TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Teh teh teh!bora Uhuru na Jambo leo!Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Mtanzania wa jana siyo mtanzania wa leo!CCM fungasheni vilago muda wenu umekwisha!
Teh teh teh!bora Uhuru na Jambo leo!Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Hapa bila shaka ulimaanisha haja kubwa
Tanzania Daima mtakosa wanunuzi kwa kuendelea kuutangaza udaku wa Chadema ambao unazidi kupamba moto siku hadi siku huku umaarufu wa chama ukiendelea kuporomoka kwa kazi kubwa!
Habari za siku nyingi Lukosi , ni kweli kwamba Magamba yameanza biashara siku nyingi sana, japo faida yake anayejua ni Kingunge tu ! Swali ni kwamba , je kwenye hiyo kazi ya Bandari Mchakato ulifuatwa ?
Eneo husika si ni lile la SUKITA au ni lingine?
Kimbelembele chenu kitawaponza, VIPI maandamano ya kudai maji/Prof. Magembe ajiuzulu na matokeo ya kidato cha nne/Dr. Kawambwa ajiuzulu yameishia wapi? Nyie ni mabingwa wa kudandia HOJA zisizo na mshiko
Wanachokiita wenzetu wa Chadema kuwa ati ni zabuni iliyotolewa kwa kampuni ya Jitegemee na Mamlaka ya Bandari ni barua ya TPA kwenda Jitegemee wakiomba ridhaa ya kushirikiana kuliendeleza Eneo la kampuni hiyo ya Jitegemee lenye ukubwa wa zaidi ya ekta 100, katika mfumo wa ushirikiano yaani "Joint Venture" kupitia utaratibu wa PPP (Public, Private Partnership) jambo ambalo ni la kawaida sana kwani linafuata utaratibu na sheria zote husika.
Ukiulizia mchakato wa kupata hiyo zabuni. Unaweza ukapata heart failure
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
sina uhakika kama hapa Nape kajibu hoja au kajichanganya, na katika taarifa alizotafuta sina uhakika kama alikumbuka kitu kinaitwa PPRA ambao wanatumia muda mwingi kutengeneza na kusimamia taratibu zan manunuzi na mikataba kwa ujumla wake, na je, kutumikia wananchi kama anavyosema Dr. Mwakyembe ndio kukiuka sheria ambazo zimewekwa kuwasaidia hao hao wananchi?
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Chadema links minister to dubious tender at Dar port [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 03 April 2013 22:58 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
By Frank Aman
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. The opposition party, Chadema, has blamed the minister for Transport, Dr Harrison Mwakyembe, for awarding a tender at the Dar es Salaam port without following procurement regulations.
Briefing reporters in the city yesterday, Chadema director of Organisation and Training, Mr Benson Kigaila, alleged that the tender has been awarded to Jitegemee Trading Company Limited, which is owned by the ruling party, CCM.
When asked to confirm about the ownership of the company, CCM director of Ideology and Publicity, Mr Nape Nnauye, declined to comment, saying he needed more time to gather details on the nature of ownership of the firm as well as the tender.
"Give me time so that I can gather the necessary details on the issue," said Mr Nauye.
Manager of the company, Ms Esther Nyawazwa, declined to comment on the nature of ownership of the firm, but said she was aware that the ministry of Transport had asked Jitegemee if it could undertake the project to construct a cargo yard at Tabata Sukita area in Dar es Salaam.
"After the first communication from the ministry about the project, our chairman of the board of directors, Mr Peter Machunde, granted the request. So, contact him for more details," she said.
Briefing reporters just before the start of the Chadema Central Committee meeting yesterday, Mr Kigaila said the procurement process was not competitive because Jitegemee was the only company that was involved in the bidding process.
"Minister Mwakyembe said that he awarded the tender to Jitegemee Trading Company Ltd, but the decision based on which criteria? How many other companies bid?" Kigaila queried.
When contacted for comment yesterday , Dr Mwakyembe rubbished Chadema's allegations. "Chadema are just engaging in empty rhetoric. My work is to serve the people so they should let me do my job," he said over the phone from Kyela.
source: thecitizen
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hivi hao mafisadi anaowasema Nappe wapo chama gani.?
- Barabara zimejengwa kuunganisha Kusini na Kaskazini, Mashariki na Magharibi
- Shule zimeongezeka sambasamba na vyuo vya kati na elimu ya juu
- Maofisa Ugani wameongezeka na kuweza kutoa huduma karibu na wananchi
- Mchakato wa mabadiliko ya Katiba unaendelea
- Demokrasia nchini inashika kasi
- Wawekezaji wa ndani na wa nje wamewekewa mazingira ya kuwekeza
- Utawala bora umeshamiri hadi vijijini
Umbumbumbu mwingine ni wakujitakia.
Lini kuna mtu aliwahi kutoa kauli kuwa nchini hakuna ufisadi? Ukishindwa kujibu hili basi jua kuwa wewe ni MBUMBUMBU unayeongea vitu usivyovijua...
mleta uzi
ungeweka proposal ya nchi ambayo sisi watanzania wa kawaida tukimbilie please, kama TZ imefikia hapa !! kwamba Chama cha kisiasa kumiliki Makampuni??!! hii si kawaida..
tusiende mbali sana, kama Mawaziri wote wenye dhamana serikalini ni CCM, then tenda inakuja ya CCM fikiri what will happen??
Mbali na Mamlaka ya Manunuzi ya Serikali (PPRA) kwenye sheria zake za manunuzi kuweka bayana wazi kwamba Kampuni yoyote na popote na wakampuni wenyewe hawapaswi kuwa na interest yoyote kwenye zabuni husika. kwa maana hiyo kama CCM wana makampuni yanayoingia kwenye mchakato wa zabuni za serikali hii lazima/must wawe na interest kwenye zabuni hizo.
jamani kitu hii haipo, haipo, how leo CUF,CDM,DPP etc kila mtu awe na makampuni then who will serve the political party.
Sheria ya uundwaji makampuni ambayo ni LIMITED ziko wazi, Brela ambaye ni msajili wa makampuni pamoja na msajii wa vyama vya kisiasa wako mbali mbali wanapoexecute mamlaka zao. Kwa kanuni hizo Mwenyekiti wa chama ndiye mwenye dhamana na chama na ndiye aliye fungua kampuni na ndiye signatory. na mwisho wa uenyekiti wake sio mwisho wa umiliki wa kampuni, so ni wazi atayeyuka na kampuni yake, Kama Chair sio signatory wa kampuni hata Company power of Attoney haimtambui basi CCM ni genge baya sana la mafisadi nyangumi, KILA MTU ANAUNDA MKAMPUNI WAKE ILI 2015 WATOKE NA MABILIONI WAENDE ZAO MBALI NA TZ..
hivi waandishi wa habari za uchunguzi mko wapi, mko wapiiiii, kwanini msiichunguze INSHU hiiiiii, uandishi wa habari wa nchi yangu maskini ya mungu wa ajabu kweli kweli, mtu anaketi nyuma ya kiti chake cha mbao, anapiga cm, halooo..!! haloo!! Slaa, sijui MBOWE, Lissu sometime mimi apa, kisha jibu analolipata anatengeneza na takataka mbili tatu zake mwenyewe anamwaga kwenye "front Page' No more heros in this industry nowaday.. kama watu wanajimegea mabilioni ya hela, hivihivi mchana, na mtu anakuja na uongo mkubwa eti SUKITA ilikuwa kampuni ya CCM?????!!, shirika la umma kwamba ni kampuni ya chama.. KAMPUNI??!! na watu tuko kimya tu.. tumelogwa aisee.. GOD FORBID!!