Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

cheni ki kitu cha kawaida kama una uwezo wa kuinunua. Kwa taratibu zetu za kiafrika hatupaswi kutoboa masikio au kuvaa miguuni. Ila shigoni au mkononi hakuna tatizo kabisa. mwingine anaweza kuvaa saa ya gold tupu na n.k. inategemea na uwezo wa mtu. wataanzania tutafute maada za kudiscuss ila hii haina msingi.
 
kwa hiyo katika viongozi wote wanaume wanaovaa cheni za gold umemuona nape tuu? mbona wapo wengi sa na au chuki binafsi na huyu nape?
 
cheni ki kitu cha kawaida kama una uwezo wa kuinunua. Kwa taratibu zetu za kiafrika hatupaswi kutoboa masikio au kuvaa miguuni. Ila shigoni au mkononi hakuna tatizo kabisa. mwingine anaweza kuvaa saa ya gold tupu na n.k. inategemea na uwezo wa mtu. wataanzania tutafute maada za kudiscuss ila hii haina msingi.

Wamasai siyo waafrika?
 
Kwa hili,cna cha kumponda nape,ana uhuru wa kuvaa chochote atakacho mazee.
Uko sawa kabisa lakini siku akianza kuvaa shanga ntamuuliza tu... by the way sikubaliani na unaposema chochote, so hata akianza kuvaa sketi itakuwa poa tu as long as ana uhuru ama?
 
Pamoja na kwamba ninaichukia CCM kwa nguvu na akili zangu zote..This is a personal choice na nafikiri we should stay out of it. Nape akitaka kuvaa chochote anachotaka hata kama ni hereni masikioni, I am cool with it, so long as hajamwibia mtu. Kuna issues za maana za ku discuss and not this one.
 
Hii Nape umependeza sana. Jipende kaka yangu. feel good. hata ya shingoni ongeza kama unaweza. i like it.
 
mm naona hata shati alilovaa si lake aache mashati meusi avae ya kijani, na kuvaa ya mguuni mtanyamaza.
 
Cheni ya shingoni kwa mwanaume sioni tatizo ila hiyo ya mkononi kaka Nape mpe mkeo please. Hata mimi nimeshtuka sijawahi ona mwanaume kavaa hiyo kitu mkononi. Next mtaanza kuvaa na vikuku. Lo haikawii mkawa mnagombea muda wa kutumia dressing table na wake zenu sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom