Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

hivi hao mafisadi anaowasema Nappe wapo chama gani.?
 
mleta uzi

ungeweka proposal ya nchi ambayo sisi watanzania wa kawaida tukimbilie please, kama TZ
 
cccm kama chama ni fisadi kubwa na wahumini wake ndio vibaka wakutupwa.
 
We kweli mshamba. Yani hujui kuwa CCM imekuwa na shughuli za uzalishaji mali tangu enzi za SUKITA?

Nyinyi vijana wa juzijuzi wa bavicha mna matatizo sana.

Mkuu usimtukane mtu usiye mjua.Kwani mlishawakutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa mnamiliki hiyo kampuni? Kosa langu nikutofahamu kuwa CCM wanamiliki hiyo kampuni?Behave. nasiyo kila anayeandika kitu hapa ni Bavicha.
 
ushauri wangu kwa ccm kama kweli mnataka muendeleee kutawala nchi hii tatueni matatizo ya msingi ya wananchi, msipoteze muda kuwachafua watu kwani ukweli unajulikana na mnawafanya watu wasiwaamini tena hata pale mtakaposema ukweli.

huu ni ushauri wa bure kwenu ccm na serikali yake
 
mleta uzi

ungeweka proposal ya nchi ambayo sisi watanzania wa kawaida tukimbilie please, kama TZ

Mkuu nafikiri huko ni mbali sana siku zote utakiwi kukimbia matatizo bali unakabiliana nayo
 
Mafisadi ni watanzania kama wewe, suala la chama halina mshiko
 
Chadema wanachefua sana, hapa walichokifanya ni kutibua dili alafu wamemuacha nape anamwaga povu
 
Mbona unaongea kama uko kwenye kikao cha bavicha??? Tumia akili kidogo, kitu gani kilichashabikiwa hapo?

Mimi namshangaa huyu anayeona swala la Jitegemee co. kumilikiwa na CCM kuwa ni BIG NEWS. What is NEWS about it? au anataka tumtajie na shughuli nyingine za uzalishaji mali za CCM ikiwemo kutoa huduma za parking ambapo magari ya chadema mengi tu yanalala kwenye ofisi za CCM na kulipia.
ZeMarcopolo : Mbona unatokwa povu swala jepesi umma umetambua kuwa mbali ya vitega uchumi ccm walivyo navyo pia wanamiliki coy ya Jitegemee tatizo lipo wapi? Information Gap mkuu ndiyo tatizo
 
Nnape, tatizo unakurupuka bila kujua nini kinaendelea ,

1. Ni kuwa kwenye kikao cha mamlaka ya Bandari kilichoketimwezi Machi tayari walishatenga fedha kiasi cha shilingi bilioni kumi za kitanzania kwa ajili ya kuwalipa CCM na baadhi ya wajumbe walipinga sula hilo kwa hoja kuwa hapakuwa na tenda wala utaratibu uliofuatwa ili kuipatia kampuni hiyo ya CCM tenda , kampuni hii inasimamiwa na Peter MAchunde, Sam Mapande et al, na ndio inajenga ukumbi wa kisasa kule Dodoma ( Jitegemee)

2. Chadema , haiwezi kukaa kimya tena mpaka yatokee yale ya Deep Green , Tangold na wenzake ambao unawajua vizuri, sasa kila hatua itafuatiliwa kikamilifu kuelekea 2015 kwani Chadema wanajua kuwa tangu 1995 mmekuwa mkijichotea fedha za walipa kodi kwa ajili ya chaguzi kama ifuatavyo,
1995 ......zimbabwe na Malaysia kwa IPTL .....WAliofanikisha dili hilo ni Marehemu Kolimba na Abdalah Kigoda.

2000.......aggreko, Wartsila, Barrick Gold et all

2005....... BOT kupitia Tangold, Deep Green, Meremeta, wahusika wakuu humu walikuwa Chenge, GRey Mgonja,IMMA Advocates ,et all

2010......elections mnajua mlivyochota Hazina, zikaenda Canada kuchapisha mabango, hamkulipia kodi magari banadarini nk.......

2015 ......mmeqnza na Bandari, Mikataba ya Kichina 17 etc


Yapo mengi nafikiri ni suala la muda tuu.....

Makofi yakutosha tu kwako tafadhali clap clap clap
 
Mbona unaongea kama uko kwenye kikao cha bavicha??? Tumia akili kidogo, kitu gani kilichashabikiwa hapo?

