Kikwetu ukikuta baba yako kalewa yuko uchi unatafuta majani unamfunika funika wasimcheke. Wakimcheka ni sawa na wamekucheka wewe. Ila pombe zikimuisha unamweka kitimoto na kumtolea uvivu.Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Kwani Mwandosya ni nani kwake?
wazee wasiojiheshimu na ambao wanafikiri kwa matumbo yao wala hawahitaji chembe ya heshma! kwani walishajivua kutoka kwenye daraja la kutukuka.Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
Nape waheshimu wazee wako.
Nape yupo sahihi..... CCM haiendeshwi kwa vitisho. Kingunge anatetea maslahi yake kwa Lowasa. Kila mwanachama ndani ya CCM anayohaki sawa hakuna aliye bora zaidi ya mwenzake hivyo asituaminishe kuwa LOWASA ndo mtu pekee ndani ya chama mwenye uwezo wa kuongoza taifa hili.
je na wazee wasipojiheshimu tufanye nini..?
sometimes inakera pale baadhi wanajifanya wao ndio chama na kauli yao lazima iwe ya mwisho ...kwa sababu ya Age tu....
kingunge anatakiwa anyamaze .. maana kila akiongea tunazidi kumdharau
Huwa namchukia Nape...lakini kwa hili Big Up mwana!....hela itamtokea puani Babu!
Kingunge atahakikisha ccm inabakia historia
Mtashangaa baada ya October 2015 na aibu ya Kingunge atakosa pa kuificha
Ni dhahiri Kingunge akili yake imerudi utotoni;
Nape ni msemaji wa ccm na anekuwa akiwaonya na huyo fisadi sasa kwa kuwa hawakutaka kusikia sauti yake yamewakuta.
Nepi ni kichaaa,kingunge pambana mpaka lowasa arudishwe.Pombe hatumtaki amejenga barabara mbovu