Nape: Kingunge afanye anachotaka


Kingunge ni mnafiki anamtetea Lowasa maana wamesha pigwa chini . Kwa mara ya kwanza niungane na Nape kwa kusema kama kweli Kingunge anajua CCM yake imevunja katiba yao na kanuni zao basi aende mahakamani akapinge kila kitu CCM waanze upya na kama hawezi basi anatupotezea muda .
 
Mzee Kinvunge haki yake ya kusema haya anayoyasema ilikoma pale alipoonyesha kumuunga mkono mgombea mmoja tu kati ya wengi. Mbona Pinda, Sitta, Mwanosa, Ngeleja nk nk hawana wa kuwasemea. Sie tunajua angepita Lowasa hata kama ingekuwa kama hivi kikao kilivyofanyika, aasingelalamika
 
Nape hana heshima kwa wazee wake hata kama kakosea uyooo mzee lakinii anatakiwaa awe n'a kauli nzurii kwa wazee wake
 
Hii ya Babu V/s Kitukuu ni vita vya aina yake! :argue:
 
Nasema haya maana Ccm kimeanza kuparanganyika kila kona ya nchi,Na hili haliwezi kuwa jambo jipya kwa watz.Mwalimu nyerere alishasema kabla,Mpinzani wa ccm atatoka ndani ya Ccm.Na ccm ni jidudu kubwa kulikata katikati inahitaji muunganiko wenye nguvu,Na guvu yenyewe imeeanza kuonekana kwa Lowassa kuizika rasmi ccm mwaka huu.
 
CCM na imeguke tu. Tumeichoka sasa na uroho wao wa madaraka bila kutaka kuachia miaka 50. Khaaa!
 
mtahangaika sana na hayo maigizo yenu. lakini Magufuli ndo rais ajaye.
aendelee na yale maigizo yake hata kwa wale wazee wa bagamoyo waliomfuata dodoma nao watangaze kwenda chadema
vipi yule fisadi wako mramba unayemteteaga humu anaendeleaji? naona sasa hivi umehamia kwa fisadi mwengine lowasa.
nashindwa kuelewa dhana nzima ya nyie wanachadema juu ya vita yenu mnayojidai ya ufisadi. kumbe ni illusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…