,Maongezi yake yatahusu maeneo hayo au nchi nzima
Na nyie UDSM fanya hima ingiza TV yenu kunako Satelite.
au ni wire to wire connection kwa wanafunzi wenu
Aibuuuuu !
mliman tv inafanya vizuri sana hasa kwenye vipindi vya mambo ya siasaInapatikana pia kupitia king'amuzi cha star media. Nje ya king'amuzi kata yetu kama unavyoiita inaanzia DSM, Pwani, Zanzibar kote huko wanapata kwa antena
Sikia pumba za nape mlimani tv now!
Wengine tv zimeunguzwa na katika katika ya umeme tujuze bwana