Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

Mikole007

Member
Jun 16, 2011
11
1
Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...
 
tatzo la hyu kaka hana nondo za maana ktk kukitetea chama chake''ntamsikiza huwa napendaga kuwasikiza.
 
Kumsiliza Nape labda kama sina kazi,na kwa bahati mbaya I always have something to do.
Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...
 
Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...

Jana si alisema Chadema kuandamana hakutasaidia au kubadili hukumu ya mahakama!!?Sasa Leo anayarudia matapishi yake tena?
 
tatzo la hyu kaka hana nondo za maana ktk kukitetea chama chake''ntamsikiza huwa napendaga kuwasikiza.
Mlimani Tv japokuwa inatoa habari nzuri lakini hazina faida kwa watu tunaoishi nje ya jiji la DSM. ukiwa Mbeya city, rock city, tanga, A town hutapata habari toka huko. So, Nawataka wapanue masafa yao ili wote tufaidi matunda ya miaka yao 50 ya chuo kikuu.
 
Nimesikia promo Mlimani Tv vuvuzela wa JK atakuwa Mlimani TV leo saa mbili na nusu usiku kutangaza jinsi CCM watakavyoshiriki maandamano ya kupinga malipo ya Dowans.....
Sio ya kukosa ni kwenye kipindi cha kurunzi...
amealikwa au CCJ imelipia kipindi?
 
Mlimani TV ? hii si ni TV ya kata hapo Jijijini Dar,Maongezi yake yatahusu maeneo hayo au nchi nzima

Na nyie UDSM fanya hima ingiza TV yenu kunako Satelite.

au ni wire to wire connection kwa wanafunzi wenu
Aibuuuuu !
 
Ni vizuri kumsikiliza huyu mzee wa pumba japokua huwa anabore muda wote! Sasa kuhusu dowans kulipwa sijui ataongea nini huyu mzee wa kuropoka. wanasema HUWEZI KUMDHARAU MTU KAMA HUMJUI, sasa ni wakati wa kumsikiliza tena na kuendelea kumdharau kama ataendeleza pumba zake
 
Mlimani TV ? hii si ni TV ya kata hapo Jijijini Dar,Maongezi yake yatahusu maeneo hayo au nchi nzima

Na nyie UDSM fanya hima ingiza TV yenu kunako Satelite.

au ni wire to wire connection kwa wanafunzi wenu
Aibuuuuu !
Inapatikana pia kupitia king'amuzi cha star media. Nje ya king'amuzi kata yetu kama unavyoiita inaanzia DSM, Pwani, Zanzibar kote huko wanapata kwa antena
 
mliman tv inafanya vizuri sana hasa kwenye vipindi vya mambo ya siasa
nataman hii tv ingekuwa inafika arusha
 
hii kali.....................

anajifananisha na mbwa.....................

kwamba yeye amefugwa na CCM...........................

na anasema ukifuga(CCM) mbwa (Nape) usibweke mwenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom