badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,449
- 2,818
Kwanini MkuuHuna akili 🚮
Kwanini MkuuHuna akili 🚮
Umeandikwa hovyo!!!!?!?!?! Kwa vipi?!?!Mikwara baada ya kugundua waraka umeandikwa hovyo sasa unatetewa kwa mikwara ya kishamba😅😅.
Mambo ya Rwanda na huu waraka no tofauti kabisa...huko Kosovo ni weusi siyo?!?! Na wapalestina nao ni weusi...Ireland nako ni weusi?!?Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Kwani ulifika uarabuni na wewe😀😀😀Kwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Roma ikiongea imemaliza! Nawasaidia wavaa Kobasi wasije pita Bure hapa.ROMA LOCUTA; CAUSA FINITA EST!
Hivi una habari kama huyo jamaa ni kati ya viongozi weupeeee kichwani?Kwa hili nape kakosea sana na kadhihirisha kuwa waziri zuzu kuwahi kutokea na bahati mbaya aliyoipata tamko limesambaa kisawasawa kupitia mitandao ya kijamii na limevuka mpaka mipaka ya nje liko Duniani huko laita kama angefikiria hivyo asingehangaika kuwapigia simu TBC,ITV,Startimes sijui Azam,na wengineo kuwaambia wasitangaze hiyo habari kajidhalilisha tu
Wewe wala usiingie shaka!Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini
Najua walosoma nae wanasema ni kilaza😀Hivi una habari kama huyo jamaa ni kati ya viongozi weupeeee kichwani?
Amekaza, amesema alinyamaza na ataendelea kunyamazaaMama akiendelea kukaza shingo na lile lidude la mkataba *“CCM”*itafia mikononi mwake.
Papa kaingia msikiti gani tena? Asije akasilimu tuKama Papa kaingia Msikitimi huko Saudi Arabia na kukagua mandhari ya Nyumba hiyo ya Ibada mimi ni nani niwapinge Wateule wake?!!😀😀😀🔥
Kaingia na Maji ya ubatizo 😄Papa kaingia msikiti gani tena? Asije akasilimu tu
Hatukubaliani na waziri mwizi.Acha kulichafua kanisa....
Mh.Nape ni waziri wa nchi....analinda maslahi ya nchi....
Unataka awe mjinga halafu nchi hii iingie MACHAFUKONI ?!!!
Dini ya taifa letu ni AMANI ,USTAWI NA UTULIVU....
#SiempreJMT![]()
Maana yake ni kuwa waromani uwa wanakutana kwa ibada fupi za kimaombi katika kaya na mitaa. Hivyo huo waraka utakuwa unasomwa katika kaya na mtaa au vigango huko wanakokusanyika.Mbona dini na madhebu yote yanaanzia mitaani, si ndio watu wote wanakoishi!
Nani wa bungeni kaanza kuukataa?Hakuna RC asiye na akili hata aanze kub8shana na facts zilizomo kwenye Waraka.
Ndiyo maana hata wale walioukubali bungeni wameanza kuukataa.
Eti wanamtembeza bikira maria nyumba kwa nyumba! Wanatembeza sanamu wanaloliabuduMaana yake ni kuwa waromani uwa wanakutana kwa ibada fupi za kimaombi katika kaya na mitaa. Hivyo huo waraka utakuwa unasomwa katika kaya na mtaa au vigango huko wanakokusanyika.
Hii ni tofauti na madhehebu au makanisa mengine ambayo usubiria siku za Jumamosi kuonana kanisani ambapo si wote uenda kanisani.
Waromani uwa kuna muda wanamtembeza bikra Mariam nyumba kwa nyumba za waumini wao, wakifanya maombi.
Kupitia hii ni kuwa kanisa limejijenga vizuri huko chini linamizizi kuwezesha watu kukutana na kujadiliana. Si kama makanisa mengi wataonana siku kadhaa tu kwa wiki.
Kitu kimoja mbali na waislamu ambao wanautii kwa dini yao, wengine walio na utii kwa dini yao na kuwasikiliza viongozi wao ni waromani. Hawa watu ufundishwa na kufundwa toka utoto. Ukimkuta mromani wa kweli kweli ni mromani haswa.
🤣🤣Na wewe si untembeze mama yako wamwone?Eti wanamtembeza bikira maria nyumba kwa nyumba! Wanatembeza sanamu wanaloliabudu
RC wote wako pamoja na TEC.Waamini tunasikiliza linasema nini.Kwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Eti wanamtembeza bikira maria nyumba kwa nyumba! Wanatembeza sanamu wanaloliabudu