Mimi namshangaa huyu anayeona swala la Jitegemee co. kumilikiwa na CCM kuwa ni BIG NEWS. What is NEWS about it? au anataka tumtajie na shughuli nyingine za uzalishaji mali za CCM ikiwemo kutoa huduma za parking ambapo magari ya chadema mengi tu yanalala kwenye ofisi za CCM na kulipia.

unaongelea parking ilhal nyingi ya hizo ziko kwenye yaliyokuwa yametengwa kama maeneo ya wazi lakini kutokana na uroho na tama ya baadhi ya viongozi ndani ya ccm walipora maeneo hayo na kuyageuza kuwa yao kwa kutumia mwamvuli wa chama. Kimsingi maeneo mengi kati ya madneo hayo hayana hati miliki wala offer bali yanakaliwa kiubabe tu.
 
Mbona unaongea kama uko kwenye kikao cha bavicha??? Tumia akili kidogo, kitu gani kilichashabikiwa hapo?

Mimi namshangaa huyu anayeona swala la Jitegemee co. kumilikiwa na CCM kuwa ni BIG NEWS. What is NEWS about it? au anataka tumtajie na shughuli nyingine za uzalishaji mali za CCM ikiwemo kutoa huduma za parking ambapo magari ya chadema mengi tu yanalala kwenye ofisi za CCM na kulipia.

Akili ipi aitumie,yakutengeneza Cd za uzushi,au wizi wa rasilimali zetu nawatotowetu?Acha mawazo ya tumbo likishiba halijui kama kuna njaa tena.Mashirika kama Sukita enzi zile haujui kama kulikuwa chama kimoja tu kwamba ilipaswa mali ziludi serikalini? kweli magamba akiri haziwatoshi ndio maana dr aliwekawazi magonjwayenu
 
Mbona unaongea kama uko kwenye kikao cha bavicha??? Tumia akili kidogo, kitu gani kilichashabikiwa hapo?

Mimi namshangaa huyu anayeona swala la Jitegemee co. kumilikiwa na CCM kuwa ni BIG NEWS. What is NEWS about it? au anataka tumtajie na shughuli nyingine za uzalishaji mali za CCM ikiwemo kutoa huduma za parking ambapo magari ya chadema mengi tu yanalala kwenye ofisi za CCM na kulipia.

lkn hizo sehemu si zilitengwa kw ajili ya huduma za jamii, kama mngekuwa waungwana baada ya mfumo wa vyama vingi mngevirudisha serikalini vipangiwe matumizi. ebu tueleze mnazo hati za kumiliki viwanja hivyo
 
msanilo, vipi miembe imeshaanza kuzaa? Usinisahau ndugu yako kwenye mavuno...

yaonekana wewe unaila nchi kwa raha sana mpaka muda mwingi unashinda huku kuwatetea mafisadi...Kuishabikia ccm shurti uwe na akili ya maiti
 
ushauri wangu kwa ccm kama kweli mnataka muendeleee kutawala nchi hii tatueni matatizo ya msingi ya wananchi, msipoteze muda kuwachafua watu kwani ukweli unajulikana na mnawafanya watu wasiwaamini tena hata pale mtakaposema ukweli.

huu ni ushauri wa bure kwenu ccm na serikali yake

- Barabara zimejengwa kuunganisha Kusini na Kaskazini, Mashariki na Magharibi
- Shule zimeongezeka sambasamba na vyuo vya kati na elimu ya juu
- Maofisa Ugani wameongezeka na kuweza kutoa huduma karibu na wananchi
- Mchakato wa mabadiliko ya Katiba unaendelea
- Demokrasia nchini inashika kasi
- Wawekezaji wa ndani na wa nje wamewekewa mazingira ya kuwekeza
- Utawala bora umeshamiri hadi vijijini
 
Magamba wanafatuta fedha za uchaguzi 2015! Dr mwakyembe ni bonge la mnafiki ni yeye alikuwa mwenyekiti wa kamati teule iliyichunguza mkataba tata wa kufua umeme wa kampuni ya Richmonduli/Rosti- dhaifu. Leo hii anafanya kama Lowassa kuipa tender kampuni ya Magamba ya Jitegemee bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma!! Au ndio madhara ya Polonium??

Mwakyembe acha kuchumia tumbo!! Angalia sura yako ilivyobadilika! huna nywele,nyusi!

Mkuu Hata EPA ilikuwa hivyo hivyo tofauti tu ile walitumia kampuni za watu hii wameamua kuanzisha kampuni yao kabisa kweli ukistaajabu ya CCM utavuna mabua.
 
Kwan hao mafisadi ni mawe au watu? Halafu CCM ni chama tawala chenye kushika dola au? Haya maswali najiulizaga kila siku sijui mwenzangu.
 
Back
Top Bottom