Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.
Huyu Kijana naona mwisho wake ni Oct.2015
Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.
Acha mpambano uendelee.
Makamba bila haya aibu! Hajui mwanaye naye alikuwa sehemu ya wagombea-kwa hiyo yeye hakuwa na Masilahi binafsi?
Jeuri ya CCM ni uwapo wa vijana na watu wazima wa aina hii alafu watu oyeeeeeeeeeeeeee ! Maisha Bora kwa kila mtanzania.
Hili la viuno haikutosha likaja ;
Nape na wewe una adabu,kwani mtu akitoa mawazi ambayo ni tofauti na mtazamo wenu ndio umjibu namnahiyo.AAcha na yeye atumie demokrasia yake kama mtanzania.Si msapoti Lowasa but naye anaweza kutoa mtazqmo wake
Umesahau ni mwenyewe alisema kuwa kikao kimoja sio mwisho wa maamuzi, unaweza kukata rufaa kikao cha juu. Je alitumia nafasi hiyo? Kama hakutumia anamtishia nani sasa? Tangu MTU wake akatwe anaona aibu hata kuonana na viongozi wa chama ambao amewalea yeye. Mwalimu Jk aliwakemea viongozi kwenye vikao ikibidi aliwaita kwake.
Ndio demokresia. Kama hafai hafai hata kama ni mzazi wako. Sio wale wanaong'ng'ania maiti zinazotembea kuwa zinafaa wkt wanaona kabisa kuwa hakuna kitu. Labda uwezo wa kuganga njaa za watuNape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Hakuna mpasuko. Si mara moja au mbili kumekuwa na mawazo pinganifu na hatukusema mpasuko. Lowassa na Kingunge ni wanachama tu kama wengine if hawajaridhika wanaweza kuhamia vyama vingine au kuanzisha chao
Nape waheshimu wazee wako.
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Teh teh teh, tatizo la Kigogo ni mkabila, ni Mnyakyusa wa Rungwe huyu, lol!kigogo we mchokozi sana
apo kwenye RED mm ungejifunza kutulia wakati unaandika