Nape yupo sahihi 100% vyombo vya habari ndiyo tatizo Tanzania. Kila siku wanamnukuu vibaya Nape na hii ni kutokana na njaa zao wanazoendekeza. Nape hajawahi kutoa kauli yoyote ya kufukuza gamba huu ni uwongo mkuu. The devil is MEDIA na anayebisha na kauli yangu amuulize FLORA WINGIA, Mhariri wa NIPASHE aliyemuomba radhi NAPE Mahakamani Arusha kwa kukosea kuandika alivyosema Nape kuwa ' WANAJIANDAA KUCHUKUA JIMBO LA ARUSHA KWANI WANA HAKIKA WATASHINDA KESI YA UCHAGUZI DHIDI YA LEMA'. Hapa ndipo uozo wa Media ulipo. Ninawashauri watanzania wenzangu kuwa vyombo vya habari Tanzania ni bora magazeti ya udaku unasoma huku ukiamini kuwa ni uzushi na uwongo kuliko magazeti yanayojiita makini. Nape kawatemea mate usoni mchana peupe wanachukua lesso na kujifuta huku wanacheka na kupaza sauti zao 'TAWILE NAPE TAWILE'-UMESEMA KWELI NAPE UMESEMA KWELI. LOL! SHAME ON THE MEDIA UCHWARA.
WELL DONE NAPE HIT E'M HARD, THEY ARE SCREWING UP THEIR PROFESSION. LET E'M KNOW THAT WHENEVER THEY SIDE WITH CCM THEY ARE IN THE HANDS OF A CHAMELEON, AND THEY SHOULD ACCEPT BEING TISSUE PAPER OF CCM BECAUSE YOU HAVE RESOURCES AND AUTHORITY.
NILIKUWEPO!!!!!