Nape, huwezi kushindana na TEC

Nape, huwezi kushindana na TEC

Tuache unafiki na chuki maana hivyo haviwezi kutufikisha popote zaidi ya kuliangamiza taifa letu.

Waraka hauna maana yoyote zaidi ya kuchochea chuki ndani ya jamii, TEC wamekosea sana kwa kusukumwa na mihemko na hisia binafsi bila kujali masilahi ya nchi.
 
Hiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Nu mpumbavu tu anayeweza kufikiri serikali inaweza kufanya hivyo.
 
Tuache unafiki na chuki maana hivyo haviwezi kutufikisha popote zaidi ya kuliangamiza taifa letu.

Waraka hauna maana yoyote zaidi ya kuchochea chuki ndani ya jamii, TEC wamekosea sana kwa kusukumwa na mihemko na hisia binafsi bila kujali masilahi ya nchi.
Umeusoma waraka?
 
Ukiacha ile kutumia ubini wa baba yake na kujipendekeza kwa wakuu, Nape angekuwa muendesha bodaboda fulani huko Lindi hakuna ambaye leo hii angemfahamu hapa!.
 
Tunaunga mkono uwekezaji,ila maoni ya wananchi yazingatiwe mkataba whatsoever makubaliano vipengele vyake virekebishwe kabla ya kukubaliwa na wananchi ndio Bunge lilidhie hiyo ndio hoja ya Dk Shoo kwa kifupi literally kabisa ametoa maoni sawa na msimamo wa TEC vinginevyo haungi mkono huo mkataba,zingatia mkataba sio uwekezaji.
 
Mama akiendelea kukaza shingo na lile lidude la mkataba *“CCM”*itafia mikononi mwake.
Hivi huamini kuwa CCM haina uhai hata sasa, ife mara ngapi?

Labda useme kwamba "CCM haitafufuka milele"; kwani atakuwa kaizika moja kwa moja.
 
Kwa maono yako
100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini basi kila mmoja anakiamini?
Hata kama wote hawaungi mkono tec wamepigwa stop kiaina kupita mitaani kuutetea. Fikiria Mpango, Tulia nk. watasimama hadharani na kuwapinga maaskofu wao, sawa lakini kwa kuasi au kushutumu?
 
Hata kama wote hawaungi mkono tec wamepigwa stop kiaina kupita mitaani kuutetea. Fikiria Mpango, Tulia nk. watasimama hadharani na kuwapinga maaskofu wao, sawa lakini kwa kuasi au kushutumu?
Tutausoma waraka tena na tena kwenye Jumuiya zetu ndogo ndogo kila Jumamosi tukutanapo.Huyo wa kupiga stop jumuiya atakuwa anakwenda kila Jumuiya kuzuia?
 
Kwani Prof.Issa Shivji ni baniani ?!!

Mh.rais Kikwete yuko sahihi kwani ndani ya jambo hili la DP WORLD kuna wanaopinga kidini ,ubaguzi wa rangi na wako wale wanaoitaka Tanganyika dola kwa kupitia kumbagua mh.Rais SSH na uzanzibari wake....

#Kongole kwake Rais Kikwete
Askofu Shoo kampa za uso leo hivyo basi hoja yake nyepesi ya jana imezimwa kama mshumaa

Shoo kapigilia msumari tamko la TEC

Mpaka sasa TEC 5 chief hangaya 0
 
Haijalishi....

Hata Prof.Issa Shivji ni muislam ila anapinga DP WORLD....

Askofu Dr.Shoo naye ni K.K.K.T ila anatuunga mkono wazee wa kuwataka DP WORLD....

Unahamahama dini kisa nini ?!!!
Acha kupotosha hajaunga mkono limkataba hilo libovu la kimangungo msimlishe maneno Askofu jipangeni upya maana alichofanya Shoo ni kupita mlemle kwenye tamko
 
Pale utakapo jua kuwa mtu mweusi ni mtumwa wa mtu mweupe utanielewa na wala huta jisumbua kutetea upuuzi. Mimi nataka waarabu wakabidhiwe hiyo bandari bila kuzingatia hoja zozote na pia hii sio kwa faida yako wala kwa faida ya mtanzania yoyote hii ni kwafaida ya watawala wa hii dunia ambao hawafi na wanaishi milele. Wewe utapiga kelele kwani bandari ipo pale siku zote imekusaidia nini?

Wacha watu watengeneze channel za fedha tumalizane na hili swala Mambo mengine ya msingi yaendelea
Huna akili 🚮
 
Back
Top Bottom