Nape, huwezi kushindana na TEC

Nape, huwezi kushindana na TEC

Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
 
Kwa maono yako

100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Naona pointi ya huyu mheshimiwa ni kuwa Nape alivyosema vyombo vya habari visitoe waraka huo, wakati umesomwa Makanisani na kusambaa ni sawa na kutokuzuia.
 
Mbona dini na madhebu yote yanaanzia mitaani, si ndio watu wote wanakoishi!
 
Wasio likubali ni wale waliokengeuka!
Na hata hivyo kama na wewe ni mmoja wao njoo na majibu ya hoja rasmi.
Sawa sawa, lakini hoja zijibiwe...
Haya mengine ni blah blah tu!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Kama ndio hivyo aisee naungana na TEC.

Mimi ni muislamu
 
Mbona dini na madhebu yote yanaanzia mitaani, si ndio watu wote wanakoishi!
Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini
 
Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Kwani ni uongo kwamba hakuna jumuia za kikatoliki huko mitaani?

Kwa nini usitumie akili yako kutafuta kiini cha haya yote ni nini?

Au na wewe ni mpumbavu fulani muumini wa DP-WORLD
Sawa sawa, lakini hoja zijibiwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Hivi haya mashindano to who's benefit ?

Je jambo baya likisemwa na malaika linakuwa zuri and vice versa ?

Tusitoke kwenye Reli Huu Mkataba / Makubaliano ni ya hovyo (na hata yangekuwa mazuri yameshaleta sintofahamu hivyo ni busara tuangalie upya au kauchana nao...

Hayo mengine ni kuondoka kwenye reli Ninaunga mkono wanachosema ila sio sababu wamesema wao.....; Pili Nape anakosea sio sababu anashindana bali kinachofanyika media imekuwa propaganda machine (kusema kile serikali inataka na sio vinginevyo)
Kweli kabisaa!
 
Kwa maono yako

100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Na jk anapaswa kuamini kuwa sio waislamu wote wanaunga mkono suala la bandari hivyo Jana hakupaswa kukurupuka na kusema dini na siasa vinachanganywa
 
Kwani ni uongo kwamba hakuna jumuia za kikatoliki huko mitaani?

Kwa nini usitumie akili yako kutafuta kiini cha haya yote ni nini?

Au na wewe ni mpumbavu fulani muumini wa DP-WORLD
Sawa sawa, lakini hoja zijibiwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Pale utakapo jua kuwa mtu mweusi ni mtumwa wa mtu mweupe utanielewa na wala huta jisumbua kutetea upuuzi. Mimi nataka waarabu wakabidhiwe hiyo bandari bila kuzingatia hoja zozote na pia hii sio kwa faida yako wala kwa faida ya mtanzania yoyote hii ni kwafaida ya watawala wa hii dunia ambao hawafi na wanaishi milele. Wewe utapiga kelele kwani bandari ipo pale siku zote imekusaidia nini?

Wacha watu watengeneze channel za fedha tumalizane na hili swala Mambo mengine ya msingi yaendelea
 
Kwa sababu ya upeo wako wa akili ndio unapokufikisha kufikiria.
 
Kwa hili nape kakosea sana na kadhihirisha kuwa waziri zuzu kuwahi kutokea na bahati mbaya aliyoipata tamko limesambaa kisawasawa kupitia mitandao ya kijamii na limevuka mpaka mipaka ya nje liko Duniani huko laita kama angefikiria hivyo asingehangaika kuwapigia simu TBC,ITV,Startimes sijui Azam,na wengineo kuwaambia wasitangaze hiyo habari kajidhalilisha tu
 
Mod's naomba msiufute uzi huu.

Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba,haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani.halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.

Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu.
Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani.
Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.

Nape anapaswa kuelewa kwamba....yeye ni sawa na chembe ya mchele,pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa.
TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja.
Tofauti na CCM.

TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili.sababu watanzania tunalijua hilo.View attachment 2723937
Sasa form four div zero ana weza shindana na watu walio kutana na shule kweli?
 
Kwani ni uongo kwamba hakuna jumuia za kikatoliki huko mitaani?

Kwa nini usitumie akili yako kutafuta kiini cha haya yote ni nini?

Au na wewe ni mpumbavu fulani muumini wa DP-WORLD
Sawa sawa, lakini hoja zijibiwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Naona pointi ya huyu mheshimiwa ni kuwa Nape alivyosema vyombo vya habari visitoe waraka huo, wakati umesomwa Makanisani na kusambaa ni sawa na kutokuzuia.
Hapana hamanishi hivyo anamanisha sio wakatoliki wote wanaunga mkono tamko
 
Back
Top Bottom