Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.
Lakini Huyu T. Lissu anatrend tu kwa blaah blaah zake..Leo ametoa tamko hili,kesho lile.
Na ameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi wampigie kura, Zaidi zaidi kila siku inayoenda kwa Mungu wameaanza kumtambua Lissu ni Mtu wa namna gani.
For sure anazidi poteza ile popularity, influence/huruma yake.
watu wanazidi kumuona ni wa kawaida kabisa masikioni wao kama mropokaji tu.
Hili Jambo mtakuja kuamini baada ya october 28 endapo M/Mungu akatusaidia tukapiga kura salama.
Na naombea sana Upinzani wasiususie huu "Uchaguzi".
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Ameahidiwa uwaziriKwa aliyofanyiwa Nape yeye mwenyewe na JPM, sidhani hata yeye kama atampa kura huyo JPM
Enzi zile Mrema aliitwa rais wa walalahoi watu walikuwa wanasukuma gari lake kwa mikono, sijui nini kilipita pale magabachori waliponea chupuchupu. Historia ni mwalimu mzuri sana katika maisha
Kumbe upande wenu..Kupigwa risasi ni moja sifa kubwa ya kiongozi bora katika nchi.hahaha!
Endapo unajua sifa za kiongozi bora hata ngazi ya serikali za mtaa hapo ndipo atleast utajua tunazungumza nini!
Wewe ni mjinga huwezi kuelewaIlikuwa ni plan Ile ww hahaha acha ushamba
Huu uchaguzi si simple kama unavyodhaniHuu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Wakati wa Lowassa alipiga pushup na push up hupigwa na wanaume safari hii anapiga magoti ambayo kwa tamaduni za Tanzania hupigwa na wanawake hasa wa bara hasa wasukuma.Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.
Lakini Huyu T. Lissu anatrend tu kwa blaah blaah zake..Leo ametoa tamko hili,kesho lile.
Na ameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi wampigie kura, Zaidi zaidi kila siku inayoenda kwa Mungu wameaanza kumtambua Lissu ni Mtu wa namna gani.
For sure anazidi poteza ile popularity, influence/huruma yake.
watu wanazidi kumuona ni wa kawaida kabisa masikioni wao kama mropokaji tu.
Hili Jambo mtakuja kuamini baada ya october 28 endapo M/Mungu akatusaidia tukapiga kura salama.
Na naombea sana Upinzani wasiususie huu "Uchaguzi".
Mrema ni mfanyakazi wa Tiss kama Membe alivyo kwa akili yako unadhan angeenda tofauti na Serikali yake?Wewe ni mjinga huwezi kuelewa