Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

Watanzania sasa muone Kiongozi kama Nape anadhubutu kukana maneno aliyoyatamka yeye mwenyewe na Kuwasingizia Waandishi wa Habari kuwa walimkariri sivyo, hii ni dharau kwa Watanzania na Waandishi wa habari kwa upande Mwingine.


Yupo sawa mkuu sema waandishi wa bongo nasisi wananchi bado hatujanawa uso waandishi wakiacha kuandika habali zake nasisi wananchi tusiende kwenyemikutano yake akijaa na tisheti,kofiya tumwambie tutajinunulia wenyewe anaujanja ganii? tumemudekeza akisema kesho anakanusha kesho kutwa munamushangiliya waandishi nawo wanajipendekeza munataka nape afanyeje
 
Hata kuumwa siku alipoitwa mahakamani Arusha alidanganya, mchana wa siku hiyo alionekana kwenye korido za wizara nyeti, alikuja na shangingi-gari jeupe vioo vyeusi.
 
tuesday, july 19, 2011
nape nnauye asema rostam amefanya jambo jema







katibu wa halmashauri kuu ya taifa (nec), itikadi na uenezi, nape nnauye, aliyasema hayo wakati akiongea na baadti ya waandishi wa habari wa mbeya katika ukumbi wa hotel ya paradise amesema chama hakina la kusema, lakini kikubwa ni kuwa amefanya jambo jema, kwa kuitikia wito wa chama, uamuzi ambao ni mzuri na wa busara," alisema nape. Kuhusu mkutano wa hadhara wa mjini mbeya, nape alisema unalenga kuwaelezea wanachama wa ccm na wananchi kwa jumla, juu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya chama, msingi wake ili waweze kuelewa, ccm imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi,




acha kujichubua mtoto wa kiume!
 
Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?

Nape yupo sahihi 100% vyombo vya habari ndiyo tatizo Tanzania. Kila siku wanamnukuu vibaya Nape na hii ni kutokana na njaa zao wanazoendekeza. Nape hajawahi kutoa kauli yoyote ya kufukuza gamba huu ni uwongo mkuu. The devil is MEDIA na anayebisha na kauli yangu amuulize FLORA WINGIA, Mhariri wa NIPASHE aliyemuomba radhi NAPE Mahakamani Arusha kwa kukosea kuandika alivyosema Nape kuwa ' WANAJIANDAA KUCHUKUA JIMBO LA ARUSHA KWANI WANA HAKIKA WATASHINDA KESI YA UCHAGUZI DHIDI YA LEMA'. Hapa ndipo uozo wa Media ulipo. Ninawashauri watanzania wenzangu kuwa vyombo vya habari Tanzania ni bora magazeti ya udaku unasoma huku ukiamini kuwa ni uzushi na uwongo kuliko magazeti yanayojiita makini. Nape kawatemea mate usoni mchana peupe wanachukua lesso na kujifuta huku wanacheka na kupaza sauti zao 'TAWILE NAPE TAWILE'-UMESEMA KWELI NAPE UMESEMA KWELI. LOL! SHAME ON THE MEDIA UCHWARA.

WELL DONE NAPE HIT E'M HARD, THEY ARE SCREWING UP THEIR PROFESSION. LET E'M KNOW THAT WHENEVER THEY SIDE WITH CCM THEY ARE IN THE HANDS OF A CHAMELEON, AND THEY SHOULD ACCEPT BEING TISSUE PAPER OF CCM BECAUSE YOU HAVE RESOURCES AND AUTHORITY.

NILIKUWEPO!!!!!
 
Kama ni hivyo akamuombe msamaha RA aludi kundini,maana yeye ndio chanzo cha RA kuachia ngazi asipofanya hivyo ajiuzuru na yeye kwa kusema uongo.
 
Kama kweli amekana hayo maneno yake mwenyewe aliyotembea nchi nzima akijiapiza
basi kijana huyu itakuwa si bure, either atakuwa anaumwa schizophrenia au atakuwa
anatumia mihadarati!
 
kwa style na speed hii mr nape nnauye uzee wako utakuwa mbovu mara mia zaidi ya ule wa mzee makamba kwenye chama.
maana leo unatoka na hili kesho na hili.we cant read you!! we dont know what to pick and what to ignore from you.
a leader is ought to be ' a person of his/her words'...
kugeuka geuka kwako kunatupa wasi wasi kuwa dhamira yako na unayofanya vinapingana,huenda wewe una nia ya magamba wafukuzwe ila wenzio hawataki na hii inaonesha hiyo agenda ya kuwavua magamba mafisadi una maslahi binafsi nayo na kwamba ni YAKO WEWE NA WENZIO WACHACHE....
kama vipi UWE UNASOMA ILE REPORT YA VIKAO KWA WAANDISHI KULIKO KUJIFANYA KICHWA NA KUONGEA YA KWAKO....
MMMMSIUUUM(NIMESUNYA!!!)

UKIWA MWONGO UWE UNATUNZA KUMBUKUMBU VINGINEVYO UTAUMBUKA NA HAKUNA MTU ATAKAYE KWUA NA HAMU YA KUKUSIKILIZA TENA...
 
yupo sawa mkuu sema waandishi wa bongo nasisi wananchi bado hatujanawa uso waandishi wakiacha kuandika habali zake nasisi wananchi tusiende kwenyemikutano yake akijaa na tisheti,kofiya tumwambie tutajinunulia wenyewe anaujanja ganii? Tumemudekeza akisema kesho anakanusha kesho kutwa munamushangiliya waandishi nawo wanajipendekeza munataka nape afanyeje
kwani hawa waandishi hawana video??
Why dont they playback the recorded videos????
 
Huyu kijana anakoelekea si kuzuri hata kidogo, kaamua kula matapishi yake!
 
Nchi hii imefika sehemu kuwa unatakiwa uamini unalosema mwenyewe tu, kwa kuwa hilo unajivalidate mwenyewe. inapofika suala la wanasiasa ndio kabisaa, uwongo umehalalishwa na mbaya zaidi mtu anaweza kuita press conference au kuhutubia mkutano wa hadhara na akasema uwongo tu, iwe kwa kutaka kumchafua mtu au kupata kura. Mkama siku chache zimepita amesema kuna makomandoo ushahidi anao, maneno ambayo hata mtoto mdogo anajua ni uwongo. Rais anahutubia taifa kwa kusema uwongo tu, Mbunge anasimama bungeni kusema uwongo, sijui tunakwenda wapi! inasikitisha sana. Sasa huyu kukana maneno ambayo amekuwa akiimba siku zote anataka tumwelewe vipi!! Ni bora atumie profession yake kupata mlo hii ya kutumia mdomo kujitafutia kipato na kutetea vitu vya ajabu, ndio matokeo yake.
 
Katudhirishia jinsi yeye na ccm wanavyofanya mambo yao bila kufikiria badala yake wanakurupuka tu
 
..............ushauri wa mkapa huo, alishawahi kuwasingizia waandishi laivu....hureeee Lowasssa
 
n1.JPG


Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?

Tactical retreat!
 
Taaaanzania tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi yangu tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jina lako ni tamu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. nilalapo naota UFISADIIIIIIIIIIIII, Niamkapo ni boranifeeeeeeeeeeee tanzania tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa simpendi rais wakeeeeeeeeeeee

Kamandaaaaaaaaaaaa!!!! Hii nimeipendaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom