Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

Ilitakiwa iwe hivi:
NAPE AZOMEWA KISHUJAA ARUSHA
Mimi kunakitu kimoja ambacho huwa najiuliza nyie vijana wa bavicha mbona mnalazimisha kila mtu akija arusha azomewe siasa gani hizo sasa.
 
Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema byebye"! Nikaambiwa Chalii wa CCM ameingia mjini kuja kumzika Lema! Mkutano wa Chadema ukavurugika vijana wakahamia kushangaa msafara wa Nape.

Hali ya Chadema na Lema Arusha taabani kabisa!

Pamoja na ushabiki wako kwa ccm (kwa kupenda au vinginevyo kwa sababu njaa imepanda kichwani) jitahidi basi kuangalia muktadha (context) wa hoja yako. Uchaguzi unaotarajiwa ni wa madiwani na sio ubunge, lakini wewe uko busy unazungumzia 'bye bye Lema' mara 'kumzika Lema'.

Lema ni kiongozi wa CDM, hivyo anawajibika kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake kama ambavyo Nape, Mwigulu na viongozi wengine wa CCM wanavyopigia kampeni wagombea wa chama chao. Je, CCM ikishindwa kwenye kata yoyote kati ya hizo au hata zote, tuseme Nape au Mwigulu wamezikwa?? tafakari!
 
....poti nekage ng'onoyo nsanzi sagara gete !!!
 
Tunamsubiri kama ataenda Monduli na akutane na Lowasa anaemtukana kila siku!tunamsubiri!mwenzake Nchemba ambae ni mtiifu kwa EL hana wasi anakatiza tu anakula posho zake siku zinasonga!huyu Napelaga sasa!
 
Nimekuwepo kwenye huu mkutano tangia Nape anaingia hadi anaondoka. Hakuna kitu kama hicho kwani waliokuwa wamevaa sare za CCM wengi ni wanywaji wa pombe aina ya banana choka mbaya na wazee na dada poa ambao ramani imepotea na wanajaribu kuitafutia CCM kwa njia ya kuvaa sare ili wakubwa wawahurumie wapewe kama Vick kamata.

Gari halijasukumwa na CHADEMA ni Imara huku Kimandolu kuliko mwanzo na CCM wategemee maumivu kama kawaida. Siongei KISHABIKI KWANI UPEPO UKO VERY CLEAR

Safi sana we ndo unatupa habari za kueleweka
 
Wakijua gari lao la mishahara limeingia.Kula CCM kura CDM[/Q

Ndugu OLNG'OJINE, HATA NZII HUFUATA PENYE MLOO, KAMA WATU WANAJUA KULA IPO CCM, WHAT DO THEY WANT WITH CDM KAMA HUKO KUNA NJAA, NA SISI WANA ARUSHA TUNAPENDA VITAMU, NA HATUPENDI KULA KISANVU.

KAMA HIZO PESA ZILIZOTUMIKA NA CDM KUKODISHA HELICOPTER KWA GHARAMA ZAA DOLAR $15000/- KWA SIKU MOJA HIYO HESABU IMECHANGANYWA NA KULA YAO WAKUBWA, NA HALI GHARAMA ZA KODI YA UHAKIKA NI KAMA $7000/- KWA SIKU, HIZO PESA ZINGESAIDIA WANA CDM KUPATA KULA YAO.

CDM IS CORRUPT, NA MWENYE NJAA ATAENDA PENYE VINONO ALWAYS.
 
Back
Top Bottom