jamani mikatabafeki mada sio kingereza mada hapa ni nape mbona unachakachua kakakwakweeeeeli hiyo America uliopo wewe sijui ya LYAMBA LYA MFIPA au ndo umeenda juzi baada ya kumaliza form 4 katika shule ya kata????????????usiharibu lugha za wenzio
basi na wewe kha umempania au?ah haa haaaa haaaa..................cheki hapo yaani ni full KAOLE
ah haaa haaa haaa...............tatizo huyu bibie anataka danganya umma,aha haaa haaa unajua kila napoona posts zake huwa nacheka saana yaani full usaniijamani mikatabafeki mada sio kingereza mada hapa ni nape mbona unachakachua kaka
for really i do appricate his works keep it up u guy...we do support you jf....nape is role modal of mine..who is yours
haya mambo ya multiple id yanakushushia heshima tu, ungeendelea na ile id yako inayoanza na 'a' ingekuwa ndiyo mpango mzima. Huo unaofanya ni utoto.