Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

Chadema tumewachoka kwa siasa zenu za majitaka


Sio majitaka, hiyo kampuni ni hewa hata Brela haipo, alafu nondo zishashushwa mapaka documents zilizotumika kuipa JITEGEMEE hiyo tenda. Fanya utafiti hiyo thread imo humu tokea jana na ina documents zote mpaka Brela search. acheni siasa tuijenge Tanzania bhana.
 
Heshima kwenu wanabodi,

Jana kuna uzi ulianzishwa hapa JF ambao una husu JITEGEMEE TRADING COMPANY LTD ambayo imepatiwa zabuni TPA yenye thamani ya 10 bili.Swali ambalo lilikuwa linagonga vichwa vya wanadau ni mchakato wa upatikanaji wa tenda au zabuni hiyo. Swali la pili likuwa ni nani mmiliki wa hiyo kampuni. Hatimaye leo Nape kupitia Press release yake amethibitisha kuwa kampuni tajwa inamilikiwa na CCM.
 
Kageuka Mbona Mwandishi wa hii post ni Harrison Mwakyembe Mwenyewe?.Yaan hawa jamaa ni wasanii kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kageuka kama kweli CHADEMA wanatumiwa na mafisadi wenye lengo lao binafsi si uwataje ili tuwajue bayana. bila kuwataja inawapa watu kuamini kuwa wanachokisema ni kweli,

pia punguza munkari na kuacha kutukana watu mwishowe na ww unaonekana umebanwa pabaya, kwan wengine wanaweza kuhoji kwann eneo hilo litumike na sio maeneo mengine, na kwann kampuni ya chama chako itumike na sio nyingine, je kampuni yako ilishinda katika tenda gani... the list goes on and on
 
Last edited by a moderator:
naona watoto wa Lumumba mewahi kuiweka na kuirukia hii thread, tutawabana eti JITEGEMEE


Nape, Mangula na Msomali tuambieni hili swala la kupandisha nauli mnasema nini? Kwa mshahara huu wa sh. 170,000 bado hujapanga nyumba tutaishi? Kwa nini msishughurikie maswala ya wananchi badala yake mnashughurikia tanzania daima. Nchi hii mmepewa muongoze, badala yake mnapandisha nauli. Kwa kweli mnanisikitisha sana.
 
Nape yupi jamani? Yule mwenye pua kama ya Mwandosya?
 
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?

Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.
 
sina uhakika kama hapa Nape kajibu hoja au kajichanganya, na katika taarifa alizotafuta sina uhakika kama alikumbuka kitu kinaitwa PPRA ambao wanatumia muda mwingi kutengeneza na kusimamia taratibu zan manunuzi na mikataba kwa ujumla wake, na je, kutumikia wananchi kama anavyosema Dr. Mwakyembe ndio kukiuka sheria ambazo zimewekwa kuwasaidia hao hao wananchi?
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Chadema links minister to dubious tender at Dar port [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 03 April 2013 22:58 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
By Frank Aman
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. The opposition party, Chadema, has blamed the minister for Transport, Dr Harrison Mwakyembe, for awarding a tender at the Dar es Salaam port without following procurement regulations.
Briefing reporters in the city yesterday, Chadema director of Organisation and Training, Mr Benson Kigaila, alleged that the tender has been awarded to Jitegemee Trading Company Limited, which is owned by the ruling party, CCM.
When asked to confirm about the ownership of the company, CCM director of Ideology and Publicity, Mr Nape Nnauye, declined to comment, saying he needed more time to gather details on the nature of ownership of the firm as well as the tender.

“Give me time so that I can gather the necessary details on the issue,” said Mr Nauye.
Manager of the company, Ms Esther Nyawazwa, declined to comment on the nature of ownership of the firm, but said she was aware that the ministry of Transport had asked Jitegemee if it could undertake the project to construct a cargo yard at Tabata Sukita area in Dar es Salaam.

“After the first communication from the ministry about the project, our chairman of the board of directors, Mr Peter Machunde, granted the request. So, contact him for more details,” she said.

Briefing reporters just before the start of the Chadema Central Committee meeting yesterday, Mr Kigaila said the procurement process was not competitive because Jitegemee was the only company that was involved in the bidding process.
“Minister Mwakyembe said that he awarded the tender to Jitegemee Trading Company Ltd, but the decision based on which criteria? How many other companies bid?” Kigaila queried.

