Nape kuunguruma Igunga leo

Nape kuunguruma Igunga leo

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Katibu waitikad na uenezi wa ccm nape nnauye anatarajia kutua igunga leo kwaajili ya mapokezi ya mbunge aliyerejeshewa ubunge na mahakama juzi dr.kafumu
nape anatarajia pia kuwahutubia wananchi waigunga .
Hongera sana nape hongera dr.kafumu nenda ukawatetee wanachi nakuitetea ilani ya ccm
ccm oyeeeeeeeee

naomba kuwasilisha
 
nape nae anaweza kuunguruma kweli?ana ubavu huo?nafikiri anakuja kuhutubia wana ccm wachache sana waliobaki hapo igunga.angekuwa na uwezo wakunguruma ange endeleza ile hoja yao ya kuvua magamba,nape bana kimyaaaaa.
 
Hivi yupo kweli huyu kapoa saaaanaaaa au m4c inamchanganya
 
npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/.
 
@nape usisahau kuinadi Chadema kama alivyofanya mzee kinana kule moro.
 
Katibu waitikad na uenezi wa ccm nape nnauye anatarajia kutua igunga leo kwaajili ya mapokezi ya mbunge aliyerejeshewa ubunge na mahakama juzi dr.kafumu
nape anatarajia pia kuwahutubia wananchi waigunga .
Hongera sana nape hongera dr.kafumu nenda ukawatetee wanachi nakuitetea ilani ya ccm
ccm oyeeeeeeeee

naomba kuwasilisha

80 parcent yatakayozungumzwa itakuwa chadema.
 
Juzi alitukana wagonjwa wa kifafa.It was a reckless statement kutoka kwa msemaji wa chama tawala kunyanyapaa wagonjwa wa kifafa.
 
Kama ada tunategemea double standards atatukana matusi yote na hakuna cha TISS wala cha maadili! Akisema wa ccm amesema akisema mpinzani ameropoka.
 
Katibu waitikad na uenezi wa ccm nape nnauye anatarajia kutua igunga leo kwaajili ya mapokezi ya mbunge aliyerejeshewa ubunge na mahakama juzi dr.kafumu
nape anatarajia pia kuwahutubia wananchi waigunga .
Hongera sana nape hongera dr.kafumu nenda ukawatetee wanachi nakuitetea ilani ya ccm
ccm oyeeeeeeeee

naomba kuwasilisha

80 parcent yatakayozungumzwa itakuwa chadema.
 
funy,,,eti nape nae anaungurum,,,nadhani ungesema,,,nape kuendeleza mipasho igunga,
 
Bado ataendelea kunadi ile single ya Lwakatare au kuna audio nyingine?
 
Lori zote za kubeba mahindi pale kibaigwa,zinaelekea igunga zikiwa zimesheheni watu wa kijani na njano.
 
npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/.

Hiyo tenda ishakushinda, nadhani Wajumbe wanakusanywa kuanzia Moro, Dom, Sing toka njia ya mashariki bila kuwasahau vijana wa Dar.
 
npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/.

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwani yale ya TOT yanafanya kazi gani , si bendi imekufa ile ?
 
Mimi nasubiri aina ya Matusi atakayoleta leo , maana kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba Nape ameruka kutoka nje ya kumi bora ya Matusi hadi Tatu bora ( Wow ! What a leap frog ? )
 
Back
Top Bottom