Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

Nijuavyo mimi Gold ni pambo la mwili na pambo maana yake linalenga kuvutia mbele ya macho ndio maana wanawake wanapenda sana kuvaa mapambo ya dhahabu kwani pamoja na kupendezesha mwili bali pia inasemekana hulainisha mwili

sasa cha kujiuliza ni kwa nini mwanamme ambaye ni rijali anavaa chen ya Gold not only shingoni bali hata mikononi?

Je Nape anajaribu kutupatia message gani au kuna jambo anajaribu kutueleza INDIRECTLY?

Je CCM mliopo humu mnaona huu ni mfano bora au ndio mnaanza kujionyesha mko inclusive of all sorts of pple?

Ingekuwa ndugu yake wa kike Bimdogo kavaa cheni ningeelewa lakini hata huyo bimdo mwenyewe havai haya madubwasha iweje huyu jamaa anaona poa tuuu?

Hakuna shida ila kama angepaka wanja kwenye macho na lipstiki ndio ingekuwa noumaa.

zngne sifa za kjnga!! et ataka kuwa kjana wa ksasa!! shalobalo!! wakat tunajua kuwa ccm n ya wazee wengi asa anataka kutwambia nn?

ni moja ya kujiwekea vijisent vyake siku ikifika hupita kwa sonara then anachukua chenji yake na kuacha huko hiyo chain

mie sisemi.. kitu.. niko kimya kabsaa.. napitapita polepoooole.. wanasema (sio mimi) eti kwamba wanawake guu la shoto kuvikwa Cheni ni sawa na wanaume kono la shoto kuvikwa cheni.. eti mtu huyo anagawa "hudma" pande zote.. mh mie sijui kama ni kweli.. ila watu wanasema tu.. sio mimi..

Jamani vitu vingine ni umahili wa mtu vile apendavyo kuonekana kwani tatizo nini mbona wengi tu wanava tena watu malufu kuliko hata nape au kwake yeye kuva ni zambi tujuzeni nasi tujue mi sinaona tatizo au yeye haluhusiwi kuwa mtanashati mengine ni mambo ya mtu binafsi hapo hutuzungumzi uchama sio vema jambo ambalo halina masilah kwa jamii kulikuza na kufanya ni kama zambi mbele ya jamii.HI NI NGUVU YA UMMA.Huu ni mtazamo wngu

NAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.JPG

Nijuavyo mimi Gold ni pambo la mwili na pambo maana yake linalenga kuvutia mbele ya macho ndio maana wanawake wanapenda sana kuvaa mapambo ya dhahabu kwani pamoja na kupendezesha mwili bali pia inasemekana hulainisha mwili

sasa cha kujiuliza ni kwa nini mwanamme ambaye ni rijali anavaa chen ya Gold not only shingoni bali hata mikononi?

Je Nape anajaribu kutupatia message gani au kuna jambo anajaribu kutueleza INDIRECTLY?

Je CCM mliopo humu mnaona huu ni mfano bora au ndio mnaanza kujionyesha mko inclusive of all sorts of pple?

Ingekuwa ndugu yake wa kike Bimdogo kavaa cheni ningeelewa lakini hata huyo bimdo mwenyewe havai haya madubwasha iweje huyu jamaa anaona poa tuuu?

Mzee wetu alishawai kusema kwa mtoto wake wa kiume alipomkuta kavaa cheni ya gold;akamwambia wewe mvulana uvae cheni na dada yako/mama yako wavae nini?
Toka siku iyo dogo ajawai vaa cheni na atakama atakuwa anavaa ni siri yake.

Similar Discussions

Back
Top Bottom