When contacted for comment yesterday , Dr Mwakyembe rubbished Chadema’s allegations. “Chadema are just engaging in empty rhetoric. My work is to serve the people so they should let me do my job,” he said over the phone from Kyela.

source: thecitizen
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tatizo la Nape kwenye hili umejikanyaga sana,mala chadema mala mafisadi naomba tueleweshe hao mafisadi niwa ccm au nao niwa chadema?acha kukurupuka mtauwana wewnyewe kwa wenyewe na kuvuana ngozi mpaka mkome.au unaongelea waliomvua mwakyebe ngozi?lakini hao siyo magaidi
 
Kwa hiyo, nape amekiri kuwa ccm ina mafisadi ambao walitaka eneo hilo wakawanyima.

Kimbelembele chenu kitawaponza, VIPI maandamano ya kudai maji/Prof. Magembe ajiuzulu na matokeo ya kidato cha nne/Dr. Kawambwa ajiuzulu yameishia wapi? Nyie ni mabingwa wa kudandia HOJA zisizo na mshiko
 
Meneja wa JITEGEMEE anasema wizara ilipeleka maombi ofisini kwao jitegemee,suala lipo kwa mkiti wa bodi!SOMENI MWANANCHI YA LEO!huku nape analeta ubishi wa hovyo kabisa.NAPE hizo 10bn anapewa nani?NAPE kwa nini mmeua SUKITA na kuanzisha JITEGEMEE?kama si kukwepa kodi,madeni ya bank?NAPE mbona JITEGEMEE haijasajiliwa BRELA?au imesajiliwa lini?
 
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?

Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.

Sukita si mliitafuna yote kwa kuwaajiri watoto wa wakubwa wa ccm! Unashabikia wezi kijana!
 
Nape Nnauye, unaweza ukasema... NANI NI FISADI..??? Maana tangu nianze kukusikia ukilitaja hili neno, SIJAWAHI KUKUSIKIA UKISEAMA HAO MAFISADI NI AKINA NANI....
 
Sukita si mliitafuna yote kwa kuwaajiri watoto wa wakubwa wa ccm! Unashabikia wezi kijana!

Mbona unaongea kama uko kwenye kikao cha bavicha??? Tumia akili kidogo, kitu gani kilichashabikiwa hapo?

Mimi namshangaa huyu anayeona swala la Jitegemee co. kumilikiwa na CCM kuwa ni BIG NEWS. What is NEWS about it? au anataka tumtajie na shughuli nyingine za uzalishaji mali za CCM ikiwemo kutoa huduma za parking ambapo magari ya chadema mengi tu yanalala kwenye ofisi za CCM na kulipia.
 
Kimbelembele chenu kitawaponza, VIPI maandamano ya kudai maji/Prof. Magembe ajiuzulu na matokeo ya kidato cha nne/Dr. Kawambwa ajiuzulu yameishia wapi? Nyie ni mabingwa wa kudandia HOJA zisizo na mshiko

Unadhani kuwa hayo kweli hayahitaji kudaiwa kama serikali imeshindwa kuyatimiza? Wewe unataka wananchi wasiandamane kudai haki yao? NNyie ndio wapinga mageuzi halisi (reactionaries)!
 
Magamba wanafatuta fedha za uchaguzi 2015! Dr mwakyembe ni bonge la mnafiki ni yeye alikuwa mwenyekiti wa kamati teule iliyichunguza mkataba tata wa kufua umeme wa kampuni ya Richmonduli/Rosti- dhaifu. Leo hii anafanya kama Lowassa kuipa tender kampuni ya Magamba ya Jitegemee bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma!! Au ndio madhara ya Polonium??

Mwakyembe acha kuchumia tumbo!! Angalia sura yako ilivyobadilika! huna nywele,nyusi!
 
Acha wehu wewe......Hizo ni mali za umma zilikusanywa wakati wa chama kimoja. Kuna kodi zetu humo kama watanzania sote. Dr Mng'oa meno wewe

msanilo, vipi miembe imeshaanza kuzaa? Usinisahau ndugu yako kwenye mavuno...
 
Back
Top Bottom