Hakuna mpasuko. Si mara moja au mbili kumekuwa na mawazo pinganifu na hatukusema mpasuko. Lowassa na Kingunge ni wanachama tu kama wengine if hawajaridhika wanaweza kuhamia vyama vingine au kuanzisha chao
kamati ya maadili na usalama na nape wanapasua chama ,muda wa mabavu na nguvu umepitwa na wakati.kitendo cha kuwakata maponteal kama muhongo,nwandosya na kumpitisha
makamba na membe less potential ni kejeli kwa wananchi.kamati ya maadili iligundua makosa gani kwa hawa mpaka ikaamua kuwakata na kuwanyima haki yao ya kimsingi ya kujadiliwa na kamati kuu na kuchujwa .kwa Mambo haya CCM lazima isambaratike tusubiri muda
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Huyo mmoja angepatikanaje kama si watu kukatwa?
EWE MOLA MTWAE HUYO KIJANA!!
ni shida tupu uwepo wake!!
kamati ya maadili na usalama na nape wanapasua chama ,muda wa mabavu na nguvu umepitwa na wakati.kitendo cha kuwakata maponteal kama muhongo,nwandosya na kumpitisha
makamba na membe less potential ni kejeli kwa wananchi.kamati ya maadili iligundua makosa gani kwa hawa mpaka ikaamua kuwakata na kuwanyima haki yao ya kimsingi ya kujadiliwa na kamati kuu na kuchujwa .kwa Mambo haya CCM lazima isambaratike tusubiri muda
Hicho kizee kitunze mdomo, nadhani huyo mzee hata familia itamshinda. Tangu akatae jina lake la dini akaiga wachina, Tazama sasa hivi hao wachina wanaibukia kwenye dini ipi, na majority yao sasa ni dini ipi. Wenzake aliowaiga sasa wanabadilika nae abadilike kwanza. Na awe zaidi mtu wa dini. Msikitini haendi wala kanisani,mti huangukia ulipolegea. Take care.
sasa kikipasuka si ndio furaha yako sasa,kelele za nini,
Nape na wewe una adabu,kwani mtu akitoa mawazi ambayo ni tofauti na mtazamo wenu ndio umjibu namnahiyo.AAcha na yeye atumie demokrasia yake kama mtanzania.Si msapoti Lowasa but naye anaweza kutoa mtazqmo wake
Kingunge ndo mganga wa ccm. Ameshasema wasipoyamaliza kwa kumuomba msamaha lowassa, wasahau kushinda
CCm bwana!! waogope sana, hasa vijana kama Nape na Makondakta sijui makali.o gani sijui.......kujipendekeza hatari sana. Kigunge na Lowassa leo wanatukanwa, Mzee Warioba nae alitukanwa.....Sijui hii ji CCM ya wapi haina adabu hii......sijui ikalambe ndimu na magadi hii??!!Nape alisha laaniwa zamani aliposema wazee watatangulia kufa kabla ya vijana