Nape, huwezi kushindana na TEC

Nape, huwezi kushindana na TEC

Kwa maono yako 100% ya rc unaamini wote wanaunga mkono tamko la tec au ndio unaamini katika kila unachoamini wewe basi kila mmoja anakiamini?
Muwakilishi mkuu wa maoni ya wa rc ni tec.sisi sio kama ndugu zetu ruthelan kwetu hatuendekezi democrasia .ndo maana huwezi sikia Padre kahamishwa waumini wapinge akishasema askofu ni imeisha
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba, haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine Nape haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.
Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.
Nikimaanisha kwamba kuna maeneo ambayo ni ndani kabisa ya jamii huko mashambani ambako hata ofisi za serikali hazipo.
Lakini kuna vigango vya kanisa la Roman catholic na waumini pia wakiwepo wa kutosha
Nape anapaswa kuelewa kwamba.... yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili, sababu watanzania tunalijua hilo.

View attachment 2723937
Hakuna anayeshindana na TEC na hayupo mwenye nia hiyo. Naamini serikali ilishajiwekea malengo ya kuwa ni nchi yenye jiji la kibiashara ambalo ni Hub ya ukanda huu.

Hayupo mwenye nia ya kupambana na chombo cha kidini chenye kuongozwa na maaskofu, serikali ilishajiwekea lengo la kukamata biashara za ushoroba huu kati [central corridor] tukumbuke kuna SGR iliyojengwa kwa trilioni 18 huwezi kujenga reli ghali kama hiyo halafu ukasafirishia mahindi na mihogo.

Hayupo mwenye nia ya kujibishana na TEC serikali ilishajiwekea malengo yake na yapo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020, na yanakwenda kutimizwa kulingana na ahadi zilizotolewa majukwaani kipindi cha kampeni.

Kama wewe mleta mada ni mfanya biashara basi jiandae kubadilika kuendana na mahitaji mapya ya usafirishaji wa mizigo yako pale TPA, kwani DP World mwezi wa kumi mwishoni anaanza kazi.
 
Mkiendelea kuruhusu mikataba mibovu mtavunjika shingo
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba, haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine Nape haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.
Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.
Nikimaanisha kwamba kuna maeneo ambayo ni ndani kabisa ya jamii huko mashambani ambako hata ofisi za serikali hazipo.
Lakini kuna vigango vya kanisa la Roman catholic na waumini pia wakiwepo wa kutosha
Nape anapaswa kuelewa kwamba.... yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili, sababu watanzania tunalijua hilo.

View attachment 2723937
Nape ni mganga njaa hodari. Anajua vizuri mama ni rais mganga njaa. Hana principle au vision zaidi ya kutafuta utajiri mwenyewe na kwa familia yake. Ameshaona alipoingia akiwavurumisha wazalendo kama sabaya na kuwarudisha wao wapinga magufuli ofisini. Kwa hivyo kazi kubwa ni uchawa tu kumsifia mama na kumtetea. Ukifanya hivyo kama alivyofanya jerry slaa juzi na yule profesa aliyekua ACT unapewa uteuzi. Tuliona juzi ujanja wa jerry silaa kajitoa ufahamu kutetea mkataba wa ovyo wa kuuza bandari kwa waarabu wa dubai akazawadiwa uteuzi.
 
Mkiendelea kuruhusu mikataba mibovu mtavunjika shingo
Acha ngonjera zako wewe....

Nguvu ya kuvunja hizo shingo zetu hutokea wapi ?!!

Kama ni kupitia "uchawi" wa wavaa suti nasi tuna uchawi wa kuvaa kaniki....acha utoto katika mambo ya kikubwa....
 
Angalia mfano wa regime ya awamu ya 5 wapo wapi.mkiendeleza mikataba mibovu mtavunjika shingo
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba, haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine Nape haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.
Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.
Nikimaanisha kwamba kuna maeneo ambayo ni ndani kabisa ya jamii huko mashambani ambako hata ofisi za serikali hazipo.
Lakini kuna vigango vya kanisa la Roman catholic na waumini pia wakiwepo wa kutosha
Nape anapaswa kuelewa kwamba.... yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili, sababu watanzania tunalijua hilo.

View attachment 2723937
Nape naona ni sikio la kufa hana ajualo
 
Duh! Ndo kenda kwa Mabasha wake kuripoti mambo ya bongo!
 
Wasio likubali ni wale waliokengeuka!
Na hata hivyo kama na wewe ni mmoja wao njoo na majibu ya hoja rasmi.
Sawa sawa, lakini hoja zijibiwe...
Haya mengine ni blah blah tu!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hakuna majibu hapa, wapelekee TEC wanaowakaririsha kila Jumapili
 
Kifungu nambari 3,4,5,6,7 katika hoja zako ni za kipumbavu tu.Serikali haiwezi kumpa mwekezaji then isipate kitu.hayo alifanya Mkatoliki Mkapa na Kanisa katoliki lilikaa kimya.Nyaraka za Kanisa vipindi Waislamu wanakua madarakani tumechoka.
 
Mimi ni mluther kuanzia Babu ila nimewakubali Roman. Mungu hapendi vuguvugu kama moto sawa kama baridi sawa
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba, haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu.
Pengine Nape haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.
Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.
Nikimaanisha kwamba kuna maeneo ambayo ni ndani kabisa ya jamii huko mashambani ambako hata ofisi za serikali hazipo.
Lakini kuna vigango vya kanisa la Roman catholic na waumini pia wakiwepo wa kutosha
Nape anapaswa kuelewa kwamba.... yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili, sababu watanzania tunalijua hilo.

View attachment 2723937
tec ni nani ndugu,tec ni binaadamu tu kama wewe na mimi,hawaana utukufu wowote,robo tatu ya hilo baraza la tec wamezaa watoto na wana kashfa mbaya za ngono.kwahiyo hawana kitu chochote
 
Back
Top Bottom