Nape kapatanishwa na kusajiliwa na kambi ya Lowassa

Huyo dogo ni mzoefu sana wa kula matapishi yake, hana principles, ni mnafiki sana, na ana uchu mkubwa wa madaraka.
 
Mkuu usifurahi sana, sababu CDM ikizikwa usidhani wewe utabaki salama. Ufisadi ukitamalaki Kila kitu cha nchi hii kitauzwa. Labda kwenye familia yako ni wewe tu utafaidi kwenye mfumo wa kifisadi utakaoongozwa na Lowasa. Fikiria ndugu zako na watanzania walio wengi watakaobaki wanalia..., hata fikiria ni ufisadi huu huu unafanya madini yetu yasitusaidie chochote, na ufisadi huu huu ndio unatukosesha huduma muhimu Kama za afya, maji, elimu nk na kufanya hata bei ya umeme kuwa juu pamoja na kuwa na rasilimali lukuki!

Kaka umesema vyema na kabla hujaenda mbali mkumbushe ya wiki hii inayoishia kizibo Zomba kalia baada ya yeye kufaidi lakini lakini ndugu zake wakiwa hawajui kwamba Zomba anakula basi kisu kimezama hadi sote tumemsikia analia uchungu hapa hadharani sasa jiulize Umri wa Zomba kulia hadharani si haba .
 
tusimlaumu NAPe
kwenye siasa hakuna maadui au marafiki wa kudumu, kuna maslahi, na maslahi yana badilika kulingana na wakati na mazingira
 
Huu ni uvumi-shi usio usiona ushsawishi wowote hata kidogo. Kama kawa Rais ajae atatoka kati mwa wale wasiojulikana sasa! Kwa taarifa mnajulishwa kuwa wapo wengi tu!
 
ninachoona NAPE kuungana na EL ni muendelezo wa makundi na kamtandao ndani ya CHAMA LAO... kwani JK aliingia kwa staili hizi hizi mwisho wa siku akatakiwa kuwalipa fadhila watu wengi sana na hiki ndicho kinachomtesa kwa sasa

Nape asije kuwa kategewa TEGO ili jamaa akishakalia kiti kikubwa cha mjengoni na kaukwaa UENYEKITI aje mgeuka mpaka ajute..........
 
ahaaaaa ... ndiyo manna kuna mjinga mmoja humu jf ambaye ni kibarua wa nape ameanza kuandika thread za kumsifia EL
 
Napeeee!aah haya bwana mambo ya chama hayo!Lakini mie ni shabiki wako nape ingawa sio wa ccm wala Lowasa bali Sita,mwakyx, na wengine wanaoitwa wanafiki kwa kupinga ufisadi ndani ya ccm!Ukiungana na Lowasa kila la heri,hata hivyo hamna muda mrefu wa kukaa madarakani imebaki miaka 2!
 
Adui mkubwa wa ccm si cdm, ni wananchi wenye wapenzi mema, kwa hiyo nape kuungana na lowasa bado ni upuuzi usiotusaida chochote bado tuna ililia nchi yetu,
 
Back
Top Bottom