MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,863
Ni Mkatoliki...Sina uhakika mkuu!
Ni Mkatoliki...Sina uhakika mkuu!
Kwa hiyo mitaani watu hawaruhusiwi kusali kwa vikundi bila kumbugudhi wale wa imani nyingine na wasio kuwa na imani kabisa?Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini
Hiyo bandari mimi haina msaada wowote kwangu hata kama wakiuza sawa tuu ila ukweli usemwe mtu mweusi ni mtumwa na sisi wazee wetu wakina chief mangungo walisha piga pesa nyingi sana kupitia mikataba ya hivi na wakauza weusi wenzao watumwa kwa waarabu na wazungu na kama mimi ninavyojua asili na hulka ya mtu mweusi ni bora zaidi mkataba umesainiwa na waarabu wapewe chao kwasababu mtu mweusi ni mtumwa popote duniani kazi ya mtu mweusi ni kula sumu ugali akijua ni chakulaKwa sababu ya upeo wako wa akili ndio unapokufikisha kufikiria.
Mkuu kama wewe ni mtanganyika hauwezi kukubaliana na vipengele cha kwenye huo mkataba. Tuweke masiala ya imani pembeni twende kwenye uhalisia mkuuUngananao tu haina shida lakini ndio hivo tena tayari hiyo Bandari ndio imeenda
Kama Papa kaingia Msikitimi huko Saudi Arabia na kukagua mandhari ya Nyumba hiyo ya Ibada mimi ni nani niwapinge Wateule wake?!!![]()


Mama yake al8kua mchepuko wa Mzee NauyaNape ni msenge mmoja hivi
🤣🤣🤣🤣🤣Ring leader
Ulivyo mjinga Avatar yako mwenyew umeitangaza hiyo namba ya shetani!! Pole sanUna lolote maombi ya kimungu yupi ? Mungu wa 666
Acha tuuane kwa sababu ili ukombozi upatikane lazima damu imwagike,yesu mwenyewe ili kuokoa jahazi alitolewa kafara ili mimi nawewe tuokolewe.jifunzeni kwa kenya,mkate ukipanda bei wana andamana, kwa mkwara raila alio utoa kwa barozi wa marekani,kiongoz gan hapa tz anaweza??. KATIBA MPYA NI MUHIMU TANZANIAHiyo kauli kuwa Romani katoliki wananzia mtaani kwenye kigango ndiyo ilisababisha mauaji ya kimbari huko rwanda jeshi la polisi liwakamate hawa watu wa askofu ni hatari sana kwa kauli hizi watu weusi watauana tena kisa dini zao
Mama yake napeMama yake al8kua mchepuko wa Mzee Nauya
Duh tumefika hukuAcha tuuane kwa sababu ili ukombozi upatikane lazima damu imwagike
Exactly,,, Kuna watu wagumu Sana kuelewa.Naona pointi ya huyu mheshimiwa ni kuwa Nape alivyosema vyombo vya habari visitoe waraka huo, wakati umesomwa Makanisani na kusambaa ni sawa na kutokuzuia.
Yale Yale ya msichanganye dini na siasa uzuri Askofu Shoo Leo kampa za usoIdiocy....
Mh.Nape yuko sahihi.....
Maslahi ya nchi yako juu ya IMANI ZA ROHONI ZA WATU.....
DINI YA DOLA LETU NI AMANI ,UTULIVU NA USTAWI
#SiempreJMT![]()
Juu kule nilimuuliza dogo khs rc wote wanaunga mkono waraka nikajibiwa hamna mkatoliki mpumbavu,hii comment yako ndio inaonyesha ni namna gani kuna watu wanaona kile wanachokiamini wao basi kila mtua anakiaminiNape ni Mkatoliki ....
Ni sawa lakini kwa ninavyoona itatugharimu Sana, na neno "tunge" litakuwa neno la msingi, amini nakuambia.Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Angekua baba Yako ungefurahi kutukanwa hivyo,kama ningekua mod ningekupiga ban ya mwezi mzimaNape ni msenge mmoja hivi
Tumekuwa tukisali Jumuiya kila siku ya Jumamosi zaidi ya miaka 30,na tunasali kwa kuzunguka kutoka nyumbani kwa muumini mmoja kwenda kwa mwingine katika eneo hilo.Hii ilipelekea hata KKKT kuiga huu utaratibu.Huu utaratibu upo na hakuna shida,pengine wewe tu ndiyo huufahamu.Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini
Unajua jumuiya ndogo ndogo?Mitaani wanaishi watu wote bila kujali imani zao na wengi tunaishi vizuri kwa upendo kwenye nyumba za kupanga ila ukitaka kuabudu kuna maeneo maalum kama kanisa na misikitini