matusi ni ya kina sugu, msigwa na lema na wenje
Za hawa waheshimiwa ni FIGURATIVE LANGUAGE. Tatizo waheshimiwa wenu wengi ni wa MMEMKWA hawakawii kupagawa. Hawana hata muda wa kutafakari neno zaidi ya kukurupuka na hatimaye kupandwa na jazba na kutoa matusi.
Eti kusema F**** Y*** anaona ndio usomi wenyewe kumbe kaonyesha upunguani wake mbele ya jamii.