utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Heading haiendani na kilichomo ndani...umeandika kichina china mno.
Magwanda matumbo joto kweli
Shonza naomba nikutaarifu kuwa humu jf kunawatu wako milembe day kwa hiyo ukijibizana nao jua hilo siyo wazima hata kidogo mmojawapo ben saa nane.
Heading haiendani na kilichomo ndani...umeandika kichina china mno.
Kichwa cha habari kingekuwa hivi;
NAPE KUROPOKA IGUNGA LEO
npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/.
Ha ha.we mhudumu nipatie kinana bariidi.ndovu bariidi
Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwaUuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti?
Kwa uelew wako unafikiri ulichokiandika kunamtu atakuamini?,labda awe mwehu kama wewe,uko milembe day wewe.Leta habari kamili, kiu yangu haijaisha pale uliposema "wamezoomewa" then ukauchuna bila kusema ilikuwaje....funguka sasa..
Mleta mada angeandika hivi nape kulia igunga leo.
Kwani wanao ungurumaa ni kama akina dk.w.slaa na akina lema
Kama ada tunategemea double standards atatukana matusi yote na hakuna cha TISS wala cha maadili! Akisema wa ccm amesema akisema mpinzani ameropoka.
Mkuu hiyo siyo kazi yangu mimi nimefikisha ujumbe basi mengine naachia wadau.hivi wewe unaweza kumjua saa nane kumzidi shonza kweli!
Mkuu ulishatoka milembe kumbe karibu jf kwa sasa utakuwa milembe day siyo.Hahaha hahaha raha sanaaaa....Nape hebu nipatie "kinana lager" bariiiidi kabisa...
Hahaha ongeza kinana lager 2 tafadhali kwenye oda yako nina kiu sana.
Nasubiri humu kuskia matusi yake kwa CHADEMA, maana ndo kitu pekee wanaweza fanya...
Virus and poison detected!!!!!!!!!!!!Juzi alitukana wagonjwa wa kifafa.It was a reckless statement kutoka kwa msemaji wa chama tawala kunyanyapaa wagonjwa wa kifafa.
Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwa
Virus and poison detected!!!!!!!!!!!!