Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,084
Acha wehu wewe......Hizo ni mali za umma zilikusanywa wakati wa chama kimoja. Kuna kodi zetu humo kama watanzania sote. Dr Mng'oa meno wewe
Acha kumpa ujiko huyo...hata jino kung'oa hajui!
Acha wehu wewe......Hizo ni mali za umma zilikusanywa wakati wa chama kimoja. Kuna kodi zetu humo kama watanzania sote. Dr Mng'oa meno wewe
Kwa hiyo, nape amekiri kuwa ccm ina mafisadi ambao walitaka eneo hilo wakawanyima.
Naanza kukuelewa kwamba una confidence isiyo na smizizi na inaasisiwa na ubishi wa asili.
Ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu.
Mama Makinda hakusema kwamba ccm hakuna mafisadi? Au unataka kubadilisha kama kawaida yenu kwamba hakueleweka?
Tanzania Daima
mtakosa wanunuzi kwa kuendelea kuutangaza udaku wa Chadema ambao unazidi
kupamba moto siku hadi siku huku umaarufu wa chama ukiendelea
kuporomoka kwa kazi kubwa!
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?
Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.
Amekiri kuwa ccm kuna mafisadi.
Tatizo vijana mnaendeshwa mno na nadharia. Tokeni kwenywe nadharia, ingieni kwenye maisha halisi.
Unaposema chama kisiwe na shughuli za uzalishaji mali unamaanisha waendelee kutegemea michango ya matajiri. Unajua gharama yake?
Umeona kilichotokea chadema baada ya Sabodo kusitisha misaada yake? Uliza uambiwe, acheni vyama viwe na shughuli halali za uzalishaji mali...
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?
Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.
Wakati wa Sukita nchi ilikuwa sio ya kidemokrasia, leo hii kuna mfumo wa vyama vyingi. Kipindi cha Chama kimoja serikali ilikuwa ikitumia kodi za wananchi wake kufungua miradi chini ya chama kimoja. Sasa ni vyama vingi. CCM sio Chama cha biashara ni chama cha siasa kama ilivyo vyama vyengine. Sijui kama sheria ya vyama vingi kama inaruhusu vyama vya siasa kujigeuza kuwa vya biashara katika huu mfumo wa vyama vingi, kutakuwa na mwiingiliano wa Maslai. Je Chadema wakishika dola na wao wafungue miradi? Je nchi itaendelea kama vyama vya siasa vinajiingiza kwenye biashara badala ya kuwaachia watanzania wafanyebiashara.
Sidhani kama vyama vya siasa vilivyosajiliwa kuwa vyama vya siasa kujipa mamlaka ya kufungua kampuni na kujipatia zabuni kupitia serikali inayotawala chini ya chama hicho.
Heshima kwenu wanabodi,
Jana kuna uzi ulianzishwa hapa JF ambao una husu JITEGEMEE TRADING COMPANY LTD ambayo imepatiwa zabuni TPA yenye thamani ya 10 bili.Swali ambalo lilikuwa linagonga vichwa vya wanadau ni mchakato wa upatikanaji wa tenda au zabuni hiyo. Swali la pili likuwa ni nani mmiliki wa hiyo kampuni. Hatimaye leo Nape kupitia Press release yake amethibitisha kuwa kampuni tajwa inamilikiwa na CCM. kusoma hiyo Pres rease gonga hapa.
Scribd
Naomba kuwasilisha
Tatizo vijana mnaendeshwa mno na nadharia. Tokeni kwenywe nadharia, ingieni kwenye maisha halisi.
Unaposema chama kisiwe na shughuli za uzalishaji mali unamaanisha waendelee kutegemea michango ya matajiri. Unajua gharama yake?
Umeona kilichotokea chadema baada ya Sabodo kusitisha misaada yake? Uliza uambiwe, acheni vyama viwe na shughuli halali za uzalishaji mali...
Toa quote na tarehe iliposemwa. usitoe report kama uko kwenye kikao cha bavicha...
Nape ametumia nguvu kubwa sana kuituhumu CDM kwenye hili jambo. Lakini kwa ufukunyuku wa haraka haraka inaonekana hiyo kampuni ya JITEGEMEE TRADING Co. LTD anayosema Nape kuwa inamilikiwa na ccm haijasajiliwa/haipo kwenye orodha ya makampuni yaliyosajiliwa BRELA.
Kwa mantiki hiyo na kwa kuwa Nape amekiri kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na CCM, ni vyema akatoa ufafanuzi kuhusu usajili wa hiyo kampuni, lini imesajiliwa BRELA, imesajiliwa kwa shughuli gani, wakurugenzi wake ni nani na kama imeshawahi kulipa kiasi chochote cha kodi kwa TRA.
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?
Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.
Tanzania Daima mtakosa wanunuzi kwa kuendelea kuutangaza udaku wa Chadema ambao unazidi kupamba moto siku hadi siku huku umaarufu wa chama ukiendelea kuporomoka kwa kazi kubwa!
Kwa hiyo, nape amekiri kuwa ccm ina mafisadi ambao walitaka eneo hilo wakawanyima.