nape is ma role modal

Miss America

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
35
Reaction score
7
for really i do appricate his works keep it up u guy...we do support you jf....nape is role modal of mine..who is yours
 
for really i do appricate his works keep it up u guy...we do support you jf....nape is role modal of mine..who is yours

Unajigegeduuuuuuuuua si uandike tu Kiswahili ili uwe Huru
 
yoyo si ulijifanya unataka mtafsiri? nape umemjulia wapi?
 
kwakweeeeeli hiyo America uliopo wewe sijui ya LYAMBA LYA MFIPA au ndo umeenda juzi baada ya kumaliza form 4 katika shule ya kata????????????usiharibu lugha za wenzio
 
for really i do appricate his works keep it up u guy...we do support you jf....nape is role modal of mine..who is yours

Haya mambo ya multiple ID yanakushushia heshima tu, ungeendelea na ile ID yako inayoanza na 'A' ingekuwa ndiyo mpango mzima. Huo unaofanya ni utoto.
 
Haya mambo ya multiple ID yanakushushia heshima tu, ungeendelea na ile ID yako inayoanza na 'A' ingekuwa ndiyo mpango mzima. Huo unaofanya ni utoto.

Ipi? ACHBE au?
 
Dume zima unajiita Miss? Astakhfulilah Mtoto si Rizk wewe
 
Miss Kayumba,how are you.
Please stop these posts of yours.
OTIS.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…