Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

Naper ni mopunbavu tu siku zote nimekuwa nikiwaambia,hana jipya huyu dogo ambaye ameamua kuchangamkia carolite.Alaaniwe yeye na mambo yake yote!
 
Hivi watz wenzangu, ni nini tunakipigania kama watanzania, ni mivutano ya maneno ambayo haina mwelekeo wa kuinua uchumi wa taifa letu? au ni kuunga mkono watu ambao wametumia muda wao katika madaraka kujilimbikizia mali na na kuwa sehemu ya kuyumba kwa uchumi wa taifa letu kwa kufakamia kila fursa ya kibiashara inayotokea katika nchi yetu, au wale ambao wanadhamira ya kurejesha nidhamu katika CCM na serikali yake ya kuheshimu madaraka na nyadhifa wanazokabidhiwa, kama anavyofanya NAPE? tufike mahali tubadilike, tuache tabia ya uCCM na uCHADEMA, tutetee nchi yetu.

wa2 wengine akili zao finyu kweli... 2nateteaje nchi ye2? Njia zpo nyingi sana... Hata maneno yanasaidia, mara ngapi rais wa nchi kabadili maamuz kuckia maneno 2... As long as kuna ukweli uschoke kuongea...
 
Hapo hamna chembe ya udini. Kwa wakristo wakatoliki, ukishapata daraja la upandre, hiyo title haifutiki kamwe! Slaa kwa kuwa alikuwa padre, siwezi kumnyima title yake!
Ama kweli mbongo akipewa msimbazi atapigana kufa kupona amridhishe boss wake
 
Ukifumbua kinywa unawapa watu nafasi ya kujua wewe ni nan? Naamini walio wengi tumemfahamu Nape ni nani na kichwan kwake kuna nini pia? Ushauri kwake tu asome alama za nyakati.Time will tell na wala si mbali; watu walio wengi wameabadilika kabaki yeye na baadhi ya wachumia tumbo. Atambue watu tuna uchungu na kodi zetu tunazolipa asilete mchezo ya siasa uchwara alizozisema R.A
 
Tusiwe na mazoea ya kupinga kila kitu. Nape kaongea vizuri sana. Yupo after ukombozi wa vijana.

na tusiwe na mazoea ya kuunga mkono kila pumba anazoongea mtu mwenye itikadi moja na wewe
 
Nadhani watu wengi wamejadili lakini wamesahau hii ambayo ndiyo inayomsukuma Nape adakie hoja ya ukombozi kwa vijana. CCM inafahamu pasipo na mashaka kuwa vijan ndiyo wanaoupa upinzani nguvu. Sasa ili kupunguza nguvu za upinzani kwa vijana imeiga sera za upinzani za kuhamasisha vijana waandamane kupinga malipo ya Dowans na ufujaji wa rasilimali za taifa ambazo hoia hizo ndizo zimekuwa zikikiangamiza katika siku za usoni. Ili kujifafanisha na vyama vingine vya kipiganaji ndiyo maana wanataka kujitia nao ni wapiganaji. Halafu dhana nyingine ambayo imejificha, watu wanapoandamana kunakuwa na kauli nyingi kam slogani za kulaani serikali hususani kwa maamuzi butu, hivyo directly kundi hilo litaichukia serikali na CCM hivyo kama uchaguzi ungefanyika hapohapo basi serikali ingeweza kupoteza kura nyingi na kuna gharama ya kuja kuitoa sumu hiyo. Sasa inachotaka kukifanya serikali kupitia kwa Nape ni kupoza hayo maandamano ya wanaharakati na CDM kwa ujuml ili ionekane ni hayan nguvu sana na CCM isiwe katika upande wa loser kihivyo. Swali la msingi ambalo serikali inapaswa kulifanya ni aidha kugoma kulipa malipo ya Dowans ya au iwaadibishe kwa kuwafunga kifungo cha maisha ili iwe funzo kwa wengine.
 
Nape hana jipya la kuuelezea umma: sana sana kazi yake siku zote ni kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya vyama vya upinzani
 
Hahahahahahahah..
CDM VIAZI sana!
Badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape..
 
Hahahahahahahah..
CDM VIAZI sana!
Badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape..

kwahiyo, we unataka kusema Nape anaweza kumaliza hotuba zake bila kuiponda CDM!!!!!, fatilia hotuba zake zote. Kwa upuuzi huo wanao-ona mbele lazima wapambane naye.
 
kwahiyo, we unataka kusema Nape anaweza kumaliza hotuba zake bila kuiponda CDM!!!!!, fatilia hotuba zake zote. Kwa upuuzi huo wanao-ona mbele lazima wapambane naye.
Kumbe anaitaja CDM na siyo mtu?
Mbona CDM yote kuanzia Mwenyekiti mpaka mfagizi lazima amtaje Nape?
Yaelekea huyu bwana mdogo Nape anawanyima sana usingizi CDM
 
Kumbe anaitaja CDM na siyo mtu?
Mbona CDM yote kuanzia Mwenyekiti mpaka mfagizi lazima amtaje Nape?
Yaelekea huyu bwana mdogo Nape anawanyima sana usingizi CDM

amnyime nani usingizi!!!, labda nyie mnaemtegemea awavalishie wake zenu kwa khanga za chama..
 
Back
Top Bottom