Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

yaani nusura nivunje screen ya BB...huu ucamerun utaisha lini ccm??,...wadau mwenye clip aliyobwabwaja huyu nepe nchi nzima akimtaja RECHAL kama gamba naomba atubandikie hapa..!
 
mii nafikiri ukitaka kuwa mwana siasa haswa wa CCM lazima uwe mjinga mjinga, la sivyo utakufa mapema!! kwani unajua kabisa unadanganya, roho inakuuma, nafsi inakusuta ndani lakini ufanyaje, kwa mtu aliye sawa kijasho kitakutoka kwa kutambua unachosema si nia na dhamira yako.
 
NAPE amezingatia ushauri aliokuwa anapewa hapa kwamba akitaka kupona ndani ya CCM akane kauli zake na aachane na kuwasakama akina ENL la sivyo itakula kwake
 
Ngoja Kwanza, nilichosoma ni sahihi au ni hizi bia zangu zimenirusha?
Kaamua kula matapishi yake?
We can predict whats next, uchaguzi 2015 Nape anaeza akawa mratibu mkuu au mgombea mwenza kabisa asee.
 
Mimi nilikuwepo katika kikao cha leo cha Nape na Waandishi, kweli nimeamini waandishi ni viazi, kwani alichofanya nape ni kusisitiza na kufafanua zaidi kile kinachokwenda kufanywa na vikao vinavyoendelea hapa Dodoma, kubwa likiwa ni kwamba katika agenda ya Yatokanayo na kikao kilichopita, yapo maadhimio 26, na kwamba la kuondosha wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi, ni moja ya agenda, hivi kweli hapo ndiyo Kubadili maneno yake ya awali? au kusisitiza kwa undani zaidi? tuwe makini ukweli kama ndiyo uandishi huu kwa sasa basi sinunui tena gazeti maana ni balaa, na ukweli naamini utadhihirika mara baada ya vikao hivi kumalizika, waking'olewa hao mnaowatukuza, nadhani aibu itawajeukia waandishi
 
Natafuta crip ya video au sauti niiweke ili tuupate ukweli na kusutana hapa jamvini, maana hii ni balaaaa!!
 
n1.JPG


Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?
Don't personalise this matter, you won't discover the truth. Tatizo hapa si Nape, ni uongozi mzima wa CCM uliokosa maadili na mwelekeo. Dawa iko jikoni 2015 ; Mashahidi ni lukuki - Unip, Kanu, Anc (Malawi), Upc n.k.
 
Tatizo la wandishi wa Habari wa Tanzania wananunulika kwa bei nafuu sana ya kudhalilisha utu wao. Hakusema kuwa Mafisaidi hawatashughulikiwa alisema Kujivua Gamba ni concept pana sana inayo husisha mambo 26 so tusijibane katika mapacha watatu tu wakati fagia fagia litawakuta wengi!
 
Mbona hizo ndizo siasa za ccm tangu kiundwe?!!
umesahau enzi zile wanakata matawi ya migomba na kupandikiza ili ionekana zao hilo limestawi eneo husika baada ya kiongozi kuondoka migomba hung'olewa!!
n1.JPG


Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?
 
Kujadili kauli ya nape ni kupoteza muda wako. Nape anajikana mwenyewe. Chama cha waandishi wa habari wastop kurusha habari zake pamaja na chama chake.
 
Ninachoshangaa ni upotoshaji unaoendelea katika mtandao pendwa wa jamii forum. alichosema Nape na kilichoandikwa ni tofauti, tungoje matokeo, kama hatutabadili mada na kuanza kutukana hovyo kwa aibu baada ya alichosimamia Nape kutekelezwa. toeni na hii.
 
Nasubiri kuona mboga itakayomwagwa na chenge, ili nipate la kusema. kwa sabb naamini hana hiyo mboga.
 
Mbona katika TBC na ITV taarifa ya habari inamuonesha Nape akisisitiza msimamo wake huo huo, hivi nyie wenye hii post mmeyatoa wapi maneno haya???, jamani kuweni makini na mnachofikiri na kuzusha kabla umma haujaja kuwahuku siku moja.
 
MSIMU WA KALAMU AMA KALAMU ZA MSIMU...?

Katika siasa za sasa za dunia na hasa za ndan ya nchi yetu ambapo tafsir na mwenendo wa siasa umechukua sura mpya na umbile tofauti na lililozoeleka kwa wengi hasa wafuatiliaji na wadau wakongwe wa siasa za ndani., SIASA ZA SASA NI ZA USHINDANI ULIOKITHIRI ambapo ushindani huu umevuka mipaka ya maana ya neno ushindani na kuwa ukinzani unaopelekea kuunda uhasama ambao umekomaa na kuwa UADUI KAMILI. katika hali hii ya siasa ni wazi kuwa wapinzani ama maadui wame.....
 
Nipe tano hata mimi nawashangaa tatizo lao wanataka kuuondoa ukweli ili wawatumikie mabasha wao Mafisadi, Mtoa hoja anataka kupotosha ukweli!
 
mimi naona JF members tucendelee kujisumbua kujibu hizi hoja,au habari yoyote ya mazuzu of this type kama huyu Nape
 
Back
Top Bottom